Mahusiano ya wabunge hawa? Mmhh!

Mahusiano ya wabunge hawa? Mmhh!

Status
Not open for further replies.

WA KISHUA

JF-Expert Member
Joined
Dec 11, 2012
Posts
365
Reaction score
130
Mambo vipi wanajamvi wenzangu, hope mnaendelea vizuri kabisa pia kwa wale wakazi wenzangu wa jiji la DSM nafahamu kwamba tupo katika maandalizi ya kumpokea rais wa dunia Barack Obama na ujio wake kutoka Marekani, nisingependa niwachoshe sana kwani wahenga wanasema kuishi kwingi ni kuona mengi, leo nimekuja na uzi wangu wenye kichwa cha habari kinachosema mahusiano ya wabunge hawa.?Mhh, nieleweke kwamba nimeleta huu UZI sio kwa lengo la Kisiasa au kwa kumkandia mtu ila nimeleta hili jambo ili tuweze kushare na kutoa tathimini kuhusiana na jambo hili ambalo nimepata taarifa zake ambazo nimeshindwa kuzihimili kuzificha katika kifua changu .


Kwa ufupi wiki kama mbili zilizopita nilipata nafasi ya kuzunguka mikoa mbalimbali ya Tanzania kwa ziara ya kikazi, katika mikoa niliyotembelea moja ya mkoa ambao ulinifanya nilete huu Uzi hapa leo ni mkoani DODOMA ambapo niliweka kambi pale kwa muda usiopungua takribani siku tano, kwa ufupi pale Dodoma kuna binamu yangu ambaye yeye ni muajiriwa wa serikali ambaye anafanya kazi katika Bunge tukufu la Tanzania, kama mnavyojua karibu mgeni wenyeji wapone ndio ilichukua awamu yake, nilipata nafasi ya kuzunguka sehemu mbalimbali mkoani pale ikiwemo kutembelea chuo cha UDOM na maeneo mengine mengi kwani sikuwahi kufika katika mkoa huo, lakini katika hali ya kushangaza kuna rafiki wa huyu binamu yangu ambaye ni sista m1 hivi wa makamo, yeye anafanya kazi katika hoteli moja marufu sana pale Dodoma alikuja kumtembelea binamu yangu ikawa kama bahati akanikuta, mimi nikawa npo busy na Laptop yngu kitu cha Apple nafanya yangu, alipoondoka ndipo huyu binamu wangu akaamua kuning'ata sikio, ishu kamili ilikuwa hivi:


Binafsi nisingependa niwataje hawa wamama kulingana na heshima kubwa wanayopewa katika jamii lakini kwa mtu mzima mwenye uelewa anaweza kufahamu ninaowazungumzia, Kuna wamama wawili ambao wao ni wabunge pale Dodoma sema wapo vyama viwili tofauti na huwa ni marafiki wa karibu sana hata katika safari zao huwa hawaachani kama mkia, sasa yule mama wa makamo kaja kumpa umbea huyu binamu yangu kwamba kwa uchafu wanaoufanya sasa imekuwa too much, kwa ufupi hawa wabunge wawili wanamahusiano ya jinsia moja hata aina ya magari wanayotumia yamefanana ukiongezea na nguo mpaka cheni na vidani wanavyovaa , huo mchezo wanaoufanya watu wa kwenye mahoteli wanapofikia wameshawashtukia na hakuna siri tena, pia kuna kipindi m1 kati ya waheshimiwa hao aliwahi kumuweka kinyumba msanii m1 mkubwa wa filamu nchini kwa muda wa miezi takribani mitatu wakifaidi penzi hilo haramu katika hoteli moja jijini Dar es salaam.


Kusema kweli baada ya kumegewa huo umbea na kutajiwa majina ya hao waheshimiwa nilichoka kabisa na hata sikuweza kuamini kwamba wangeweza kufanya uchafu kama huu, nimeamini msemo ule unaosema don't judge a book by it's cover, yaani hao waheshimiwa ukawaona kwa nje ni wasafi sana wanakubalika katika jamii lakini behind the scene madudu wanayofanya hata Mungu hapendi.


