Search results

  1. Gozaka

    Computer4Sale Panasonic Laptop inauzwa

    Panasonic tough book ,Mashine ya kazi mjapan original , Ram -4gb Rom- -500gb CPU -2.5ghz Battery [emoji367]- 7+ hours Nina shida ya hela Bei : 250000 Contact: 0710660264
  2. Gozaka

    Mfugaji mwenye uhitaji wa ng'ombe wa maziwa

    Ayshire Amezaa Mara mbili Mimba - miezi 4 Production - Lita 15-20 ( akiwa amezaa ) ng'ombe mzuri sana wa maziwa . Yupo Dar , ada ya chuo inaitajika haraka Njoo na daktar wako amkague na kupima mimba 1,900,000 0738235678 piga simu kwa mawasiliano
  3. Gozaka

    Msaada wa battery ya simu

    Wakuu habar , Mimi Nina simu niliagizaga nje , sasa hii simu imekufa battery now , na battery zake ni zile non removable ... Ukiangalia gharama ya kuagiza battery ni expensive kuliko kununua simu mpya . Nimezunguk kariakoo sana nmekosa battery yake . Kuna mtu akanshauri nkachonge battery , asa...
  4. Gozaka

    Huruma girls Dodoma mwenye mawasiliano yao

    Wakuu msaada wa mwenye contact za admistration office yao au mwalimu wa hapo , msaada
  5. Gozaka

    Error wakati wakuflash

    Habari wakuu Nina smartphone ya kichina blackview a8 ,iko rooted, Jana nkawa na update system lkn baada ya muda ikaniambia error.. .nkatoa battery , nlivyokua naiwasha ikawa inaishia katikati kwenye booting logo then inastuck .... Nkaona ngoja nijaribu kuiflash , nkaangalia YouTube, nkawa...
  6. Gozaka

    Msaada juu ya gap year

    Habar wana jamii , nilikua naomba msaada kwa yeyote mwenye uelewa juu ya waliohairisha mwaka .... Mimi nmesoma PCB na nmemalza form six mwaka 2015... Then nikasafirig , nlivyorud nkakuta watu walishaapplygi na adi washapangiwa vyuo ..... Na vyuo vya afya vikawa vimeshajaa kwa ule mda , asa kuna...
  7. Gozaka

    Form six leaver anatafuta tempo job

    wakuu habari zenu ..... Nina ndugu yangu kamaliza form six , mwaka Jana kapangiwa MD Chuo cha st Joseph boko , coz Chuo n kipya na ndo kinachukua MD mwka WA kwanza ..akashauriwa afanye gap year aende Chuo mwakan ili asiwe chambo .......soo alikua anaulizia mashirika yoyote ambayo anaweza...
  8. Gozaka

    Naulizia king'amuzi cha bei nafuu Dar

    Wadau habari zenu, mimi nina shida moja napenda kuangalia mpira, shida ni kujua kingamuzi gani cha bei nafuu nijiunge ili niweze kupata Chanel nzuri za mpira na movie tofauti na dstv au cable gan nzuri nijiunge kwa Tabata, Dar es salaam. ..... Asanteni jamani
  9. Gozaka

    msaada wa anayejua download link ya fifa 14 unlocked apk

    Jamani nilikuwa naomba msaada kwa yeyote anayejua download link ya unlocked apk 1.3.4 ya FIFA 14 .....
  10. Gozaka

    msaada juu ya memory card

    Habari zenu jaman nilikuwa naomba msaada kuhusu memory card yangu..... Ni mpya nimenunua 8 GB..firstly ilikuwa nikiweka kwenye simu inaandika memory card damaged try to format it.... Baada ya kuiformat kwenye computer salsa inasoma kwenye simu sema haipokei kitu chochote either Bluetooth or...
  11. Gozaka

    naombeni msaada simu yangu imekataa kusoma memory card ghafla!!!

    wana jamii ili tatizo limetokea ghafla, simu yangu ilikuwa inafanya kaz vizur huku ikisoma memory! kuna saa nka irestart baada ya kuwaka ikaniindikia SD CARD BLANK OR HAS UNSUPPORTED FILE SYSTEM! Toka hapo, haijaisoma tena, af ukienda kwny nymbo list yote hipo lakini haziimbi ukiweka memory...
  12. Gozaka

    msaada wa blackmart alpha

    Aisee nilikuwa naomba msaada wa njia rahisi wa kupata blackmart alpha inayo function ukweli coz nyingi kwenye Google ni fake, mara azi download, cjui imecrash, mambo mengi kweli... Kwahiyo naombeni msaada wana kijiwe wenzangu
  13. Gozaka

    msaada wa application ya kuedit picture kwenye android (free download ya ukwel )

    Jaman nlikuwa naomba msaada wa application nzuri ya kuedit picture kwenye android aiseee
  14. Gozaka

    application ya kujaza PDF form

    Aisee nlikuwa nauliza application gani inaweza nisaidia ili kujaza form nliyodownload (PDF ) kwenye android! Kama unajua na link ya kuidownload naiombeni.naombeni mnisaidie
Back
Top Bottom