Search results

  1. DR. MWAKABANJE

    SALA maalumu kwa JF

    Ewe mungu baba mwenyezi mwingi wa Rehema, uliyeumba dunia watu na vyote vilivyomo. Ukawapa wanadamu uwezo wa kufikiri na kutenda, na katikati yao ukaweka viongozi ili waweze kuwaongoza vyema watu wako. Tunakushukuru eeeh mungu mwenye enzi kwa kutulinda na kututunza kwa mwaka 2018 dhidi ya...
  2. DR. MWAKABANJE

    " WHO IS THE KING OF UGANDA?"

    Afrika inakwenda kombo kwa kweli!! Sent using Jamii Forums mobile app
  3. DR. MWAKABANJE

    " WHO IS THE KING OF UGANDA?"

    Afrika inakwenda kombo kwa kweli!! Sent using Jamii Forums mobile app
  4. DR. MWAKABANJE

    " WHO IS THE KING OF UGANDA?"

    Afrika inakwenda kombo kwa kweli!! Sent using Jamii Forums mobile app
  5. DR. MWAKABANJE

    " WHO IS THE KING OF UGANDA?"

    Afrika inakwenda kombo kwa kweli!! Sent using Jamii Forums mobile app
  6. DR. MWAKABANJE

    " WHO IS THE KING OF UGANDA?"

    Afrika inakwenda kombo kwa kweli!! Sent using Jamii Forums mobile app
  7. DR. MWAKABANJE

    Msaada IC ya radio.

    Wasalaam, Kama kichwa kinavyojieleza naomba kusaidiwa wapi naweza pata IC ya radio; LA 4496 (JVC radio) kwa dar, mi nipo mkoani but nikipatiwa msaada wa wapi naweza pata ntajua njia ya kuipata.
  8. DR. MWAKABANJE

    Wachawi hupenda giza

    Nasikia anataka kufunga na dirisha ambalo angalau kwa kiasi linaingiza mwanga ndani, hii ni baada ya kuzima taa ya "dining room" sehemu pekee tunapopanga matumizi yetu ya jinsi ya kula sasa majadiliano ya mipango hiyo ni gizani. Zaidi amefunga baadhi ya madirisha kwa kuhakikisha yeye ndo mtoa...
  9. DR. MWAKABANJE

    Vijembe na maaskofu halafu ushinde vita sahau!

    Sina hakika lakina dhamira yangu inanituma niseme haya; unaweza ukawa ni "jiwe", pamoja na nguvu zote za kimamlaka lakini kuna wakati busara lazima kiongozi ikuongoze. Nchi yetu haina dini, lakini watu wake wana dini zao na ndo maana wanapoapishwa wanashika vitabu vya dini kubwa mbili...
  10. DR. MWAKABANJE

    Chinua Achebe na utabiri wa Afrika ya leo; A man of the people

    CHINUA ACHEBE NA UTABIRI WA AFRIKA YA LEO; A MAN OF THE PEOPLE. • Wakuu kwa wale wapenzi wa vitabu vya fasihi ya Africa na hata wale wasiokuwa wafuatiliaji sana, nimeona ni bora tukajikumbusha kidogo Riwaya hii ya mwandishi nguri wa Africa kutoka Nigeria Chinua Achebe. • Kwa ufupi; •...
  11. DR. MWAKABANJE

    Msaada: Ng'ombe wa maziwa kitulo

    Naombeni msaada juu ya maelezo ya jinsi ya kupata mbegu ya ng'ombe kutoka shamba la kitulo lililopo Makete-Njombe ikiwa ni pamoja na bei yake kulingana na umri na kama naweza pata mawasiliano yao nitashukuru. Ahsanteni.
  12. DR. MWAKABANJE

    "Tujisahihishe" 2018

    Kheri ya mwaka mpya! Tukiwa na muda mchache tangu tuuanze mwaka ni vyema tukajikumbusha maneno ya baba wa taifa hili Mwl. Nyerere ili tuweze kuanza mwaka na tafakuri nzito juu ya makosa yetu kama taifa na kuyasahihisha makosa hayo, ujumbe huu alipata kuutoa May 1962 lakini ni Ujumbe mzito...
  13. DR. MWAKABANJE

    Aliomba tumwombee, sala zimejibiwa hawataki kukubaliana nazo.

