....Kuthubutu! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

....Kuthubutu!

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Mbu, Jul 11, 2012.

 1. Mbu

  Mbu JF-Expert Member

  #1
  Jul 11, 2012
  Joined: Jan 11, 2007
  Messages: 12,729
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160


  [​IMG]

  ...ni wakati gani? katika mapenzi ulipo thubutu na kujiaminisha 99.9% 'nanihii...' wako... er..I mean - (incl. ex-wife/husband, current spouse, widow, etc) alistahiki "HASWA" kuoana na wewe!

  Angalizo;...nalenga mdahalo huu kwenye "matakwa na uchaguzi wako" uliyojitoshelezea wapi mpaka ukaona; -'huyu ndiye kabisa, hakuna kuliko kama yeye aisee!'-
   
 2. Scofied

  Scofied JF-Expert Member

  #2
  Jul 11, 2012
  Joined: Jun 5, 2012
  Messages: 2,017
  Likes Received: 197
  Trophy Points: 160
  subili wanakuja.....
   
 3. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #3
  Jul 11, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Walo kwenye mahusiano watakujibu,,,,,me nipo upande wa akina b kiro-boto hatuna wenza
   
 4. Mbu

  Mbu JF-Expert Member

  #4
  Jul 11, 2012
  Joined: Jan 11, 2007
  Messages: 12,729
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160
  ....hahaha...Scofield na Bajabiri mnasepa bure tu. Jana nilikuwa naangalia H-Baba akiulizwa alichompendea Irene Uwoya (miaka hiyo) akakosa jibu.

  Kwanini kuna ugumu gani (uwe umeoa au la) kuelezea Ulimpendea mambo gani Ex-girlfriend/ex-boyfriend, au hata ex-spouse wako?
  Let us be fair jamani...:D
   
 5. gfsonwin

  gfsonwin JF-Expert Member

  #5
  Jul 11, 2012
  Joined: Apr 12, 2012
  Messages: 16,963
  Likes Received: 1,847
  Trophy Points: 280
  binafsi nilijiamninisha the moment nilipoamua kuingia ndani yaani kuwa mke, to me sikuvipa vipaumbele yale yatokanayo bali niliweka mbele uvumilivu na busara katika kuitete ndoa yangu. sijawah kujuta wala sitojuta katika ndoa yangu, kwani so long as nilifall basi mengine yote ni ya kibinadam tu na hata kama patokee nini bado nita stick kwenye penzi langu na uvumilivu wangu basi.
   
 6. gfsonwin

  gfsonwin JF-Expert Member

  #6
  Jul 11, 2012
  Joined: Apr 12, 2012
  Messages: 16,963
  Likes Received: 1,847
  Trophy Points: 280
  hapa Mbu pana mkanganyiko kidogo, kwanza kabisa kama ali kiba alishindwa kulisema hilo hadharani namsifu sana, ila pia sifa hizi nitazizidisha endapo atakuwa na kifua cha kuhifadhi mapungufu ya uwoya.

  talking it publicly n mbaya sana kwasababu wanaokuona ni wengi sana hivi wafikiri akisema alimpendea kifua kilichonakshiwa kwa tatoo na ngozi lain na tits zilizofinyangwa kama nyanya ya mshumaa mkewe/girlfriend atamuelewa? au atafurahia? no matter hata kama yeye ndio yuko ndani but kuna vitu vingine huwez kuvisema hadharani hasa vihusuyo mapenzi. binafsi aliyemuuliza swali hilo hajui wala hana ethical related manners ktk profession yake. hongera ali kiba kwa kutokusema mwaya.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 7. MwanajamiiOne

  MwanajamiiOne Platinum Member

  #7
  Jul 11, 2012
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 10,478
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Soulmate nadhani ni wachache sana hubahatika kufanya changanuzi ya aina hii. Kwa wanawake wengi hupofushwa na maamuzi ya mwanaume. Kwamba mradi tu amepropose webgi tunajikuta tukisema Yes, Yes bila kujiuliza kama ndie sahihi au lah! Na pia unakuta muda umekwenda mmekaa pamoja kwa muda then tunayafumbia macho yale mabaya kwa mwamvuli wa nitambadilisha akishanioa!

