samilakadunda
JF-Expert Member
- Oct 13, 2011
- 1,780
- 360
Wadau wenzangu na wafugaji, nahitaji viranga wa mayai, nawafuata mahalipopote, nipo morogoro, mahitaji yangu ni Vifaranga 1000 tu. Asanteni.
Duh, Dar wamekua adimu Sana Sana aiseee. Nenda Tazara pale Kwa Dsm Ila nasikia inachukua Muda Sana
Ni fursa kubwa Sana Sana Kwa Wafugaji, Sijui Kwanini hatuitumii!Niliagiza hukoo miezi 5 iliyopita jana nimerudishiwa pesa, kwamba hakuna vifaranga
Niambie wa umri gan nikuletee mimi!?.Wadau wenzangu na wafugaji, nahitaji viranga wa mayai, nawafuata mahalipopote, nipo morogoro, mahitaji yangu ni Vifaranga 1000 tu. Asanteni.
Sawa mbeya wanatoka wapi Malawi au? Wale wa Malawi no pasua kichwa , unachukua 500 wanapona 200 , huwa wanajuaa na vimelea kidogo, asante kwa kujaliNiambie wa umri gan nikuletee mimi!?.
Napatikana mbeya
Nani kakuambia wa Malawi?.Sawa mbeya wanatoka wapi Malawi au? Wale wa Malawi no pasua kichwa , unachukua 500 wanapona 200 , huwa wanajuaa na vimelea kidogo, asante kwa kujali
Kama hujapata tuwasilianeWadau wenzangu na wafugaji, nahitaji viranga wa mayai, nawafuata mahalipopote, nipo morogoro, mahitaji yangu ni Vifaranga 1000 tu. Asanteni.
Samahani kama nimekukwaza mkuuNani kakuambia wa Malawi?.
By the way kama ulikuwa unalijua hilo si ungesema kweny tangazo lako nataka hili na sitaki lile?. Ok kila laheri mkuu
Powa mkuu twende pmKama hujapata tuwasiliane
Twende pm ili tuweke mawasiliano vizuriiKama hujapata tuwasiliane
NjooTwende pm ili tuweke mawasiliano vizurii