Search results

  1. Mbu

    Nimewakumbuka, MMU Legends

    Nimewakumbuka tu huko mliko jamaa zangu wa miaka ile, Uwanja wa MMU umekuwa mpana sana, siku nazo zimekwenda alhamdulillah. Anyway ni salaam tu kwenu nyote; MwanajamiiOne, Dark City, nyumba kubwa, Nyamayao, The Boss, The Finest, bht, Gaga, Kaunga, Asprin, Maty, King'asti, na wengineo weeeeengi...
  2. Mbu

    Kiwanja kinauzwa

    DETAILS:- Kiwanja kipo madale kwa kawawa,Unaingilia Tegeta Kibaoni, ni umbali wa kilomita zisizo pungua 7KM toka barabarani mpka kiwanja kilipo, kuna makazi ya watu tayari huko wamejenga tu, kiwanja kina nyaraka za Serikali za Mitaa hakina Shida kabisa. Gari la aina yoyote linafika mpaka hapo...
  3. Mbu

    Dengue Mchana usiku Malaria

    Sasa ni mabaibui na madera tu, mkivaa mini skirt, sijui tights sisi na wewe. #MosKwito !
  4. Mbu

    Mapenzi....mnh!

    .....maskini, #buzi linapelekwa kuchunwa. Cc: Dark City, @aspirin, Teamo, Rock City, The Boss, MTM, EMT et al.... #MosKwito !
  5. Mbu

    Ee Mwenyezi Mungu Tunusuru!....au Nimepitwa na wakati?

    "everything that God made valuable in the world is covered and hard to get to. Where do you find diamonds? Deep down in the ground, covered and protected. Where do you find pearls? Deep down at the bottom of the ocean, covered up and protected in a beautiful shell. Where do you find gold? Way...
  6. Mbu

    Msongo wa mawazo na madhara yake!

    …... Hebu leo tujadiliane Usongo wa Mawazo katika MMU. Tangu zamani pamekuwepo na matukio ya Mauaji ya kimapenzi, ama kusikia Mwanaume au Mwanamke amejiua kutokana na "wivu" wa kimapenzi. Watu hawa ni sawa na mimi na wewe katika maisha ya kila siku, mpaka linapotokea tukio ndipo...
  7. Mbu

    ..."'Mke Wangu'/'Mume Wangu!'"...Tafsiri!

    ....hivi, kwako wewe uliyeoa/ kuolewa, au kwako wewe uliyewahi kuoa/ kuolewa au hata wewe unayekaribia kuoa/kuolewa... Nini tafsiri ya MKE WANGU/MUME WANGU?...fafanua plz 💃🏃
  8. Mbu

    Phobia? Selfishness, au Nini?

    ....hivi, hebu nyie watu wazima wenzangu incl Dark City, @ nyumba kubwa, Lizzy, Mr Rocky, Nyamayao,..... Mniambie hii kitu kwenye ndoa, Mume/mke anakuwa; -hapendi mwenza wake akisifiwa, -hapendi mafanikio ya mwenza wake Kikazi -hapendi mafanikio ya mwenza wake kimaisha, nk nk.. Yaani...
  9. Mbu

    ........nimekukumbuka sana :'(

    .... Mbu na swaum hii, wallah nimejiskia ku dedicate wimbo huu, kuenzi kumbukumbu nyingi na tamu tamu tulizojaaliwa ku share.... It is for you luv..... xoxox "If I Could Turn Back The Hands Of Time" How did I ever let you slip away Never knowing I'd be singing this song some day And now I'm...
  10. Mbu

    Mtu wa kununa, Le Sulk!

    "....Na kununa ni gonjwa baya sana tena la kijinga"- TIMING Je? nawe ni "mnunaji sugu"katika mahusiano yako? yanakunufaisha nini? au, katika mahusiano yako unapambana vipi na kaadhia hii ya "kununiwa?"
  11. Mbu

    Penzi ni 'ufunguo' wa Magonjwa ya Akili!

    ....unless hutaki ku fit in kwenye ndoa yako,....otherwise, unapoingia kwenye relationship jiandae pia kukabiliana na ; Anxiety disorders, Panic attacks, Erectile dysinfunctional, Tension headache, Alcoholism, Stress, Being anorexic/obese, Bipolar disorder, Posttraumatic stress...
  12. Mbu

    Pima joto.....

    ....nawaamkua wakuu wa jukwaa hili. Nimeulizwa, nami niwauliza. Ati? 1. Kumfumania mume/mke....au 2. Unajua mume/mke anacheat ila hujabahatika kumkamata. Lipi linauma zaidi?
  13. Mbu

    ....Kuthubutu!

    ...ni wakati gani? katika mapenzi ulipo thubutu na kujiaminisha 99.9% 'nanihii...' wako... er..I mean - (incl. ex-wife/husband, current spouse, widow, etc) alistahiki "HASWA" kuoana na wewe! Angalizo;...nalenga mdahalo huu kwenye "matakwa na uchaguzi wako" uliyojitoshelezea wapi mpaka ukaona...
  14. Mbu

    Kudanganya......

    .....:screwy: .....hivi, unapokuwa unamdanganya mtu, bila 'woga' kwamba ANAJUA unamdanganya, ...kusudio lako huwa nini? .....mimi bado sina tafsiri sahihi juu ya hili zaidi ya 'madharau' katika mapenzi. Au wewe waonaje? Mbu is only thinking ALOUD ....:what: Nipeni maoni yenu waungwana...
  15. Mbu

    (kuuliza si ujinga) Hivi, Ushawahi kujiuliza?...

    ...hivi, ghafla bin vuu mwenzio anashikwa na dege dege kisha 'anakaukia' kwenye ma-au-nanihii yako...hivi utapiga kelele au 'unakufa' na tai yako shingoni? Dont ask! ...I don't do 'these' Experiments at home or away aisee...
  16. Mbu

    Insincts/machale/6th sense & intuition...

    .....d'u belive hiyo makitu hapo juu?.... Unaipa/ unayapa nafasi gani katika maamuzi ya matendo yako? Hebu tubadilishane mawazo aisee... Huenda nazeeka vibaya, au sijui ndio mid life crisis....lakini miaka ya hivi karibuni nimejikuta najali zaidi hisia zangu kwanza, kisha matakwa ya huyu...
  17. Mbu

    Kwa ajili yako tu...

    ...happy valentines day :A S-coffee:
  18. Mbu

    "Wengi Wape"...Uamuzi Mzito

    .jpg"]...nisaidieni mawazo wanandugu. Baina ya kipato na familia kwa mtazamo wako, kipi unakipa uzito mkubwa kuliko kingine?... ...kabla wenye muono 'tofauti' hamjanitoa jicho, kipato namaanisha kazi yenye kipato kikubwa inayonilazimu nikae mbali na familia kiasi cha kuonana nao wakati wa...
  19. Mbu

    Tofu Tofu Dance - Beyonce...inspirational...

    ...enjoy the vid guys, kuna kipande hawa jamaa wa tofu tofu dance wenye asili ya msumbiji anamuuliza Beyonce, "...and who are you?!" hillarious....big up tofu tofu dance, inspirational behind Who Runs The World/Girls...
  20. Mbu

    Social Networking/Mitandao ya ki-Jamii...

    ...tangu mchipuko wa mitandao ya jamii kuibuka sambamba na teknolojia ya huduma ya internet kupatikana kwenye simu za mikononi, binafsi nishahadithiwa, kusoma na kujionea mipasuko ya ki mahusiano, mapenzi, urafiki na hata ndoa kutokana matumizi yasiyo sahihi ya mitandao hii. ...na hii...
Back
Top Bottom