Greenwhich
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 1,337
- 968
- Thread starter
- #101
kila la heri makamanda..me nitakuja baadaye nione pana vyochimbika! hakika huu mkutano wa kihistoria c wa kukosa.
Karibu sana Kamanda.
kila la heri makamanda..me nitakuja baadaye nione pana vyochimbika! hakika huu mkutano wa kihistoria c wa kukosa.
kama kuna sehemu ya kodi yangu inapelekwa TBC,basi ninaomba kwa Mungu siku moja kituo hicho kiungue moto
Excellent. Good approach. Bt TANESCO leo hawata.........?
wanawake wnaojitambua wanaweza kusimamia fikra zao. Ila wewe dada ata ukiwezeshwa huwezi na ndio maana mkaka umemaliza usichana wako hujawai ambiwa "nakupenda"Sitegemei jambo jipya kutoka mkutano huo,, kwani kama Wanadai katiba mbona ipo kyk mchakato? nao ndio wanao ukwamisha.
Muungano huu wa CHADEMA, CUF na NCCR naufananisha na mfano alionipa babu yangu nikiwa mtoto mdogo. Babu alisema nyoka kwa asili yao huwa wanapigana sana na wakati mwingine mpaka moja anakufa. Ukitokea kwa bahati mbaya nyoka huacha mara moja ugomvi wao na kukugeukia, hasira yote ya maumivu aliyonayo kila moja wao huhamishia kwako. Nyoka jinsi hiyo huwa ni hatari sana na utakuwa na bahati kama utanusurika. Wakitoka hapo ni marafiki na ugonvi wao huwa umekwisha. Lengo la muungano huu lisiishie kwenye kupata katiba mpya tu bali liendelee hadi 2015. Watanzania wengi waliokata tamaa ya maisha katika nchi hii nzuri yenye kila utajiri tuliopewa na Mungu kwa upendeleo sasa wanaanza kuona nuru fulani kwa mbali ikiwasogelea, INSHAALAH Mungu awatie nguvu viongozi wetu wa mapambambano haya hadi mwisho wa safari
Chadema lini mmeanza kuwatetea waZanzibari?!!!
Sitegemei jambo jipya kutoka mkutano huo,, kwani kama Wanadai katiba mbona ipo kyk mchakato? nao ndio wanao ukwamisha.