Moja kati ya jambo ambalo limekuwa likipigiwa kelele ni kuhusu ubora wa huduma za Watoa huduma katika taasisi na Mamlaka mbalimbali za Serikali, inaonekana ni kama sehemu ambayo Watu wengi...
Naandika andiko hili nikiwa ni mmoja wa watumishi wa Serikalini, na nimelazimika kuleta andiko hapa kwa kuwa nguvu kubwa inayotumiwa na wanaofanya mambo kwa mlango wa nyuma wana nguvu kuliko...
Huu ndiyo mwonekano wa Barabara kutoka Wilayani Bariadi kwenda Wilayani Itilima Mkoa wa Simiyu, hii Barabara ni hatari Kwa Sasa imekuwa kero kubwa kwetu wananchi.
Barabara imejaa mashimo kuanzia...
DAWASA Wametengeneza Chemba iliyokuwa inamwaga maji taka Ilala Sokoni.
Awali Mdau wa JamiiForums.com alisema, "Hali ya mtaa wa tabora na uhuru ni mbovu sana kutokana na chemba ya maji taka kuziba...
Siku hizi kumekuwa na Kampuni nyingi za Mikopo Online kama PesaX, Twiga Loan, Mloan, Cash X.
Na watu bila kuwa makini mtakuja jikuta mnaingia matatizoni kutoka na taarifa zinazokusanywa na...
Sisi Wahitimu wa ngazi ya Diploma katika Chuo cha DIT tuna changamoto ya kutopatiwa Award Verification Number (AVN) mpaka sasa hali ambayo inatufanya tushindwe kufanya maombi ya mkopo wa Chuo...
Habari wana JF wenzangu, ni kwa zaidi ya mwaka sasa nimekuwa nikifika kwenye Hospitali ya Bugando kwa ajili ya huduma za matibabu lakini nimebaini changamoto ambayo mimi kama mtu mzima siwezi...
Waziri wa Maji Jumaa Aweso, akijibu hoja ya Mdau kuhusu uhana wa Maji Kijiji cha Bukundi, amesema Taarifa hiyo sio ya kweli katika muktadha wa uhalisia ulivyo katika Mradi huu uliopo mkoani...
Mimi ni Mkazi wa Mtaa wa Mazimbu Darajani, Kata ya Mazimbu, Manispaa ya Morogoro, jamani mtaani kwetu huku kumekuwa na changamoto ya mto kujaa na kufurika maji hasa kipindi cha mvua hali...
Awali, Mdau wa JamiiForums.com alilalamikia utendaji kazi wa TASAF Wilaya ya Songea. Alidai Moja ya changamoto ambayo imekuwa ikitokea ni baadhi ya wahusika kuondoa wanufaika kwenye mfumo kwa...
Hospitali ya Taifa ya Muhimbili kwakweli mnachokifanya sio sawa, mnaingilia faragha zetu kwa kutuwekea CCTV camera kwenye vyoo vya kiume vya 'public' vilivyopo kwenye jengo la wodi ya wagonjwa wa...
Kwa siku za hivi karibuni kuliripotiwa tukio la Mwalimu Josehat Masenema wa Shule ya Msingi Waja iliyopo Geita Mjini kudaiwa kumlawiti Mwanafunzi wake, kutokana na vyanzo mbalimbali suala hilo...
Sisi wakazi wa Kijiji cha Bukundi Wilaya ya Meatu Mkoani Simiyu, ambapo Serikali ilitekeleza Mradi wa Maji ambao tuliambiwa thamani yake ni Sh. Milioni 500 kisha ukafanya kazi kwa muda wa miezi...
Imeelezwa Kemikali ya Zebaki inayotumika kukamatisha dhahabu ambapo inaelezwa ni kemikali 10 ambayo Shirika la Afya Duniani (WHO) inasababisha athari za kibinadamu na mazingira.
Kemikali ya...
Vyoo vya Stendi Kuu ya Mabasi Singida ambavyo siku kadhaa nyuma viliripotiwa kuwa ni vichafu sana vimesafishwa.
Nimepita eneo hilo na sasa angalau wakati huu ukiingia maliwato hayo ya Umma...
Mimi ni mmoja wa madereva wa magari makubwa ya mizigo, pia ni mmoja wa waathirika wa changamoto ya mkwamo wa magari ambayo imetokea Kasumulu eneo la mpakani kati ya Malawi na Tanzania.
Kwa muda...
Huku mtaani kwetu Machimbo, Kitunda hapa Dar es Salaam tuna kero ya umeme, unakatika takribani kila siku, kuna wakati unakatika na kurejea ndani ya muda mfupi na kuna muda unakatika muda mrefu...
Kuna sintofahamu inaendelea kuhusu Kampuni ya Mapembelo Cargo ambayo najihusisha na usafishaji wa mizigo, wamekuwa kimya sana kuhusu mizigo ya wateja wao.
Kuna Wafanyabiashara na Watu wengine...
Oktoba 28, 2023, Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa akiwa Manispaa ya Bukoba mkoani Kagera alielekeza Meneja wa Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS) - Kagera kumsimamia Mkandarasi M/s Abemulo...
Tunapeleka taifa letu wapi?
Seriously, nimekutana na hii habari kwenye vyanzo mbali mbali vya mitandao ya kijamii vimenihuzinisha sana ..
Nimejaribu kuvaa viatu vya hao watoto...
Habari yenyewe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.