Wapendwa natakaa kuconvert video iliziweze kuomekana kwenye tv na radio maana nikiweka kwenye tv napata ujumbe not supported. Natanguliza shukrani. Na heri ya mwaka mpya 2022
Wapendwa naomba kujua kosa linaloweza mtia hatiani kijana huyu, kijana wangu wa kazi amempa mimba binti wa jirani, ndugu wamempeleka Dawati la jinsia na kumpeleka Polisi, wakidai kosa ni kukataa mimba na Polisi wamemweka maabusu, swali kumpa mimba mtu mzima mwenzako nikosa kisheria?
Na kama...
Nawasalimu wadau, naomba ushauri ndugu yangu anateswa na hali ya kupigwa shoti mwili Mzima, hali hiyo hutokea kama sekunde 30 , baada ya hapo unakuwa na hali ya kusikia kizunguzungu na kichwa kuuma sana, Naomba msaada wa matibabu na ushauri.
Wapendwa kwa wale wa juzi wa simu na kwa waliotumia hizi simu, naomba mnifahamishe ,uimara ,utunzaji wa chaji, uwezo wake kiufanisi , nisimu IPI naweza kuifurahia katika kuitumia.
Nawasalimu wote na nawatakia heri na mwaka mpya 2018.
Wataalamu naomba msaada wa kujua ni ainagani ya Gari difu yake unaweza ingiliana na Noah old model?
Maana nilichojifunza difu Noah nitatizo linalotusumbua wengi ukilinganisha na magari mengine.
Nawasilisha
Wapendwa naomba msaada ,ninagari Noah nikifika speed 75-85 usukani unatetemeka sana hadi dashboard inatikisika nikifika 85 above inatulia ,nimepeleka kwa fundi amecheck bolljoints, like hands Na bush zote zipo safi , natakarudisha tena Leo kwa fundi, naomba ushauri wenu manaa bavurugwa hatafundi...
Wakuu , habari ya usiku huu, naomba ushauri kabla sijaenda kwa fundi , nimeipaki mahala nilipojaribu kuitoa gia liva kutoka P kwenda drive D gia liva ikawa inashuka tu mojakwa moja bila kubadili gia , naombeni ushauri wenu nini laweza kuwa tatizo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wadau naomba kujuzwa , nini tofauti ya shockups za magari?, nikiendesha noah townws nikipita kwenye barabara ya vumbi yenye rasta, ( pambs) gari inatikisika hadii inahama njia, wakati nikichukua gari nyingine napita kanakwamba hakuna rasta, nini shida ya hii garii ? Ni aina ya shockups...
Naomba ufafanuzi wa taa ya ABS Imewaka hata sijui gari ina shida gani. Nimejaribu kugoogle nimepata maelekezo ila nahitaji msaada wa watalaamu zaidi.
Nini madhara ya kuendesha gari taa ikiwa inawaka?
Wanajamvi ni vema kusaidia endapo kama Kati yetu anauwezo wakusaidia mwingine.
Mimi nauwezo wakutoa maumivu ya sehemu mbalimbali ya mwili pasipokujali umbali uliopo ndani ya dakika 5-10.
Chakufanya Kama kweli ubaumwa nikuni PM nikuniambia japo jinalako hatakama lautotoni, mimi nitakupa mdaa huo...
jamani waadau naomba msaada wa kupata, cable ya simu ambayo ninaweza kuunganisha au kuchomeka kwenye simu Na upande wapili wa cable unakuwa na port yakuchomeka flash,kwanamna nyingine naweza kusoma data zakwenye flash kwenye simu.kwakutumia cable hiyo.
Wadau naomba kuuliza,
Inawezekanaje mtoto wa umri wa miezi 9 kumkataa mamaake kabisa, wakitazamana anageukia kwingene na kuanza kulia. kimnyonyesha basi mimi nikae jirani na anishke kidole.
Nikitaka kuondoa anaacha kunyonya na anakuja kwangu haraka.Mamayake amekosa raha kabisa. Nini yaweza...
wadau ikiwa takribani saa 5:15 alfajiri, nimekuwa nikitafakari juu ya viongozi wetu tuliowapa dhamana ya kutusemea, kututetea na kutuwakilisha sisi wananchi pasipokujali itikadi za vyama, je wewe unadhani ni yupi au nani amelitendea haki na uzalendo nchi hii?? nawasalimu wote.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.