msaada wa kupata phone cable.

msaada wa kupata phone cable.

samilakadunda

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2011
Posts
1,780
Reaction score
360
jamani waadau naomba msaada wa kupata, cable ya simu ambayo ninaweza kuunganisha au kuchomeka kwenye simu Na upande wapili wa cable unakuwa na port yakuchomeka flash,kwanamna nyingine naweza kusoma data zakwenye flash kwenye simu.kwakutumia cable hiyo.
 
Simu inatakiwa isuport otg.

Pa kuipata agrey kama sh 3000 tu
 
samahani mkuuu
hiyooo otg ni app...
au ni uwezo wa simu..
vp ntajuaje kama simu yangu ina otg..
!!!

Uwezo wa simu

Angalia specs za simu online kwenye website kama gsmarena wanaandika
 
Back
Top Bottom