Kisa! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kisa!

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by kipakaMwitu, Jun 17, 2011.

 1. k

  kipakaMwitu Senior Member

  #1
  Jun 17, 2011
  Joined: Feb 19, 2009
  Messages: 159
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Jetu na mume wake walipendana sana, walipenda kucheka,kucheza na kufanya kila aina ya mbwembwe ili mradi tu kila 1 anadhihlisha uwepo wake kwa mwenzake, Jetu baada ya muda alipata mimba,akajifungua mtoto, baada ya muda mumewe alinotice kupngua kwa mapenz kutoka kwa mkew, ya kwamba jetu alikoncentrate na mtoto kulko mumewe. Akaamua afanye mbinu ya kumuua mtoto il kurejesha mapenz na mkewe. Cku moj akaamka mapema alfajir akapaka maziwa ya J sumu ili akimnyonysha mtoto afe. Akatoka akawa anavuta sigara nje huku akisikilizia, mara yowe! Akakuta houseboy ndo kafa!
   
Loading...