  Wana kheri wanaobahatika kutafakari kabla ya kuingia.
   
 8. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #8
  Jul 11, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,427
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  99.9% si rahisi kujiaminisha ivo ...for me kutokana na nilikopita hata 10% siwezi fika.....binadamu bwana hatutabiriki
   
 9. by default

  by default JF-Expert Member

  #9
  Jul 11, 2012
  Joined: Jul 11, 2011
  Messages: 843
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Swali gumu kwakel kuna dada nilimpropose kama miezi 5 imepita mwanzon alileta kausumbufu kakike nataka sitaki nikawa nishachoka bembeleza mwanaume ghafla nilijiuliza huyu msichana anastahili kuwa my wife 1day nikapata jibu hapana kutoka moyoni.nilianza kupunguza kumtafuta matokeo yake yeye ndo ananitafuta nimempa ukwel kwa alivyonisumbua ilifika wakat nikawa nishapoteza kujiamin kumpenda.mtoto wawatu ananiita muhuni nacheza na hisia za wanawake ila ndo ivyo siwez tena kumpa moyo.wakati namtokea aliweka radhau,jeuri na ufahari wa kabila lake mbele na kuhuliza maswal ya kipumbav utazan anataka kuniajir UN. Mimefikiria umuhim wake kwangu nimeona hakuna
   
 10. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #10
  Jul 11, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,508
  Likes Received: 2,249
  Trophy Points: 280
  Yaani umesoma mind yangu! Niliongea na mtu usiku, hili wazo likawa kichwani mwangu na nikaona uvivu kulitoa.

  Kuna mtu aliweka stages za mapenzi humu. Nadhani unaanzia kwenye lust (mhemko wake ni balaa, hunywi maji, hulali, kila saa unamuwaza yeye. Akikugusa hata unywele unastuka kama shoti ya umeme imekupitia).

  Stage inayofuata ni love. Mie huiita zone reality! You are not always in the mood for him or her. Unakuwa unafurahia space yako pia lakini huku unammiss na kumpenda pia. Mnaweza kutofautiana bila kupata kichaa cha kurushiana maneno na kulia.

  Wenye bahati zao wanaishia stage two, lakini stage three ndo ile mambo yanapoa kabisaaa! Akikuona anaskia kichefuchefu kabisa! Kutegemeana na ustaarabu wenu binafsi, hapo ndio ndondi, kashfa na mengineyo yanaingia. Wastaarabu kidogo wanatafuta small houses, wanajificha ficha wanastuka haiwasaidii wanarudi kimya kimya.

  Kufanya maamuzi ya kuingia ndani ukiwa kwenye stage 1 ni suicidal! Na mojawapo ni wazo la kum'badilisha mtu. Hakuna kumbadilisha mtu aisee, take it or leave it!
   
 11. Mbu

  Mbu JF-Expert Member

  #11
  Jul 11, 2012
  Joined: Jan 11, 2007
  Messages: 12,729
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160
  ...:) H-Baba bana, sio AK. Bila kuchakachua mada iliyopo mbele yetu kwa mfano niloutoa baina ya HBB na binti Uwoya, maana jamaa sijui ndio uchungu, au chuki.. maana alifikia kumponda binti ati si lolote si chochote kwa 6"6 live on air....kwanini hatutaki sifia mazuri yalotuvutia kwa ex-wetu?

  Back to the topik. Umegusia pwenti nzuri kwamba wengine wengi hawana vifua kuhimili kusikia Ex-wanasifiwa. Kwakuwa wewe umethubutu, at what point "exactly" au nini kilikusukuma ukaweza kuchukua maamuzi magumu?
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 12. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #12
  Jul 11, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,427
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  daaah kwani kuulizwa maswali ni vibaya mkuu?....alikuwa hakujui maybe kutokana na hayo maswali yake ndo akavutiwa na wewe baada ya kupata majibu...ujue kila mtu ana maswali yake muhimu..mfano for me kuna maswali ni ya muhimu saaana kwangu..dini.umri...sijui yeye alikuuliza maswali gani..but kama ulikwazika na maswali wewe ni mtu wa ajabu...nadhani ulikimbia na paper mkuu...kama vijiswali vya mapenzi visivo na calculation vinakukera ukipewa paper la board teh kidding bana
   
 13. Mbu

  Mbu JF-Expert Member

  #13
  Jul 11, 2012
  Joined: Jan 11, 2007
  Messages: 12,729
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160
  Soulmate bana, huo mstari wa mwisho ni kana kwamba umejikatia tamaa....does it have to do with jamii yetu ya kibantu inavyomlea mtoto wa kike (...asubiri mume yeyote ajae ndie atayemuoa) au?
   
