Mfugaji mwenye uhitaji wa ng'ombe wa maziwa

Gozaka

Member
Aug 29, 2012
58
28
Ayshire
Amezaa Mara mbili
Mimba - miezi 4
Production - Lita 15-20 ( akiwa amezaa ) ng'ombe mzuri sana wa maziwa .
Yupo Dar , ada ya chuo inaitajika haraka
Njoo na daktar wako amkague na kupima mimba
1,900,000
0738235678 piga simu kwa mawasiliano
IMG_20211025_130727.jpg
 
Hata mimi nashangaa kwa iyo bei ni ndogo sana. Unao kama hao mia nije niwasombe?!
Walikua wawili wanauzwa kwa ajil ya ada za madogo , mmoja kanunuliwa na masister wa Marian boys . Kabakia huyo
 
Walikua wawili wanauzwa kwa ajil ya ada za madogo , mmoja kanunuliwa na masister wa Marian boys . Kabakia huyo
Kumbe ni hivyo mkuu, Dah imeniuma sana. Nimeghairi sitaki kumnunua tena nakupa million 3 kiroho safi lakini kwa sharti moja huyo Ng'ombe usimuuze ubaki naye tu.
 
Kumbe ni hivyo mkuu, Dah imeniuma sana. Nimeghairi sitaki kumnunua tena nakupa million 3 kiroho safi lakini kwa sharti moja huyo Ng'ombe usimuuze ubaki naye tu.
Usikute unaleta utani boss
 
Back
Top Bottom