jaman network searchng....., available, searchn............., jaman wanawake wafanyabiashara ni balaa tupu! Simu haizimwi,nimechoka naye, ugomv wetu ni cmu, uko uwanjan hajal ni kona, goalkick, au ...yeye utackia kesho utawah folen ya sukari?, viroba leta nane!,jaman inatisha, ugomvi unaanza...
Natafuta marafiki nitakaokuwa nao kila kukicha kunipa story ili nisahau yafuatayo kichwan mwangu, Umasikini ulikithiri kijijin kwetu, ukosefu wa umeme, barabara na huduma za afya. Kila mwka natumia milion kadhaa kuwaleta town kwa matibabu ndugu, anayekuja hataki ondoka,akidai huku kwetu hakuna...
Robert Kisena, anaelezea procedures walizopitia kununua hisa 52 za udA . Anasema ana docs zote,kwamba hawakufanya kosa lolote la kisheria za manunuz. Anang'aka sana!
wanaJF, hv utoaji wa hati za kumiliki ardh vijijin /wenyewe wanaita hati za kimila/ zinatolewaje? Ni mikoa gan? wilaya zake, vijiji gan vilivyopo kwenye mpango huo wa serikali yetu ya magamba? JE PWAN KUNA HILO?
Jetu na mume wake walipendana sana, walipenda kucheka,kucheza na kufanya kila aina ya mbwembwe ili mradi tu kila 1 anadhihlisha uwepo wake kwa mwenzake, Jetu baada ya muda alipata mimba,akajifungua mtoto, baada ya muda mumewe alinotice kupngua kwa mapenz kutoka kwa mkew, ya kwamba jetu...
wanaJF naitwa KipakaMwitu Napenda kujiintroduce kwenu,napenda sana forum ya uchumi na mabiziness, napenda jokes na malovee section! Natembelea tembelea maeneo ya habari mkorogo!,na kutia nanga maeneo ya kimataifaf. Nataka mnipe demu humu ndan kwan mapene c tatizo, nampenda SweetLady yuko single...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.