Updates: Mkutano wa CHADEMA toka Matarawe Songea

Ngalikivembu

JF-Expert Member
Oct 6, 2010
1,960
872
Wakuu habari.
Nimefika tayari eneo la tukio hapa Matarawe Songea ambapo Chadema inafanya mkutano wake.Hizi ni picha za awali kabisa.Watu wanaendelea kumiminika.




...............
Upadates
.............

Watu sasa wameshasogea na wanazidi kujongea.Endelea kukaa hapa hapa

Baada ya Mbowe kuwasili.Watu wamejongea na wamejaa kinoma.
:::::::::
Dondoo kidogo
:::::::::
Leo wana Ruvuma wameelewa somo na wapo tayari kwa mabadiliko.
Baada ya mwezi mmoja kawaahidi kuja tena na wabunge watano.
Mwenyekiti wa mkoa wa Lindi Bwana Ally Chitanda aliwaomba wana Ruvuma kuwaunga mkono ili nao Makaa ya Mawe yasitoke.Maana hivi sasa makaa ya mawe yanasafirishwa kwa malori kupelekwa Dar na nje ya hapo.
NB:
Jamani naomba niseme nilishindwa kuwaleteeni updata ya maneno kwa vile nilikuwa na kazi ya kuchukua picha zaidi.Nadhani wenzangu wengine wamesaidia kufanya hivyo na nawashukuru sana

attachment.php


attachment.php


attachment.php


attachment.php
 

Attachments

  • WANAKUJA.JPG
    WANAKUJA.JPG
    28.8 KB · Views: 530
  • WANAKUSANYIKA.JPG
    WANAKUSANYIKA.JPG
    34 KB · Views: 484
  • WANASOGEA.JPG
    WANASOGEA.JPG
    34.9 KB · Views: 413
  • BIBI KAJA.JPG
    BIBI KAJA.JPG
    35.9 KB · Views: 1,314
  • TUNAMSUBIRI KAMANDA.JPG
    TUNAMSUBIRI KAMANDA.JPG
    27.6 KB · Views: 336
  • WAMEFIKA.JPG
    WAMEFIKA.JPG
    42.3 KB · Views: 1,353
  • WENGI SASA.JPG
    WENGI SASA.JPG
    35 KB · Views: 1,464
  • MBOWE HAPA.JPG
    MBOWE HAPA.JPG
    37.8 KB · Views: 1,249
  • PIGA NENO TU.JPG
    PIGA NENO TU.JPG
    56.6 KB · Views: 200
  • WANAMSIKILIZA MBOWE.JPG
    WANAMSIKILIZA MBOWE.JPG
    44.5 KB · Views: 260
  • CHADEMA YATOSHA.JPG
    CHADEMA YATOSHA.JPG
    40 KB · Views: 117
  • PAMOJA.JPG
    PAMOJA.JPG
    40.8 KB · Views: 87
  • KIGAILA2.JPG
    KIGAILA2.JPG
    33.3 KB · Views: 106
  • PEOPLE POWER.JPG
    PEOPLE POWER.JPG
    45.5 KB · Views: 135
huko mkuu kunataka uhamasishaji mkubwa sana wa viongozi wakuu kitaifa inabidi safari za arusha,mwanza,mbeya na dar tuzipunguze na twende kwenye miji kama tanga,songea,sumbawanga,singida mjini,mtwara,zanzibar na kwingineko ni muda wa vitendo tumeshaongea sana kamanda mawazo,mwita maranya muda wa vitendo 2015 is nearer.
 
Nakumbuka kama RPC wa Ruvuma alipiga marufuku mikutano yote ya siasa!
 
Bila shaka wataipa ccm ushindi tena 2015 baada ya kupokea rushwa ya chumvi na vikofia vya kijani.
 
Tupo pamoja Ngalikivembu katika harakati hizi kiongozi, fikisha salamu zangu tafadhali.
 
Kuna mwakisihi wa kutoka Lindi ameshusha mawe hapa aawataka wana Ruvuma kuungana Na wenzao wa Lindi na mtwara kupigania haki zao. Kapanda katibu wa CDM mkoa amemsifia mkuu wa mkoa kwa kuruhusu mkutano anasema kila mtu aje kwa amani na arusi kwa amani. anasema tunaendesha siasa za kistaarabu kichwa hiki
 
Mkuu safi sana, yaan cdm wafika vijiji vya Kitanda, mgombasi,mputa, namtumbo etc kule wananchi wanapewa kamfuko kamoja ka mbolea yaan wana shida sna, ila ccm inawapa propaganda za uongo juu ya cdm.kula sipo nje nje.mim nilikwenda na nikawapa somo baadhi ya vijana ila walinielewa sana.
 
Sasa anaongea mkuu wa mafunzo na ufundi CDM taifa,Benson K. Muda sio mrefu anamkaribisha kamanda wa anga F. Mbowe kuzungumza na wananchi wa Songea.
 
Back
Top Bottom