Namalizia kwa kusema kwamba hawa waheshimiwa wanaofanya haya madudu ni vyema wakabadili muelekeo wao wa maisha na kujirudi katika mstari unaofaa kwani endapo jamii ikaja kudhibitisha hili itawacost katika Maisha yao na hata kupoteza heshima kubwa ambayo walikuwa wanapewa na wananchi wa Tanzania.
 
too bad for me sijawashikanisha wahusika,ila najua kuna wakuda watatupia majina tu.
 
Sidhani kama hairuhusiwi kisheria, kwani ni wiki iliyopita tu wabunge walio katika mapambano dhidi ya ukimwi walikuwa na mkutano na mashoga. Kama ingekuwa ni kinyume na sheria, nisingetarajia watunga sheria wafanye mkutano na wavunja sheria
 
Mambo ya watu yasikupotezee muda , kila binadamu anayo yake ya sirini. Jadili mambo ya muhimu achana na binadamu huta waweza.
 
duh hii ni noumaaaaaaa ngoja nifaint kidogo nikizinduka niambieni kama mnatania plz...........
 
Watu wengine bana.
Hivi unaweza kuambiwa kitu mara moja tena na mtu mmoja ukalibebelea mpaka mtandaoni kuja kuwatuhumu wenzio???
Na kama umeongopewa????

Sema tu lengo lako directly . . . wala usijizungushe hapa na kujidai eti umehuzunika.
Mxiiiiiuuuuuu!!
 
Mambo vipi wanajamvi wenzangu, hope mnaendelea vizuri kabisa pia kwa wale wakazi wenzangu wa jiji la DSM nafahamu kwamba tupo katika maandalizi ya kumpokea rais wa dunia Barack Obama na ujio wake kutoka Marekani, nisingependa niwachoshe sana kwani wahenga wanasema kuishi kwingi ni kuona mengi, leo nimekuja na uzi wangu wenye kichwa cha habari kinachosema mahusiano ya wabunge hawa.?Mhh, nieleweke kwamba nimeleta huu UZI sio kwa lengo la Kisiasa au kwa kumkandia mtu ila nimeleta hili jambo ili tuweze kushare na kutoa tathimini kuhusiana na jambo hili ambalo nimepata taarifa zake ambazo nimeshindwa kuzihimili kuzificha katika kifua changu .


Kwa ufupi wiki kama mbili zilizopita nilipata nafasi ya kuzunguka mikoa mbalimbali ya Tanzania kwa ziara ya kikazi, katika mikoa niliyotembelea moja ya mkoa ambao ulinifanya nilete huu Uzi hapa leo ni mkoani DODOMA ambapo niliweka kambi pale kwa muda usiopungua takribani siku tano, kwa ufupi pale Dodoma kuna binamu yangu ambaye yeye ni muajiriwa wa serikali ambaye anafanya kazi katika Bunge tukufu la Tanzania, kama mnavyojua karibu mgeni wenyeji wapone ndio ilichukua awamu yake, nilipata nafasi ya kuzunguka sehemu mbalimbali mkoani pale ikiwemo kutembelea chuo cha UDOM na maeneo mengine mengi kwani sikuwahi kufika katika mkoa huo, lakini katika hali ya kushangaza kuna rafiki wa huyu binamu yangu ambaye ni sista m1 hivi wa makamo, yeye anafanya kazi katika hoteli moja marufu sana pale Dodoma alikuja kumtembelea binamu yangu ikawa kama bahati akanikuta, mimi nikawa npo busy na Laptop yngu kitu cha Apple nafanya yangu, alipoondoka ndipo huyu binamu wangu akaamua kuning'ata sikio, ishu kamili ilikuwa hivi:


