Mbu
JF-Expert Member
- Jan 11, 2007
- 12,753
- 7,886

....hivi, hebu nyie watu wazima wenzangu incl Dark City, @ nyumba kubwa, Lizzy, Mr Rocky, Nyamayao,..... Mniambie hii kitu kwenye ndoa, Mume/mke anakuwa;
-hapendi mwenza wake akisifiwa,
-hapendi mafanikio ya mwenza wake
Kikazi
-hapendi mafanikio ya mwenza wake kimaisha, nk nk..
Yaani yeye anataka mwenza wale abaki dhalili tu!....
Ni nini hii?! Psychological problem, Obsession au ni Ujinga tu!?
Eti Eiyer, @aspirin, King'asti, afrodenzi, Smile, EMT, TIMING, soulmate wangu MwanajamiiOne na wengineo, mkuje hapa mnipe ushauri...
... AshaDii, umenisoma jamani, BAK, tafakari unishauri...mpo wengi, sitawataja wote ila nawaomba msaada wa mawazo juu ya hili....
Kwanini "hawafurahii" mafanikio ya wenza wao?!!
Last edited by a moderator: