Sina haja ya kutaja jina langu wala kuandika maelezo mengi, lakini kwa ufupi mimi ni Mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM). Kwakweli suala la kunguni UDOM limekuwa linasumbuwa na lina kera...
Sisi watumishi ajira mpya kutoka maeneo tofauti tumeshirikiana kuandika andiko hili kuhusu malipo ya fedha za kujikimu ambayo yamekuwa kizungumkuti kwetu, lengo ni mamlaka zipate kujua...
Habari wana JF? Niende moja kwa moja kwenye mada.
Kumekuwa na upigaji katika mradi wa maji mtaa wa Miwale kata ya Pangani wilaya ya Kibaha Mjini mkoa wa Pwani ambapo miaka kama minne iliyopita...
Nina malalamiko yangu kuhusu Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi na Mafunzo ya Ufundi Stadi (NACTVET).
Kuna watu tupo wengi tuliomba tubadilishiwe matokeo ya Chuo kwa makosa ya kibinadamu katika...
Kwenye mradi wa SGR huku tunapojenga Reli ya Mwendokasi, hadi kufikia Septemba 2023, imetimia miezi 9 pasipo Mkandarasi wa Mradi Yapi Merkezi kutuingizia malipo yetu katika akaunti za Mfuko wa...
Nimejaribu kukumbuka kwa haraka haraka kuna kitu gani kinataja jina la Dr. Salim kwa kumbukumbu ya utumishi wake kwa taifa letu. Sijui kuna barabara au daraja gani limepewa jina lake. Ikumbukwe...
Habarini wakuu, Nawasalimu kwa jina la jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Nipo maeneo ya bunda,mkoani Mara. Ijumaa iliyopita tarehe nilipata mwaliko kuhudhuria kikao cha wazazi na walimu katika...
Katika mji wa Tukuyu-wilaya ya Rungwe mkoa wa Mbeya kumekuwa na mgao wa upendeleo kwani kuna mitaa inakosa maji kwa miezi kadhaa na bill tunakula. Mfano mtaa wa Tanesco Power Station- chini...
CHANGAMOTO TUNAZO PITIA WAGONJWA WA FIGO MUHIMBILI.
Ndugu Mheshimiwa waziri zifuatazo ni changamoto tunazo pitia Kama wagonjwa wa figo.
1. Gharama za kuchuja damu (dialysis) ziko juu sana kwa...
Mamlaka husika piteni hapo Bandarini abiria wanaotoka Zanzibar wanakutana na kero ya kukaa kwenye foleni kwa muda mrefu sana hadi inakera.
Hali hii imekuwa ikitokea mara nyingi lakini nimeona...
Huku kwetu mtaa ya Mbezi ya Chini (Mbezi Chini) kuna changamoto moja ambayo imekuwa kero kwa watu wengi kuhusu uzoaji taka.
Iko hivi, mamlaka za Serikali za Mtaa za mitaa ya Mbezi Chini, Afrikana...
Wakuu DAWASA leo naomba kuwafikishia malalamiko yangu kuhusu ubovu wa huduma zenu. Kuna shida ya Maji katika mitaa ya Tabata hasa kuanzia Posta kuelekea Segerea, Takriban Wiki 2 sasa Maji hayatoki...
Serikali pamoja na vitengo vyenu vinavyonunuwa mahindi mnatutia hasira wakulima, hebu fikiria toka tumepeleka mahindi mwezi wa 8 hadi sasa hatujapata malipo yetu.
Hiki kilio si mimi ninayeandika...
Kuna kitu kinaendelea Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) baadhi ya Wanafunzi wanaolipiwa hela na mkopo na Bodi ya Mikopo (HESLB) wamefungiwa matokeo yao na chuo kwa madai Bodi haijaingiza pesa za ada...
Watumishi na Wanahisa waliofungiwa ndani ya Kiwanda cha NPC KIUTA kutokana na mgogoro unaoendelea.
Wafanyakazi wa Kiwanda cha Uchapaji cha Taifa au NPC National Printing Company Limited (KIUTA)...
Niko Kigoma mida hii, ni noma Sana mkoa umekuwa wa Moto balaa, wachawi wanalia Kama watoto wadogo wanatamani Hadi kufa lakini wapi.
Baada ya tabia za ovyo za kichawi kuzidi, ilibidi wananchi...
Kuna vitu huwa vinachekesha sana kwenye hii nchi yetu, unafikiria kweli tunao watalaamu wa kutosha? Wanaoweza kung’amua mambo na yakawa sawa? Yakaleta tija kwa Taifa?
Angalieni hiki kituko katika...
Habari, nawasalimi kwa jina la muungano......
Nina kero yangu haswa kwa shule za advance wanaopokea kidato cha tano walimu wakuu wanachukua maamuzi ya kumkataa mtoto kumpokea ikiwa tu hajamaliza...
Leo tarehe 25.08.2023 TCU wametoa majina ya wanafunzi wa kidato cha sita waliochaguliwa kujiunga na vyuo mbalimbali.
Kama inavyojulikana, kuna ambao hupata "multiple selections", yani mwanafunzi...
Habari za leo ndugu zangu?
Kwa miezi kadhaa sasa, wananchi wengi wa Kibaha wanaoomba kuunganishiwa maji kwa mara ya kwanza (wateja wapya) hawajaweza kupata huduma hiyo.
DAWASA Kibaha wanapokea...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.