Gozaka
Member
- Aug 29, 2012
- 67
- 43
wakuu habari zenu ..... Nina ndugu yangu kamaliza form six , mwaka Jana kapangiwa MD Chuo cha st Joseph boko , coz Chuo n kipya na ndo kinachukua MD mwka WA kwanza ..akashauriwa afanye gap year aende Chuo mwakan ili asiwe chambo .......soo alikua anaulizia mashirika yoyote ambayo anaweza akaajiriwa temporarily..... mpaka next intake ......
wakuu tunaomba msaada wenu ....
any organization.... iwe Dar o Arusha.......
asanteni...
wakuu tunaomba msaada wenu ....
any organization.... iwe Dar o Arusha.......
asanteni...