Gozaka
Member
- Aug 29, 2012
- 67
- 43
Habari wakuu
Nina smartphone ya kichina blackview a8 ,iko rooted, Jana nkawa na update system lkn baada ya muda ikaniambia error.. .nkatoa battery , nlivyokua naiwasha ikawa inaishia katikati kwenye booting logo then inastuck .... Nkaona ngoja nijaribu kuiflash , nkaangalia YouTube, nkawa natumia (flash tool) , asa kwny Maelezo yao walisema utoe battery to ensure iko off then unairudisha ... Asa mimi nlivyotoa battery nkasahau kuirudisha ...
Baada ya kuflash (format all and download), nlivyoeka battery ikawa haiwaki tena , ata booting logo haionyeshi tena ...
Nkijaribu kuiflash tena inaleta error.(afu Mimi siko vizur kabisa kwenye mambo ya IT wakuu)
Asa sijui ndo imekufa kabisa
Wakuu kama kuna mtu anajua alternative yoyote..
Afu ni mediatek wakuu.