Uchaguzi BAVICHA taifa 2014: Je,nani anafaa kuongoza?

Dec 21, 2012
96
15
UCHAGUZI WA BAVICHA TAIFA.....
HII NI KWA WANACHADEMA TU NA WAPENDA MABADILIKO YA KWELI YA NCHI YETU...

Kuelekea uchaguzi wa BAVICHA taifa wa mwaka huu......
Je, ni nani atatufaa kwa nafasi ya uenyekiti na ukatibu kati ya hawa?...

1.PHILIP MWAKIBINGA - Ni mwanachadema pekee ambaye amewahi kuwa
- waziri wa mikopo wa serikali ya wanafunzi na kinara wa mgomo wa kudai elimu kwa vitendo yaani (Field Practical Training),
- Waziri mkuu wa serikali ya wanafunzi UDOM.
- Rais wa chuo cha UDOM...
- Mwenyekiti wa CHADEMA UDOM...

2.BEN WA SAANANE...Ni mwanachadema ambaye ni mwanauchumi na mtaalamu wa siasa za kimataifa...

3. MOHAMED MTOI...Ni kamanda mpiganaji ambaye ana taaluma nzuri na amekuwa kiongozi wa chama kama Afisa mwandamizi idara ya uratibu wa kanda..

Maoni yako tafadhali......
 
Uchaguzi wa Chadema haufanyiki kwenye mitandao wala magazetini. Mwenye sifa yeyote anaruhusiwa kugombea na uchaguzi utafanyika kwa uhuru na haki. Umetumia vigezo gani kutaja watatu kati ya vijana wote Chadema? Chadema ipo kidemokrasia zaidi hivyo tusubiri uchaguzi na utakuwa huru kuwanadi watakaogombea.
 
ViJANA WAPO WENGI SANA TENA WENYE SIFA LUKUKI,MUDA UKIFIKA WACHUKUE FOMU NA TUTAWAPIMA KWA VIGEZO VYETU HASA UADILIFU,TAALUMA NA UWEZO WAO WA KUPAMBANUA MAMBO.CDM DAIMA
 
Wapo wengi sana,akina Nanyoro Ephata,Riziki Maghembe na mimi hapa.
TUna record zetu nzuri sana ila tunafuata taratibu za chama
 
Uchaguzi wenyewe hauleweki eleweki,unafanywa kwa style ya kuvizia vizia kama wanawinda digidigi.
 
UCHAGUZI WA BAVICHA TAIFA.....
HII NI KWA WANACHADEMA TU NA WAPENDA MABADILIKO YA KWELI YA NCHI YETU...

Kuelekea uchaguzi wa BAVICHA taifa wa mwaka huu......
Je, ni nani atatufaa kwa nafasi ya uenyekiti na ukatibu kati ya hawa?...

1.PHILIP MWAKIBINGA - Ni mwanachadema pekee ambaye amewahi kuwa
- waziri wa mikopo wa serikali ya wanafunzi na kinara wa mgomo wa kudai elimu kwa vitendo yaani (Field Practical Training),
- Waziri mkuu wa serikali ya wanafunzi UDOM.
- Rais wa chuo cha UDOM...
- Mwenyekiti wa CHADEMA UDOM...

2.BEN WA SAANANE...Ni mwanachadema ambaye ni mwanauchumi na mtaalamu wa siasa za kimataifa...

3. MOHAMED MTOI...Ni kamanda mpiganaji ambaye ana taaluma nzuri na amekuwa kiongozi wa chama kama Afisa mwandamizi idara ya uratibu wa kanda..

Maoni yako tafadhali......

Wote wako vizuri mno. Itakuwa patashika. Ben anafaa zaidi kwa nafasi ya Ukatibu. Mohamed Mtoi - Katibu uhamasishaji. Mwakibinga mzee wa jukwaa na historia yake vinampa nafasi ya kuwa Mwenyekiti akisaidiwa na Zainabu Ashraf Mudhihir
 
Vijana wenye sifa ndani ya chadema wana kazi zaid ya kuwa mwenyekiti bavicha....hzo taaluma znaitaijika sana kweny kanda
 
Wote wako vizuri mno. Itakuwa patashika. Ben anafaa zaidi kwa nafasi ya Ukatibu. Mohamed Mtoi - Katibu uhamasishaji. Mwakibinga mzee wa jukwaa na historia yake vinampa nafasi ya kuwa Mwenyekiti akisaidiwa na Zainabu Ashraf Mudhihir

Daniel Naftal anafaa kuwa Mwenyekiti akisaidiwa na Zainabu Ashrafu.

Katibu ben saa8.

Hamasa Mohamed Mtoi
 
Daniel Naftal anafaa kuwa Mwenyekiti akisaidiwa na Zainabu Ashrafu.

Katibu ben saa8.

Hamasa Mohamed Mtoi

Nauona mchuano mkali kwelikweli kwenye nafasi ya Uenyekiti. Kuna vijana wengi wengi wengi mno wenye Uwezo katika nafasi hiyo. Hapo bado hatujamtaja Ephata Nanyaro. David yuko vizuri mno pia. Naamini hawa wote waki-cop kutengeneza timu moja kwenye baraza lenyewe itakuwa ni moto. Lazima nchi izizime. Kuna Dady Igogo pia..Hakika CHADEMA imejaa hazina. Naona Ben kama akichukua fomu kugombea Ukatibu kama nilivyokwisha mshauri toka mwanzo anakubalika kwa nafasi hiyo........Mwenyekiti anatakiwa mtu wa jukwaa.

Kwenye Hamasa Mohamed Mtoi ni bingwa hakika
 
Back
Top Bottom