Search results

  1. mtoto matataa

    Ushauri wakuu hapo mimba ipo kweli??

    ujiandae kulea tu.hapo ipo lakini itakuwa changa maana mstari mmoja upo faint
  2. mtoto matataa

    TTCL asanteni kwa kunipunguzia gharama za MB mko vizuri 2GB kwa mwezi 1500

    airtime ya TTCL unaweza nunua kwa kupitia mpesa,tigopesa au airtel money tatizo lao hawa hawajacover nchi nzima.
  3. mtoto matataa

    Waliofanya Utafiti huu tafadhali ndani ya Saa 24 watuombe radhi wana Mkoa wa Mara

    ujasiri anaomaanisha wanautamaduni wa kutahiri vijana bila ganzi na wanatumia kisu na ukilia tu ni kesi.huo ndio ujasiri aliomaanisha.sio hii ya kutahiri vichanga hosp na ganzi
  4. mtoto matataa

    Jua jinsi ya kupata namba yako ya bahati na maana yake

    we ni pacha wangu kabisa kasoro mwaka tu
  5. mtoto matataa

    Bringing FOREX from the world to Tanzania - The road to financial freedom

    kama aliweza kusafiri hadi SA kuipata hiyo elimu.wewe kusafiri tu kuja Dar kuipata hiyo elimu unaona shida na training yenyewe tena bado unaipata for free.
  6. mtoto matataa

    Kweli pesa inatakatisha,huu ndio muonekano wa sasa wa STIVE(shabiki wa yanga)

    sijui ni macho yangu.ila naona kabisa ni watu wawili tofauti kabisa
  7. mtoto matataa

    Weekend Story! Glory Be To God!

    umeweza kunivunja mbavu.eti anawaza kuchukua nyota na mwezi akawauzie waarabu
  8. mtoto matataa

    Genius Only: Ni Pipa Gani Litaanza Kujaa?

    7 itabidi ijae kwanza ndio ianze kupeleka kwenye 10
  9. mtoto matataa

    Tumefanyiana wake zetu live live ndani ya chumba kimoja

    hii story ishaletwaga humu miaka ya nyuma.jaribu kuavoid plagiarism kama unataka kuwa mtunga hadithi mzuri
  10. mtoto matataa

    TANZIA: Karani wa Baraza la Mawaziri, Hassan Shebuge afariki dunia

    na yu na Zile salamu za pole zilizotoka Ikulu kwa shabiki wa yanga .so yule jamaa naye alikuwa mfanyakazi wa Ikulu?
  11. mtoto matataa

    IKULU: Rais Magufuli apokea taarifa ya ripoti ya Pili ya Mchanga. Waliosaini Mikataba Wakaangwa

    Tuko busy na badget ya upinzani.huko makinikia hakuna jipya
  12. mtoto matataa

    ACACIA's CEO, Brad Gordon: Tanzania nayo itaumia isiposuluhisha mgogoro wa madini wiki inayokuja

    yani tumeaminishwa huo mchanga una thamani kubwa kuliko zile dhahabu peke yake zinazilo safirishwa .
  13. mtoto matataa

    ACACIA's CEO, Brad Gordon: Tanzania nayo itaumia isiposuluhisha mgogoro wa madini wiki inayokuja

    hawa hawa watu kumbe walivamia tu nchini kwetu wakaanza kuchimba madini bila ruhusa yetu eehe
  14. mtoto matataa

    Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

    am in katika hili.watu hao 300 namie nimo utupe tu utaratibu.
  15. mtoto matataa

    Weekend Story! The Man of the People love triangle!

    sidhani kama kuna mwanamke atasupport hii life style ya MOTP.though amereflect maisha ya wanaume wengi kwa sasa
  16. mtoto matataa

    Tamthilia ya Days of our life

    Marena Bill Bo
  17. mtoto matataa

    Kama movie..kumbe kweli

    Ni movie based on true story
Back
Top Bottom