Habari.
Ni mwezi sasa mfumo wa ajira portal unasumbua kwamba kwa tunaohitaji kucreate account sms ya kuactivate account hairudshwi kabsa, unajaribu kupiga simu kwa namba walizotuwekea pale lakini...
Hivi mamlaka hazioni au ndo zimeshindwa kuwa-manage maana imekuwa kero kero, wanasababisha ajali tena katika zebra wameigeuza barababara ya mwendokasi kama yao special
Kama Serikali inashindwa...
Songesha na mikopo mingine ya simu imepelekea watumishi kunyimwa mikopo wanapoenda bank kukopa, na hii ni kutokana na mamlaka zinazosimamia mikopo kuweka utaratibu wa madaraja high risk, risk na...
Naanza na Maswali:
(1) Kuna ulazima gani wa Ithibati kwa Wanahabari kutolewa na Serikali? Je, imelenga kudhibiti nini kwa Wanahabari?
(2) Kwanini ithibati kwa Wanahabari zisitolewa na Vyombo vya...
Kama unaenda Ubungo au Buguruni kupitia barabara ya Mandela tafuta njia mbadala, si kwa hii foleni. Barabara mchepuko za vingunguti, airport na majumba 6 zimefungwa kwa wakati mmoja lazima foleni...
Salam Wakuu,
Kama kawaida msemaji kujiteua kwenye masuala ya maji Mbezi Beach nimekuja na update.
Kwa majibu tuliyopewa na Meneja wa DAWASA Kawe inaonekana kuna mgao. Maana maji yanazuiliwa kwa...
Habari zenu wakuu
Suala la kuomba Passport na NIDA ni kama haithaminiwi kabisa kwa wakazi wa mkoa wa Kigoma
Passport inathaminiwa zaidi ya NIDA .
Mtu unaenda kuomba Passport una NIDA na ya...
Habari wakuu.
Bila kuwapotezea muda, kwa kila ambaye amewahi kutumia huduma za kibenki hapa Nchini kwetu Tanzania kuna tabia ya uchelewevu wa huduma na upotevu wa muda sana hasa ukifika Matawini...
Unatoa pesa kupitia simu banking unaenda kwenye ATM unapata ujumbe kuwa umetoa pesa. Lakini noti hazitoki. Alafu zinakaa siku zaidi ya nne hazirudi kwenye akaunti yako.
Utakula nini? Kama ndio...
Serikali ya Jamhuri ya Muungano kupitia ofisi ya Rais- Utumishi ilianzisha mfumo wa ESS ambao umerahisisha shughuli nyingi za kiutumishi, moja ya suala lililorahisishwa ni ushughulikiwaji wa...
Tarehe 01 na tarehe 02 kulifanyika usaili wa wanataaluma Chuo Kikuu Mzumbe.
Kumekuwa na utaratibu usiowazi wa kuwapata vijana wanaojitolea, na hawa ndo wamekua wanufaika wa hizi ajira...
Nimefika ofisi za NIDA mara kadhaa kila mtu anayetaka kufanya malipo ya kitambulisho analalamika mfumo wa control number unasgida wiki ya pili sasa na wahusika wanakuja kazini na kurudi nyumbani...
Halmashauri ya Wilaya Itilima, Mkoa wa Simiyu, Walimu tumekatwa makato kwenye vyama viwili vya Wafanyakazi ambavyo ni Chama cha Kulinda na Kutetea Haki za Walimu (CHAKUHAWATA) na Chama cha Walimu...
Hivi kulikuwa Kuna ulazima Gani wa nyinyi kubadili mfumo wa hiyo app yenu?
Sasa hivi hakuna kitu watu wanaangalia kwa Raha, imekua kero na wasumbufu, jiangalieni!
====
Maoni ya wadau wengine...
Kuna Shule ya Msingi huku Kibaha inaitwa Misugusugu, hapo kuna Wanafunzi wa Darasa la Saba wanaingia Shule Saa 12 Asubuhi na kutoka Saa mbili Usiku muda ambao sio rafiki kwa Wanafunzi.
Nasema...
Idadi ya Malori njia ya Mandela road imekua kubwa sana kiasi ambacho yanasababisha foleni kubwa sana.
Hii ni kero kero kwa wakazi wa Kigamboni na Mbagala wanaotumia mandela road. Mbali na foleni...
Hii kitu mimi huwa inanitatiza sana, pale unapotumia USSD ya benk ili kufanya miamala kupitia mitandao ya simu.
Unakuta na kuambiwa ni lazma uwe na saliio la kawaida isiyopungua sh. 100..
Sasa...
Tangia kuzaliwa kwangu sijawai kuona kampuni ya ajabu kama hii ya halotel
Hawa jamaa Internet yao ni slow labda uwe karibu na ofisi zao.
Internet inaweza kugoma muda wowote na hawana maelezo ya...
Uongozi wa Shule ya Sekondari Namanga iliopo wilaya ya Longido inanyima watoto wa Maskini vyeti vya kidato Cha nne kisa wameshindwa kulipa Michango. Je, Kuna uhalali wa kisheria kunyima watoto wa...
Mimi ni mdau wa elimu, naomba ujumbe huu ufike kwenye mamlaka za Juu Serikalini, lengo sio kuchafua taasisi yetu bali ni kutusaidia sisi Watanzania ambao tuna hali ngumu na hatuna mtu wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.