Sisi Wahitimu wa ngazi ya Shahada wa Chuo cha Usimamizi wa Fedha (IFM) kutoka kampasi zote wa Mwaka wa Masomo 2023/2024 tunakabiliwa na changamoto kubwa ya ucheleweshaji wa vyeti licha ya kufuzu...
Bonde la Mto Ruhila ambalo Serikali limeweka alama zao kama hifadhi ya mto, wananchi wanaendelea kutumia bonde hilo kwa shughuli za kibinadamu kama vile kilimo, kufua na kuoga hata baada ya...
Kuna video zilisambaa zikionyesha mabinti wa Baobab secondary wakifanya video za uchi na vitendo vya usagaji.
Hii shule inamilikiwa na nani?
Uongozi wa shule ya Baobab haujaomba radhi wala...
Jengo la Shule ya Msingi Nsololo lililoezuliwa paa limetelekezwa Walimu wanakaa chini ya miti
Nimefika Wilaya ya Uyui Mkoani Tabora, kuna jambo limenisikitisha na baada ya kuwauliza Wenyeji...
Hadi leo Januari 21, 2025, maeneo ya Isyesye hapa Jijini Mbeya haujapata maji kwa wiki moja sasa, tumetoa taarifa kwa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Mbeya (MBEYA UWSA) lakini hatuoaji...
Jana jioni majira ya saa 11 Jioni nilitaka kufanya malipo ya king'amuzi kupitia benki flani mtandao ukawa unagoma kukamilisha muamala huo, nikajaribu benki nyingine shida ikawa ni ileile...
Chuo Kikuu Huria cha Tanzania (OUT) ni moja kati ya Taasisi za Serikali ambayo hawajali kabisa suala la kulipa pesa za kujikimu kwa Wafanyakazi wao wanaposafiri.
Utakuta mtu anapangiwa kituo cha...
Katika jitihada zangu za kutafuta elimu ya juu kwa ngazi ya Uzamili, nililenga Chuo Kikuu cha Mtakatifu Agustino (SAUT) – Mwanza, hata hivyo, kile nilichokutana nacho katika utafiti wangu kuhusu...
Hali ya Soko letu la Bombambili hapa Mkoani kwetu Songea Mjini sio nzuri hasa inapotokea mvua imenyesha, miundombinu yake inakuwa siyo rafiki.
Wafanyabiashara na wateja wote wanapata wakati mgumu...
Mimi ni Mkazi wa Kibaha Maili Moja, Mtaa unaoitwa Muheza, tangu Mwaka 2020 sisi Wakazi wa huku tulilipishwa kiasi cha Shilingi 150,000 kwa ajii ya kupimiwa viwanja vyetu lakini hadi sasa Agosti...
Uamuzi wa Serikali kupeleka Mradi wa Kusaidia Kaya Masikini (TASAF) katika Halmashauri ya Wilaya ya Songea ni uamuzi mzuri, wamefanya vizuri kupeleka mpango huo kwenye Halmashauri ila kuna...
Takriban wahitimu 20 wa chuo kikuu Cha Dodoma (UDOM) kitivo Cha Elimu tuliohitimu mwaka wa masomo 2019-2020 hatujapatiwa vyeti vya kuhitimu
Tumefatilia wanasema changamoto ni matokeo ya mwaka wa...
Mimi ni Mkazi wa Mkoa wa Kagera Wilayani Muleba ni muhitimu wa Diploma in Animal Health and Production katika Chuo cha Igabiro Training Institute of Agriculture kilichopo Muleba.
Tangu...
Naomba Serikali kupitia Waziri wa Maji, Juma Aweso afuatilia chanzo cha Wakazi wengi wa Mkoani Morogoro kukosa huduma ya maji.
Hii hali inatutesa sisi wakazi wa Morogoro kwa muda mrefu sasa...
Serikali imebadili mtaala na kuanzia mwaka huu, wanafunzi wa kidato cha kwanza wataanza kusoma mtaala mpya. Hivyo Serikali imeamua kuwapa semina walimu ili kuendana na kasi ya mtaala mpya.
Pia...
Wakuu,
Msemaji wa Mbezi Beach leo nimeenda kuboresha taarifa zangu kwenye daftari kudumu la wapiga kura katika Ofisi ya Serikali ya Mtaa Mbezi Beach B. Wakati niko nasubiri kuandikishwa ilikuwa...
Hello habari za majukumu.
Mimi ni mwanafunzi wa chuo kikuu cha kikatoliki Ruaha (RUCU) kilichopo Iringa.
Kwasasa changamoto ambayo wanafunzi wengi tunaipotia ni ucheleweshwaji wa pesa za...
Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira (DAWASA) imekutana na wananchi wa eneo la Msakuzi kwa Lubaba, Kata ya Mbezi, Wilaya ya Ubungo kwa lengo la kufahamu mipango na maendeleo ya miradi ya...
Hapo vip!!
Uongozi wa kipindi hiki tunaomba iongeze makali kwasababu Wananchi wanateseka na wengi wamekuwa waonyonge wanavyoanza kufuatilia haki zao au huduma katika Ofisi za Serikali...
Habari JF,
Ni wiki na zaidi sasa maji yamekuwa yakitoka machafu hivi na wakati mwingine huwa machafu zaidi na yenye harufu mbaya.
Niliuliza kwa mjumbe maana ni jirani yangu kama anakutana na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.