    Kwani uliposema tukuombee au mliposema tumwombee mlitarajia majibu gani kwa maombi yetu?? Mbona majibu ya sala zetu mnayakataa enyi kizazi cha nyoka? Je ni sahihi kwa mgonjwa kuomba dakatari ampime tatizo lake na majibu ya kidaktari kuyakataa?? Mungu ana njia zake za kupokea maombi ya waja...
  14. DR. MWAKABANJE

    "Naenda Zimbabwe" na kinachotokea sasa je ulikwenda kwa kazi maalumu?

    Kuna mtanzania mwenzetu kupitia sanaa alifanya uungwana kwa kutuaga kuwa yeye ameamua kuelekea Zimbabwe miezi kadhaa iliyopita. Tulijiuliza sana kwa nini ameamua "kutoka" Tanzania, mahali alipozaliwa, kukulia, nk huku akiwa na ndugu, jamaa na marafiki tele ndani ya mipaka ya nchi yake? Na kwa...
  15. DR. MWAKABANJE

    Hatutaki visingizio: Ni Miaka mitano ukibahatika mara mbili tuu

    Yaani hata ukipewa mtihani lazima upangilie muda na uchague maswali ya kuanza nayo, ukirukia rukia maswali lazima uone muda hautoshi na uanze kulalama wakati mwanafunzi mwenzio katumia muda uleule kufanya maswali yote na kufaulu. Kabla hata muda wa uchaguzi haujafika hakujua kuwa wenzake...
  16. DR. MWAKABANJE

    Mfumo wa siasa za Rwanda ndani ya Tanzania

    Ni takribani miaka miwili sasa siasa za Tanzania zimebadirika mno labda kwa namna ambayo pengine mtu usingeweza fikiri itakuwa kama ilivyo leo na pengine pia ndo mabadiriko yanayoonekana zaidi kuliko hata maendeleo ya sekta nyingine za kiuchumi katika taifa letu. Siasa za Tanzania ya leo...
  17. DR. MWAKABANJE

    Dereva wa Lori letu tunaelekea kituo gani??

    Pole na uchovu wa safari na kuendesha chombo kwa umahili mkubwa, hata hivyo mimi mmoja wa abiria wako nina swali moja tu, je Lori letu linaelekea wapi?? Wala hata usikasirike dereva wangu najua umechoka japo hukubali kamwe kuchoka, je tupo eneo gani na tunaelekea wapi?? maana huku nyuma...
  18. DR. MWAKABANJE

    Watumishi wa umma awamu ya tano dhambi yetu ni ipi?

    Watumishi wapo kimya wanaugulia maumivu kimya kimya na mbaya zaidi hawana hata chombo cha kuwasemea. Miaka miwili hakuna ongezeko la mshahara wala madaraja. 15% bodi ya mikopo makato yameongezwa yaani mshahara aliouacha JK umeshuka kwa 8% kwa wadaiwa wa bodi ya mikopo. Ukiwa mtumishi wa...
  19. DR. MWAKABANJE

    Msaada wapi nitapata mifuko ya kuhifadhia nafaka kwa bei nafuu

    Kama kichwa kinavyojieleza, naomba kujua mahali na bei ya jumla ya mifuko ya kawaida ( nylon/salfeti) ya debe sita kwa Dar. asanteni
  20. DR. MWAKABANJE

    UWIZI WA VIONGOZI WA AFRIKA HUANZIA KWENYE SANDUKU LA KURA

    Uzalendo wautoe wapi?? Waliowengi uwizi wao huanzia kwenye sanduku la kura sasa tunatarajia wawe ni watu wenye kutenda haki au kutetea maslahi ya taifa ?? Uzalendo hukosekana tangu kwenye kipiga, kuhesabu na kutangaza matokeo ambayo mostly chama kilicho madarakani hushinda sasa tunategemea...
Back
Top Bottom