Search results

  1. WA KISHUA

    Wife kanuna kisa nimepata shavu Uganda

    Habari wadau wa jukwaa pendwa, jukwaa nalolipenda kushinda mengine hasa kutokana na kuwa na vioja vingi kila kukicha. Muda mrefu umepita tangu kutia maguu kwenye jukwaa hili, hiyo ni kutokana na shughuli zangu za kijasiriamali ambazo zimekuwa zikini-keep busy 24/7 365. Baada ya kuamua kufanya...
  2. WA KISHUA

    Ushauri wa haraka unahitajika, ndoa inapumulia oksijeni

    Habari zenu wafuasi wa mtandao pendwa na wale wapenzi wa jukwaa hili la mahusiano, natumaini wote ni wazima na mko imara kama Simba sema sio Simba hii ya kina Manara ni uimara wa Simba mnyama. Pasi na kupoteza wasaha ningependa niendee moja kwa moja kwenye dhumuni la kuandika uzi huu ambao...
  3. WA KISHUA

    Napigwa majungu kuwa natembelea gari ya kike

    Ama kweli binadamu kamwe hawatoacha kusema hata ufanye jambo zuri kiasi gani, yapata mwaka sasa tangu ninunue kausafiri kangu aina ya Nissan Murano, ishu ni kwamba nimeanza kuckia majungu ya waziwazi kutoka kwa wa2 naofanya nao kazi pamoja na majirani zangu wakidai kwamba natembelea gari ya...
  4. WA KISHUA

    Gamers : Msaada wa euro truck 2 simulator

    Naipenda sana Game ya Euro Truck 2 Simulator, mpk sasa nipo level ya 16 kupitia laptop yangu, kitu kinachonishinda ni endapo nikitaka kuendesha magari mengine tofauti na haya Ma-truck, kwa ufupi nataka kuendesha magari madogo pia na bus ikiwemo, Je, natakiwa nifike level ya ngapi ili niweze...
  5. WA KISHUA

    Usagaji wazidi kuitafuna Twiga Stars na viongozi wake

    Wahenga hawakukosea kabisa pale waliposema Duniani hakuna siri na siku zote kuishi kwingi ni kuona mengi. Nisingependa niwachoshe sana wanajamvi wenzangu, ngoja niende moja kwa moja katika pointi. Wikiendi iliyopita wakati natoka site kwangu Tabata, nikaona nitafute sehemu nzuri niweze kupata...
  6. WA KISHUA

    R.I.P young billionea Jimmy Mcmelle, daima tutakukumbuka mpendwa wetu

    Hii ni mahususi kwa wale wote ambao walikuwa na shauku kubwa ya kutaka kumjua 'Jimmy Mcmelle' ni mtu wa aina gani, maana nimepitia Comment nyingi za watu huku wengi wao wanaonekana wanafuata mkumbo na kuckia habari za chini ya Carpet. Jimmy Mcmelle ni kijana wa pekee katika familia ya...
  7. WA KISHUA

    R.i.p YOUNG Billionea jimmy mcmelle, daima 2takukumbuka mpendwa wetu

    Hii ni mahususi kwa wale wote ambao walikuwa na shauku kubwa ya kutaka kumjua 'Jimmy Mcmelle' ni mtu wa aina gani, maana nimepitia Comment nyingi za watu huku wengi wao wanaonekana wanafuata mkumbo na kuckia habari za chini ya Carpet. Jimmy Mcmelle ni kijana wa pekee katika familia ya Mzee...
  8. WA KISHUA

    Binti mmoja katia doa ndoa yangu

    Habari za asubuhi waungwana, Poleni sana na uchovu wa weekend ndefu na sikukuu za Pasaka, hasa kwa wale wapenda bata kama mimi. Vitabu vitakatifu vinakwambia msema kweli mpenzi wa Mungu, sio siri nimejitaidi kuuchuna lakini roho inanituma niseme. Imepita kama miezi mitatu tangu nifahamiane...
  9. WA KISHUA

    Rafiki yangu anaelements za ushoga

    Ama kweli ukistaajabu ya Musa, utayaona ya firauni, Kwa ufupi nina rafiki yangu mmoja ambaye tumeoa kabila moja ila yeye ni mfanyabiashara mkubwa sana. Anatembelea Range Rover Autobiography 2014 plus mabusinness na mabiashara mengine kibao anayomiliki.Sasa picha lilianzia pale I.T Plaza kuna...
  10. WA KISHUA

    Ghorofa limenifanya nikosane na marafiki pamoja na wakwe zangu

    Ama kweli nimeamini watanzania hatupendi kuona mtu akipiga hatua moja kwenda nyingine, tofauti na wenzetu hawa ngozi nyeupe ambao wao kupigana tafu ni mambo ya kawaida sana katika life cycle yao. Nimeamua kuweka picha ya ghorofa langu ambalo lipo katika hatua za mwisho mwisho za ujenzi ili...
  11. WA KISHUA