 14. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #14
  Jul 11, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,427
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  kumbe kuna stage basi mimi ya tatu ndo ya kwanza na huwa naishia hapo hapo...
   
 15. Mahmetkid

  Mahmetkid JF-Expert Member

  #15
  Jul 11, 2012
  Joined: Apr 20, 2012
  Messages: 557
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 45
  Nilithubutu na kuona hana vigezo vyote vya kuwa mke wangu mara tu pale nilipokutana nae, kabla ya hapo nilikuwa na mpenzi ila mahusiano yetu hayakuwa mazuri sana na ilinichukua muda mchache sana toka niliachana nae na kumuoa yule niliyemwona kuwa na vigezo vyote. Ilinichukua miezi miwili nikafunga nae ndoa, tena kila kitu cha harusi niligharamikia mwenyewe kwani katika familia kulikuwa na maandalizi ya harusi ya mdogo wangu wa kike na harusi yake na yangu zilipishana wiki moja.
  Hadi leo ninae mke wangu, na namshukuru Mwenyezi Mungu kwangu mie ni mke bora kabisa niliyempata na tuna watoto wawili na maisha yetu yanaenda vizuri.
   
 16. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #16
  Jul 11, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,427
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  teh ndo maana mimi nikasema huwa naachika kila siku mtu asie utamjua tu immediately haitaji wiki wala miezi mkuu...huwa nashangaa watu wamekaa miaka 3 eti wachumba then wanaachana...uchumba gani wa miaka 3? wa kujenga ghorofa ama?....huwa sielewi...
   
 17. Mbu

  Mbu JF-Expert Member

  #17
  Jul 11, 2012
  Joined: Jan 11, 2007
  Messages: 12,729
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160
  ....hahahaha! wewe bana acha kukimbia swali wakati umenielewa....lol...

  Where did you draw the line. Kwamba this man is my #1....mr perfect! hizo post mortem ulizoziweka hapo stage three nimecheka sana...

  Wapi katika stage hizo mbili,...er myb number 3rd ilikuhusu pia ulipojikubalisha "mkishaoana" atabadilika? au nawe hukubahatika kumchungua, na kujikubalisha nae?

  Confess bana,...pingu ya maisha hiyo.
   
 18. Dena Amsi

  Dena Amsi R I P

  #18
  Jul 11, 2012
  Joined: Aug 17, 2010
  Messages: 13,137
  Likes Received: 254
  Trophy Points: 160
  Mbu mie nilimpenda sababu aliikuwa very smart yaani nikimuona tu roho kwatu na sura alikuwa nayo ha ha ha usiniulize zaidi bana kha!!!!!
   
 19. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #19
  Jul 11, 2012
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  ..unajua kabla na awali ya yote niliwahi kuwa na mtu..again nikampenda sana...and i thought labda nikifanya ivi itakuwa vile...and i thought again labda kwa falsafa ya 'kusubiri na kuwa mwaminifu'...tungeelewana..!by the time ''najiaminisha'' kwamba nimefanya chaguo sahihi...she was ''taking-off'' to another person...!that one hurts kiukweli kabisa....!


  ..lakin mungu wa ajabu...!something happened tena..!you know i was ''giving it a try'' smwhr kwa ile akili ya ''ku-buy time''...and it worked out!...happily!..

  sasa mbu ndugu yangu sasaaaaaaaaaaaaaaaaa.....!

  ngoja kidogo nikaaaaa.......
   
 20. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #20
  Jul 11, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,427
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  kumbe unapenda masharo eeeh?
   
Loading...