naombeni msaada simu yangu imekataa kusoma memory card ghafla!!!

Gozaka

Member
Aug 29, 2012
29
45
wana jamii ili tatizo limetokea ghafla, simu yangu ilikuwa inafanya kaz vizur huku ikisoma memory!
kuna saa nka irestart baada ya kuwaka ikaniindikia SD CARD BLANK OR HAS UNSUPPORTED FILE SYSTEM!
Toka hapo, haijaisoma tena, af ukienda kwny nymbo list yote hipo lakini haziimbi
ukiweka memory nyingine inasoma vizuri tuu!!
na
naombeni msaada wenu.
 
wickerman

JF-Expert Member
Dec 12, 2011
411
250

To my opinion inaonekana kama Memo card yako imekuwa damaged/Corrupted nk, ila nakushaur u format memo yako kwenye computer, file system weka FAT32
 
Kang

JF-Expert Member
Jun 24, 2008
5,302
2,000
Haujasema ni simu gani. Ila tafuta card reader ya hiyo kadi uweze kuchomeka kwenye pc, kisha jaribu kuiscan for errors, otherwise format. Ila ndo data zitapotea. Pia angalia kama imekaa vizuri.
 
STALLION

JF-Expert Member
Nov 5, 2013
7,802
2,000
wana jamii ili tatizo limetokea ghafla, simu yangu ilikuwa inafanya kaz vizur huku ikisoma memory!
kuna saa nka irestart baada ya kuwaka ikaniindikia SD CARD BLANK OR HAS UNSUPPORTED FILE SYSTEM!
Toka hapo, haijaisoma tena, af ukienda kwny nymbo list yote hipo lakini haziimbi
ukiweka memory nyingine inasoma vizuri tuu!!
na
naombeni msaada wenu.

sd card imezngua...try kuiformat kweny pc..kweny option zak weka restore default n untick quick format..then kama vtu vikipotea utaweza virecover ltr..
 
BRICK FLAIR

JF-Expert Member
Aug 4, 2013
572
500
Memo card yako imekuwa damaged/Corrupted nk,

Huyu mkuu ameongea point nzuri sana, memory card yako ina storage corruption kutokana na matumizi mabaya,

ila nakushaur u format memo yako kwenye computer, file system weka FAT32

Format kwa kutumia built in program ya kuformat USB drives, Au unaweza kutumia software moja nzuri ya kuformat kutoka HP inaitwa HP USB Disk Storage Format Tool, Ila kwenye ku-format zingatia 1GB-2GB file system ni FAT na 4GB na kuendelea ni FAT32. Ikishindikana kabisa memory card ni cheap kweli siku hizi kwa hiyo nunua mpya tu.
 
snipa

JF-Expert Member
Dec 10, 2013
4,134
2,000
Huyu mkuu ameongea point nzuri sana, memory card yako ina storage corruption kutokana na matumizi mabaya,

.

Ikishindikana kabisa memory card ni cheap kweli siku hizi kwa hiyo nunua mpya tu.

.
umekosea kumalizia aya ya mwisho au umesahau kuna cmd inafanya kila ki2
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom