Maisha magumu hayajaanzia Kwa samia tuh,hata enzi za jiwe mlikuwa mnasema kwamba vyuma vimekaza,ila hatukuwaona mkiingia barabarani kuandamana,kama kweli nyinyi ni wababe mngeandama zama za yule mwendazake,mmeshasahau mara hii??
Jealous, kikwete amekuwa na harakati za kulitumikia bara la Afrika na Dunia tokea alipoachia hatamu Kwa magufuli na Wala hakuanza kipindi hiki Cha Samia,na Magufuli amekuwa anamtuma kikwete mara nyingi tuh kumwakilisha nje ya nchi,acheni wivu na uchawi
Mbona chadema Kwa mfano hata kama Slaa aliwakimbia na kuwatukana lakini Leo wanamtumia kwenye maandamano Yao??
Wanaona nongwa kikwete akitumiwa kuishauri nchi wao kama Nani?
Nilichanganya baina ya kuishi kwake Canada na kuteuliwa kwake kuwa balozi wa Sweden,but kulikuwa na taarifa kuwa by the time yuko Sweden alikuwa anahudumia pia balozi ya Canada
Well,Hilo mnalijua nyinyi Sasa,Kwa watu wengine Hiko kitu ni dharau na kashfa Kwa siasa na demokrasia ya nchi hii,kama hawalioni Hilo basi they must be so so craizy....
Nauliza maswali ambayo of course Majibu ninayo na wewe pia unayo,simple questions...
Let's us continue comrade,kama Wilbroad Slaa alifikia hatua ya kukubali kuchukua pesa ya CCM na kuwakana chadema akatimkia zake Canada,then akaupokea ubalozi wa mwendazake kipindi ambacho wenzake walikuwa jela...
Nikasirike Slaa kuwa chadema? hujaelewa kinachozungumzwa,Slaa aliondoka chadema Kwa mbwembwe na Press conference,Leo anarudi kimya kimya Kwa mgongo wa maslahi ya TAIFA,wakati yupo na mwendazake huku chadema wakiozea jela na wengine kukimbia Nchi why alikuwa hasemi chochote?
Haina shida,tatizo ni kwamba hapo awali ndoa ilivunjika Kwa press conference,ila Kwa Sasa ndoa imerudi kimya kimya ndiyo tunauliza wanawafanya watanzania wajinga?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.