Binafsi nisingependa niwataje hawa wamama kulingana na heshima kubwa wanayopewa katika jamii lakini kwa mtu mzima mwenye uelewa anaweza kufahamu ninaowazungumzia, Kuna wamama wawili ambao wao ni wabunge pale Dodoma sema wapo vyama viwili tofauti na huwa ni marafiki wa karibu sana hata katika safari zao huwa hawaachani kama mkia, sasa yule mama wa makamo kaja kumpa umbea huyu binamu yangu kwamba kwa uchafu wanaoufanya sasa imekuwa too much, kwa ufupi hawa wabunge wawili wanamahusiano ya jinsia moja hata aina ya magari wanayotumia yamefanana ukiongezea na nguo mpaka cheni na vidani wanavyovaa , huo mchezo wanaoufanya watu wa kwenye mahoteli wanapofikia wameshawashtukia na hakuna siri tena, pia kuna kipindi m1 kati ya waheshimiwa hao aliwahi kumuweka kinyumba msanii m1 mkubwa wa filamu nchini kwa muda wa miezi takribani mitatu wakifaidi penzi hilo haramu katika hoteli moja jijini Dar es salaam.


Kusema kweli baada ya kumegewa huo umbea na kutajiwa majina ya hao waheshimiwa nilichoka kabisa na hata sikuweza kuamini kwamba wangeweza kufanya uchafu kama huu, nimeamini msemo ule unaosema don’t judge a book by it’s cover, yaani hao waheshimiwa ukawaona kwa nje ni wasafi sana wanakubalika katika jamii lakini behind the scene madudu wanayofanya hata Mungu hapendi.


Namalizia kwa kusema kwamba hawa waheshimiwa wanaofanya haya madudu ni vyema wakabadili muelekeo wao wa maisha na kujirudi katika mstari unaofaa kwani endapo jamii ikaja kudhibitisha hili itawacost katika Maisha yao na hata kupoteza heshima kubwa ambayo walikuwa wanapewa na wananchi wa Tanzania.

Mbona wanajulikana siku nyingi na huku Dom wanaitwa nyumba NTOBHU.
 
Li thread lote hili kiaa mahusiano ya jinsia moja? Obama mnayemkabidhi nchi eti ni raisi wa dunia ndo anakuja kuyahalalisha sasa. Amueni msuke au mnyoe ila kwa kuwa raisi wetu amekuwa omba omba soon hao unaowasema hawatajificha. Wataoana kabisa maana Obama ataacha maelekezo jinsi ya kufungisha hizo ndoa.
Japo kiafrika inakera wa jinsia moja kujamiiana. Hivi ile utam ya mke na mume wanaielewa vizuri kweli?
 
hivi huwa najiuliza why do we mind someones sexual preferences? Haituhusu sio?? hata ajamiane na mbwa who cares,hukunu ni kwa mungu as long as wasilete uchafu wao wa kutaka kujulikana na jamii au kuhalalisha ubatili
 
Mbona wanajulikana siku nyingi na huku Dom wanaitwa nyumba NTOBHU.

nyumba NTOBHU Nimeipenda ningefurahi kujua jina la msanii maarufu aliyewekwa kinyumba dar na mheshimiwa hotelini kwa muda wa miezi 3. Hakika kuna watu hata harufu ya pepo hawataisikia
 
Mleta uzi unataka tujadili nini? kama unawaonya tafuta e mail zao binafsi waandikie, kama unatufahamisha wataje majina, ili sisi tuwaonye!! otherwise mineno mingi hamna ujumbe.

Sp
 
Toa uthibitisho tukuamini isiwe ikawa ndo majungu hakuna ukweli wowote.
 
Mbona mheshimiwa mmoja hapo kashakanusha waziwazi mbele ya wanahabari kuwa hizo ni propaganda za kisiasa.
Alifika mbali na kusema mwenye "kiherere" cha kutaka kujua mahusiano yake basi yupo tayari kumtajia mlolongo wa majina ya ex's wake wote.
 
brazil soccer ,tz kipaji chao ndo iko uzush,kuchafuana,majungu,kuhukumu,kuropoka....aaha apple,umesahau shati la chuichui ulilovaa na viatu km vya reyomamu..
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom