Mimi ni Mfanyakazi wa Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam kitengo cha ‘revenue collector’ katika masoko.
Changamoto tunayopata Wafanyakazi wa Mkataba wa Halmashauri ya yetu:
MOJA: Mshahara...
Ujenzi wa kipande cha Barabara ya Kilomita 1.6 kinachopita maeneo kadhaa ndani ya Manispaa ya Bukoba ambacho ujenzi wake ulianza Oktoba 9, 2023 ilipaswa kukamilika tangu October 8, 2024 mpaka leo...
Kituo cha Buza Kanisani hiki kilijengwa kwa nia nzuri ila tamaa za mapato na kukosa utu zinageuka kuwa mateso kwa abiria.
Tarehe 18/2/2026 kama ilivyo mwaka jana viongozi wa eneo hili wakitumia...
Sisi Wakazi wa Tabata Segere kwa Bibi tuna changamoto ya Barabara ambayo inaelekea Hospitali ya Segerea, kuna dimbwi kubwa la maji ambalo linazuia wapita njia, pikipiki, na magari madogo kupita...
Kufuatia kujitokeza kwa wingi kwa vitendo vya ulaghai wa Watu wachache wanaowarubuni Wananchi kutoa fedha ili waunganishiwe huduma ya Maji katika Kitongoji cha Makurunge, Kata ya Kiluvya Mkoani...
Yaani mtu unakaa na file mezani kwako wiki mbili au mwezi mzima unalisogeza tu kila ukiletewa chai...., kwani unapata faida gani au unafanya nini muda wote huo kutojali file ambalo ungeweza...
Mara baada ya Mwananchi kupitia JamiiForums.com kulalamikia huduma ya Kazi za N-CARD katika kuweka fedha, inayowalazimu kupanga foleni wakati wa kuitumia katika Kivuko Kigamboni, ufaafanuzi...
Kumekuwa na uhaba mkubwa wa fedha za kigeni hapa Tanzania hasa USD ambayo ndio hutumika sana kwa malipo kwa biashara za kimataifa.
Pamoja na kupanda kwa dola na kushuka kwa shilingi kutoka 2375...
Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,
Dkt. Samia Suluhu Hassan,
Yah: Changamoto ya Gharama Kubwa na Usumbufu wa Kuunganishiwa Huduma ya Maji – Makurunge, Kiluvya Madukani, Kisarawe...
Wakuu nimekutana na hii hoja, nimeona niiweke hapa iwafikie wadau wengi zaidi, na DAWASA kama wanaweza kujibu itakuwa vizuri zaidi.
Majuzi tuliamka tukakuta mita yetu ya maji haipo. Cha...
Mwezi Januari niliandika kuhusu changamoto ya Barabara kwa sisi Wakazi wa Mtaa wa Isevya, Muhimbili – Ilala, Dar es Salaam, nilieleza kuwa kipande cha barabara kimefukuliwa kwa zaidi ya miezi...
TAARIFA KWA UMMA
KUHUSU HUDUMA YA VYOO KATIKA STENDI YA MAWASILIANO (SIMU 2000)
Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo inapenda kutoa ufafanuzi kwa umma kuhusu taarifa zilizochapishwa na Jamii Forum...
TAARIFA YA UFANUZI KUHUSU MALALAMIKO YA UCHELEWESHAJI WA MISHAHARA KWA MADEREVA WA MIKATABA – HALMASHAURI YA MANISPAA YA UBUNGO KUPITIA MTANDAO WA KIJAMII WA JAMII FORUM TAREHE 10.02.2026...
Waziri wa Maji, Jumaa Aweso ameelekeza Wakala wa Maji Vijijini (RUWASA) Sumbawanga Mkoa wa Rukwa Wilaya ya Sumbawanga kurekebisha mabomba yaliyoharibiwa Kijiji cha Mayonje, Kata ya Milepa katika...
Akizindua soko kuu jipya la Karikoo leo, Februari 8, 2026, Rais Samia Suluhu Hassan amewahimiza wasimamizi wa soko hilo kuhakikisha suala la usafi linazingatiwa ipasavyo, ikiwemo miundombinu ya...
Mimi ni Mkazi wa Zanzibar katika Mkoa wa Mjini Magharibi, Wilaya ya Mjini.
Kero yangu ni kwa Shirika la umeme Zanzibar (ZECO).
Wamekuwa na muendelezo wa kukata umeme mara kwa mara maeneo ya...
Baada ya Mdau wa JamiiForums.com kuandika Wizara ya Ujenzi ishughulikie ucheleweshwaji wa vibali vya usafirishaji wa mizigo maalumu (Special Load Permits) katika Mfumo wa ePermit , Wizara ya...
Hali ilivyo kuhusu changamoto ya ubahaba wa maji safi na salama kwa Wakazi wa Kijiji za Baraki, Kata ya Baraki Wilaya ya Rorya Mkoani Mara ambapo kuna takribani Kilometa 5 tu na lilipo Ziwa...
Leo Februari 2, 2026, nikiwa katika harakati zangu, nilipita Stendi ya Daladala Mbezi Luis maarufu Mbezi Mwisho na kushuhudia ukarabati wa vyoo ukiendelea.
Awali, niliwahi kuona andiko hapa JF...
Uongozi wa chuo kikuu cha dodoma tunaomba mfanyie kazi swala la miundombinu ya vyoo .
Matundu ya vyoo (sinks) zimeziba ukiingia chooni unachokutana nacho unaweza kutapika hii sio sawa kabsa ...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.