    Majirani na rafiki wa mke wangu wanadai nimehusika kuchota mabilioni ya escrow

    Habari zenu wadau wa jukwaa la MMU, Natumaini ni wazima wa afya na mnaendelea vizuri na mapumziko ya weekend pamoja na familia zenu . Wahenga wanasema "Mti wenye matunda daima hupigwa mawe ". Kwa ufupi eneo napoishi kila mtu ana geti lake hivyo kupata muda wa kushirikiana na majirani zangu...
  12. WA KISHUA

    Hatimaye my wife ajifungua mtoto wa kiume mjini Johannesburg Afrika kusini

    Hodi hodi humu wanawane... hakuna cku niliyowahi pata furaha kama jana i mean 21st Nov baada ya mke wangu kujifungua salama mtoto wa kiume tuliyempa jina la Sean kwenye Hospital baab kubwa ya CHRIS HANI BARAGWANATH ikiwa ni Tarehe na mwezi sawa aliozaliwa Superstar Davido. Kwa sasa nipo...
  13. WA KISHUA

    Mwezi mmoja kabla ya kujifungua mke wangu anataka nimnunulie Murano

    Habari Wanajamvi wa MMU, nimewamisi kwa kweli ila yote ni kutokana na majukumu ya kikazi yanayonikabili hasa hizi safari za kila kukicha huko nchi za watu, ila nipo imara kama Simba na najiandaa kuitwa baba mwezi ujao. Back...
  14. WA KISHUA

    Ushauri : Ujauzito wa my wife unanipelekea nitake kuchepuka

    Mambo vipi wanajamvi wa MMU na poleni na starehe kwa wale wala bata wenzangu, kusema ule ukweli nimewamisi sana watu wangu ukizingatia ni kipindi kirefu tangu nifunge ndoa na MY SWTY HEART mwishoni mwa mwaka jana pale Mlimani City. Let's get to the point, My Wife kwa sasa ni mama kijacho na...
  15. WA KISHUA

    Mtoto wa mbunge anataka kuvunja ndoa yangu, nifanyaje jamani!

    Good afternun Ladies & Gentleman, kwa mara nyingine tena nimekuja na UZI mupya unaosema ''MTOTO WA MBUNGE ANATAKA KUVUNJA NDOA YANGU,'', kwanza kabisa nichukue fursa hii kuwapa HESHIMA zao wahenga waliosema ''NYOTA NJEMA DAIMA HUONEKANA ASUBUHI'' nisingependa kuwachosha sana watu wangu wa...
  16. WA KISHUA

    Xbox 360 for sale, Tsh 250,000

    Mambo vipi wadau, nauza xbox360 , price 250,000 tu
  17. WA KISHUA

    Mahusiano ya wabunge hawa? Mmhh!

    Mambo vipi wanajamvi wenzangu, hope mnaendelea vizuri kabisa pia kwa wale wakazi wenzangu wa jiji la DSM nafahamu kwamba tupo katika maandalizi ya kumpokea rais wa dunia Barack Obama na ujio wake kutoka Marekani, nisingependa niwachoshe sana kwani wahenga wanasema kuishi kwingi ni kuona mengi...
  18. WA KISHUA

    Nimeamini kwamba gari ndio uchawi mkubwa unaowatesa wanawake.

    Habari za majukumu ya kujenga Taifa letu la Tanzania wanajamvi, japo tumepita katika vuguvugu la masuala ya udini na ukabili lakini tunaamini kwa neema yake yeye aliye juu mbinguni hakika hakuna kinachoshindikana dhidi yake, bnafsi ni mzima wa afya na ninaendelea vyema na mambo yanaenda kama...
  19. WA KISHUA

    Nowadays Womens are very cheap, I think this is the end of the world.

    Habari za asubuhi mabibi na mabwana, wakubwa na wadogo zangu, I hope kwamba mnaendelea vizuri kabisa na ujenzi wa taifa hili letu la Tanzania, nimemiss sana hili jukwaa, leo nimekuja na kichwa cha habari kinachosema WANAWAKE WA SIKU HIZI WAMEKUWA RAHISI MNO, kwanza kabisa kabla ya yote...
  20. WA KISHUA

    Mke wa mtu huyu

    Habari za majukumu watu wangu wa nguvu, natumaini mnaendelea vzr na ujenzi wa kujenga Taifa letu la Tanzania, leo nimekuja na huu mkasa ambao umemtokea rafiki yangu wa karibu hivyo nikaona nije nipate busara zenu na kuweza kwenda kumshauri kwa kina zaidi. Huyu jamaa yangu anafanya kazi katika...
Back
Top Bottom