msaada juu ya memory card

Gozaka

Member
Aug 29, 2012
58
28
Habari zenu jaman nilikuwa naomba msaada kuhusu memory card yangu.....
Ni mpya nimenunua 8 GB..firstly ilikuwa nikiweka kwenye simu inaandika memory card damaged try to format it....
Baada ya kuiformat kwenye computer salsa inasoma kwenye simu sema haipokei kitu chochote either Bluetooth or download , lakini nkiiweka kwenye computer inafanya kazi fresh unaweza kuamishia nyimbo afu zikaimba but ukiitoa ukiiweka kwenye simu nyimbo zote haziimbi...
ASA sijui tatizo lake mini salsa , ni mpya.....simu s4...
Asanteni
 
mkuu hiyo sd card ni feki ndo maana inakusumbua nakushauri ununue original ila uwe makini sana maana vitu feki vimejaa madukani.kama upo dar pm nikuelekeze duka nililonunua 32gb na haijanisumbua
 
mkuu hiyo sd card ni feki ndo maana inakusumbua nakushauri ununue original ila uwe makini sana maana vitu feki vimejaa madukani.kama upo dar pm nikuelekeze duka nililonunua 32gb na haijanisumbua
WAP umenunua...AF shi ngap master
 
Possibly hiyo ni kimeo mkuu, sikuhizi zimejaa fake au zile duni kabisa
jitahidi kununua kwenye maduka yanayo aminika na usitake zile cheap bei
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom