THINKINGBEING
JF-Expert Member
- Aug 9, 2010
- 2,779
- 1,304
Safi sana.Vijana wengine waliomaliza vyuo tumewapeleka T.M.A Monduli na wengine CCP Moshi kwa mafunzo zaidi huko watafundishwa na askari waliopo kazini sio wastaafu.
Mkuu, Red Brigade ni jina tu ambalo maana yake au tafsiri yake haimaanishi uhalifu kama maneno ya mwizi au gaidi uliyotumia katika mfano wako,
Unataka kusema kwa kuwa Joseph Konyi ni muuaji basi mtu yeyote atakayeitwa Joseph naye ni lazima awe muuaji?
Mkuu, ifweero, kama una ushahidi wa mtu aliyeuwa peleka kunakohusika.watasonga mbele kuuwa?
Kamanda wa jeshi ndiye atakayetoa mafunzo kwa vijana wa CHADEMA makambini na atasaidiwa na makamanda wawili.
Katika kile kinachothibitisha kwamba CHADEMA kimedhamiria kutekeleza uamuzi wake wa kuwapatia vijana mafunzo maalum ya ulinzi km ilivyotangazwa na mwenyekiti wake freeman mbowe, kimemteua kamanda mmoja mstaafu wa jeshi la wananchi wa Tanzania (JWTZ ) kuandaa mpango wa kuwapatia mafunzo maalum vijana wake nchi nzima ili kukabiliana na CCM.
Habari za ndani ya chama hicho zimebainisha kuwa, kamanda huyo mstaafu wa JWTZ (jina tunalo) ameteuliwa na Mbowe na anatoka mkoani Arusha ambako anaelezwa amekwa msaada mkubwa kwa CHADEMA ktk ushindi wa chaguzi mbalimbali ukiwemo uliomalizika hivi karibuni wa udiwani ktk kata 26 uliomalizika hivi katibuni.
Imeelezwa kuwa kamanda huyo ni mtu mwenye mahusiano ya karibu mno na mbowe na mbunge wa Arusha mjini Godbless Lema.
Mtoa habari hii amesema kuwa suala la chadema kuwapatia vijana mafunzo ktk makambi maalum mikoani haliepukiki, licha ya serikali kupitia jeshi la polisi kuonya juu ya hatua hiyo ya chadema. Bado viongozi wake wameapa kuendelea na zoezi hilo.
Source: gazeti la hoja
hojanews@yahoo.com
Mkuu nakuomba ufuatilie historia ya red brigade na matendo waliyofanya wakati wa uhai wake.si busara kulazimisha fikra na uhalisia iwe jinsi ww unataka, kuna mambo chadema inajiharibia
Terrorist Organization Profile:
Red Brigades
Mothertongue Name: Brigate Rosse (BR)
Aliases: Armed Communist Combatants, Italian Red Brigade, Red Regiments
Bases of Operation: n/a
Date Formed: 1969
Strength: Group is forcefull and killing
Classifications: Communist/Socialist
Financial Sources: Unknown
Founding Philosophy: The Red Brigades were founded on rigidly Marxist-Leninist principles. This radical leftist group advocated violence in the pursuit of class warfare. Concentrated in Italy, the Red Brigades targeted businessmen and politicians and were a notable terrorist threat in Italy during the 1970s and early 1980s. Due to developments during its existence, the Red Brigades took on some qualities of anarchist groups while still propagating its especially virulent and violent Communist philosophy. In the end, the Red Brigades' increasingly brutal attacks eroded the support of those sympathetic with the group's Communist ideals.
Current Goals: In April 1984, four of the Red Brigades' key leaders wrote a communique from their jail cells. In the open letter, the leaders proclaimed further armed combat as futile. The Red Brigades essentially ceased to exist with this letter. In their words, "The international conditions that made this struggle possible no longer exist." (Xavier Raufer, "The Red Brigades: Farewell to Arms," Studies in Conflict and Terrorism, 1993, Vol.16)
However, the legacy of the Red Brigades continues to this day. Following the release of this letter, two splinter groups broke off from the Red Brigades: the New Red Brigades/Communist Combatant Party (BR/PCC) and the Red Brigades/Union of Combatant Communists (BR/UCC). The BR/PCC specifically has chosen to continue in the ideological and violent path of the Red Brigades.
Rep Power : 0 ha ha ha ha kwi kwiTatizo la red brigade ni terrarists/ magaidi, wameua sana italia
Kamanda wa jeshi ndiye atakayetoa mafunzo kwa vijana wa CHADEMA makambini na atasaidiwa na makamanda wawili.
Katika kile kinachothibitisha kwamba CHADEMA kimedhamiria kutekeleza uamuzi wake wa kuwapatia vijana mafunzo maalum ya ulinzi km ilivyotangazwa na mwenyekiti wake freeman mbowe, kimemteua kamanda mmoja mstaafu wa jeshi la wananchi wa Tanzania (JWTZ ) kuandaa mpango wa kuwapatia mafunzo maalum vijana wake nchi nzima ili kukabiliana na CCM.
Habari za ndani ya chama hicho zimebainisha kuwa, kamanda huyo mstaafu wa JWTZ (jina tunalo) ameteuliwa na Mbowe na anatoka mkoani Arusha ambako anaelezwa amekwa msaada mkubwa kwa CHADEMA ktk ushindi wa chaguzi mbalimbali ukiwemo uliomalizika hivi karibuni wa udiwani ktk kata 26 uliomalizika hivi katibuni.
Imeelezwa kuwa kamanda huyo ni mtu mwenye mahusiano ya katibu mno na mbowe na mbunge wa Arusha mjini Godbless Lema.
Mtoa habari hii amesema kuwa suala la chadema kuwapatia vijana mafunzo ktk makambi maalum mikoani haliepukiki, licha ya serikali kupitia jeshi la polisi kuonya juu ya hatua hiyo ya chadema. Bado viongozi wake wameapa kuendelea na zoezi hilo.
Source: gazeti la hoja
hojanews@yahoo.com
hapa Dodoma kuna brigedia mstaafu
Mkuu, Red Brigade ni jina tu ambalo maana yake au tafsiri yake haimaanishi uhalifu kama maneno ya mwizi au gaidi uliyotumia katika mfano wako,
Unataka kusema kwa kuwa Joseph Konyi ni muuaji basi mtu yeyote atakayeitwa Joseph naye ni lazima awe muuaji?
Napendekeza na gaidi la lumumba, mwigulu liwe katika timu ya wakufunzi.
Ufipa fc, souce ni gazeti la hoja, ht hujasoma hbr yenyw umekimbila key bodi kuandika
Rep Power : 0 ha ha ha ha kwi kwi