Penzi ni 'ufunguo' wa Magonjwa ya Akili!

Penzi ni 'ufunguo' wa Magonjwa ya Akili!

Mbu

JF-Expert Member
Joined
Jan 11, 2007
Posts
12,753
Reaction score
7,886

​
....unless hutaki ku fit in kwenye ndoa yako,....otherwise, unapoingia kwenye relationship jiandae pia kukabiliana na ;

Anxiety disorders,
Panic attacks,
Erectile dysinfunctional,
Tension headache,
Alcoholism,
Stress,
Being anorexic/obese,
Bipolar disorder,
Posttraumatic stress disorder,
Adult Attention Deficit Hyperactivity Disorder,
Suicide tendencies,
Schizophrenia,
Split personality disorder,
Insomnia,
Drug Abuse,
Obsesssive Compulsive Disorder,
Antisocial Personality Disorder,
Psychotic Disorder,
nk nk....

Kinacho trigger 'mental illness' za hapo juu ni pale Unapobahatika mwenza ambaye 'anakuwa' na tabia ambazo hazieleweki eleweki kirahisi kichwani mfano, mtoro/mchelewaji kurudi nyumbani, mzinzi, nk nk...

Raha za mapenzi/ndoa ni nini?
 
Aisee mkuu raha ya mapenzi ni peace of mind kati yenu wawili....usiombe ukakutana na wife mnunaji....mbona utatamani urudi utotoni aisee.......
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
Aisee mkuu raha ya mapenzi ni peace of mind kati yenu wawili....usiombe ukakutana na wife mnunaji....mbona utatamani urudi utotoni aisee.......

Bora wife mnunaji kuliko mwanaume mnunaji.....!!!
 
  • Thanks
Reactions: Mbu

Raha za mapenzi/ndoa ni nini?

Raha za mapenzi / ndoa ni kushare matatizo (matatizo shared ni nusu ya matatizo) na kushare raha (raha shared ni raha doubled)

Sasa utata unakuja pale mwenza wako anapokuwa part ya matatizo badala ya kukupunguzia matatizo anakuongezea shida, hapo inakuwa furaha hakuna na matatizo juu ya matatizo
 
Kwa wale wanaopata wenza wanaofaana ni "Raha tupu"
Kwa wale wenzangu na mie mahusiano ni "Shida tupu"

Na mwisho wa yote hayo ni kifo..

by the way Mbu I like your signature
Dunia ni yako :nimekataa:😛ray::rant:Chaguo ni lako.

 
Kiukweli hakuna mahusiano magumu kama haya.
'
Kuna watu wana mzaha sana kwenye jambo hili,ni jambo la kusikitisha sana.
'
Matatizo uliyoeleza hapo juu na mengineyo yanawapata hasa wale ambao wako siriazi kwenye mahusiano,wale wanaochezea wenzao hawajali wala haiwaumizi.
'
Ukitafuta kupewa furaha au upendo na mpenzi utaishia kaburini mapema!
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
hakuna mwanaume mnunaji...akinuna ujue keshapoteza sifa ya uanaume...mwanaume ukizinguliwa ni kukoroma na kutoa kichapo tuuu...kwa nini unune....

He he he mi huwa nakutana nao wanunaji!!!!
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
mi nina miaka saba ya ndoa nakaribia kuchanganyikiwa, mume wangu akiondoka mpaka ufanye kumtafuta kwenye simu saa kumi usck, ukiacha ajilete utamuona asubuhi kweupe, du uck kucha nalia, si nitaumwa magonjwa ya ajabu!
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
Raha za mapenzi / ndoa ni kushare matatizo (matatizo shared ni nusu ya matatizo) na kushare raha (raha shared ni raha doubled)

Sasa utata unakuja pale mwenza wako anapokuwa part ya matatizo badala ya kukupunguzia matatizo anakuongezea shida, hapo inakuwa furaha hakuna na matatizo juu ya matatizo

.....hapo sasa,

" UTATA UNAKUJA PALE MWENZA WAKO ANAPOKUWA PART YA MATATIZO...."
​
...japo hii haikubaliki lakini pia haiepukiki, tunaona kwa kiwango kikubwa sana watu wanapoamua kutatua tatizo kwa tatizo ie "Jino kwa jino!" I mean, wengi wanatafuta kifuta machozi ili kujiepusha na hayo 'mafataki' ya akili na usongo wa mawazo sababu tu ya MAPENZI.
 
mi nina miaka saba ya ndoa nakaribia kuchanganyikiwa, mume wangu akiondoka mpaka ufanye kumtafuta kwenye simu saa kumi usck, ukiacha ajilete utamuona asubuhi kweupe, du uck kucha nalia, si nitaumwa magonjwa ya ajabu!

.....Pole sana, sasa anza kujifariji ....."you are not alone!"
 
Kwa wale wanaopata wenza wanaofaana ni "Raha tupu"
Kwa wale wenzangu na mie mahusiano ni "Shida tupu"

Na mwisho wa yote hayo ni kifo..

by the way Mbu I like your signature
Dunia ni yako :nimekataa:😛ray::rant:Chaguo ni lako.


....haha, thx dear.....dunia ni yako chaguo ni lako...
"ukiamua kuwa happy au unhappy!" inahusika sana hapa pia.
 
Kiukweli hakuna mahusiano magumu kama haya.
'
Kuna watu wana mzaha sana kwenye jambo hili,ni jambo la kusikitisha sana.
'
Matatizo uliyoeleza hapo juu na mengineyo yanawapata hasa wale ambao wako siriazi kwenye mahusiano,wale wanaochezea wenzao hawajali wala haiwaumizi.
'
Ukitafuta kupewa furaha au upendo na mpenzi utaishia kaburini mapema!

....hahaha, kwenye u 'player' kuna kaukweli hapo, furaha ya maisha ni jukumu lako mwenyewe, ukisubiri mtu akupe furaha utaishia kujiudhi tu!
 
So true....
na mwisho ni 'a complete personality change'

kuna watu hadi unawaonea huruma

....na makunyanzi usoni, mvi kibao au upara mkubwaaaa kichwani tena wala 'umri si wako'...hahaha!
 
He he he mi huwa nakutana nao wanunaji!!!!

enheee.....akheri mwenyewe umejishtaki....kumbe chaguo ni lako,
iweje kila mara unakutana na wanunaji tu? beware...bora ya hao wanunaji
ambao wanakupa ma stress ya ku decipher msg kuliko wale wapiga makofi na mangumi!
 
Kama wanyama wasio na utashi mathalani Kasuku wanaweza kupendana dhahiri hadi sisi wanadamu tumeweza kutunga tungo na semi juu ya mapenzi yao, Sasa ni wapi sisi viumbe wana wa Adam tunashindwa ??? Hapana, mapenzi ni matamu, ni raha, ni kielelezo cha ukamilifu wa mtu.
 
Back
Top Bottom