KipakaMwitu nayeya!!!

KipakaMwitu nayeya!!!

kipakaMwitu

Senior Member
Joined
Feb 19, 2009
Posts
158
Reaction score
23
wanaJF naitwa KipakaMwitu Napenda kujiintroduce kwenu,napenda sana forum ya uchumi na mabiziness, napenda jokes na malovee section! Natembelea tembelea maeneo ya habari mkorogo!,na kutia nanga maeneo ya kimataifaf. Nataka mnipe demu humu ndan kwan mapene c tatizo, nampenda SweetLady yuko single humu ndani?,sitaki ugomvi mkikaa kimya!
 
karibu sana mkuu...ila hakuna huduma ya kugawa wasichana humu ndani.pia jitahidi kuwaita wajina ya staha,hilo ulilotumia hapo juu sio sawa kabisa.
na mapene yako kama vipi peleka kwenye ukoo wako ukawasaidie.
 
Unaona sasa, toka 2009 watu wako kimya kwani uliambiwa huku ndo kuna mademu wa kugawa, hivi mkoje jamani. Ila karibu mwaya.
 
Karibu ila mapene peleka kwenye mfuko wa maendeleo ya kijiji chako, kila mtu anayake humu
 
karibu
overweight-wildcat.jpg
 
asanten wote mliodonoadonoa keybrd zenu,au kpad zenu kunikaribisha hapa uwanjani! Dimba la maneno mepesi,magumu,makali,matamu,machungu,n.k!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom