Search results

  1. K

    Natafuta kazi yeyote Arusha

    Habarini za jioni wadau wa JF, Mimi nimhitimu wa chuo mwaka 2013,Nina degree ya maendeleo ya jamii,naomba kwa mwenye connection yeyote ya kazi, sichagui Wala sibagui kazi yeyote nafanya. Asanteni
  2. K

    Baby Diapers bussiness

    Habari wana jamvi wenzangu. Baada ya kuona jambo hili na kuliangalia jinsi linavyoenda nimeona nilete kwenu kwa msaada wa zaidi. Nahitaji kwa mwemye uzoefu na biashara hii anisaidie mambo haya katika biashara ya dipers/ maarufu kama Pampers. 1. Supplier/ msambazaji wake mkuu ambae anauza bei...
  3. K

    Chuo gani cha Cha community Development kinatoa certificate online?

    Habarini za mchana wadau wa JF, Jamahaani naomba kujuzwa Kama Kuna chuo chochote cha maendeleo ya jamii kinachotoa certificate online? Mimi nimemaliza chuo cha maendeleo ya jamii mwaka 2013,lakini mpaka Sasa sijawahi kupata ajira yoyote,kwa hyo nimeona Bora nikasome certificate maana Mimi...
Back
Top Bottom