Halmashauri ya Wilaya Itilima, Mkoa wa Simiyu, Walimu tumekatwa makato kwenye vyama viwili vya Wafanyakazi ambavyo ni Chama cha Kulinda na Kutetea Haki za Walimu (CHAKUHAWATA) na Chama cha Walimu...
Hivi kulikuwa Kuna ulazima Gani wa nyinyi kubadili mfumo wa hiyo app yenu?
Sasa hivi hakuna kitu watu wanaangalia kwa Raha, imekua kero na wasumbufu, jiangalieni!
====
Maoni ya wadau wengine...
Kuna Shule ya Msingi huku Kibaha inaitwa Misugusugu, hapo kuna Wanafunzi wa Darasa la Saba wanaingia Shule Saa 12 Asubuhi na kutoka Saa mbili Usiku muda ambao sio rafiki kwa Wanafunzi.
Nasema...
Idadi ya Malori njia ya Mandela road imekua kubwa sana kiasi ambacho yanasababisha foleni kubwa sana.
Hii ni kero kero kwa wakazi wa Kigamboni na Mbagala wanaotumia mandela road. Mbali na foleni...
Hii kitu mimi huwa inanitatiza sana, pale unapotumia USSD ya benk ili kufanya miamala kupitia mitandao ya simu.
Unakuta na kuambiwa ni lazma uwe na saliio la kawaida isiyopungua sh. 100..
Sasa...
Tangia kuzaliwa kwangu sijawai kuona kampuni ya ajabu kama hii ya halotel
Hawa jamaa Internet yao ni slow labda uwe karibu na ofisi zao.
Internet inaweza kugoma muda wowote na hawana maelezo ya...
Uongozi wa Shule ya Sekondari Namanga iliopo wilaya ya Longido inanyima watoto wa Maskini vyeti vya kidato Cha nne kisa wameshindwa kulipa Michango. Je, Kuna uhalali wa kisheria kunyima watoto wa...
Mimi ni mdau wa elimu, naomba ujumbe huu ufike kwenye mamlaka za Juu Serikalini, lengo sio kuchafua taasisi yetu bali ni kutusaidia sisi Watanzania ambao tuna hali ngumu na hatuna mtu wa...
Kwa masikitiko makubwa naomba mtusaidie watu wa Kijiji Kyamarange na Kata Rubafu kwa ujumla kutokana na matukio yanayoendelea huku kwetu.
Kuna matukio ya Mauaji ambayo hatupewi majibu yoyote na...
Jaman hebu tazameni katika suala la taksi Mtandaoni hasa huduma ya Bolt.
Madereva wanalia 😢 sana kisa commission zao, na ni kweli ni kandamizi sana, 25% ya nauli kweli 😢 kwa mfano safari ya Sh...
Hii ni moja ya daladala ambayo ipo hapa Jijini Dar es Salaam, hapa si abiria anadondoka kabisa, kama ni mtoto ndio kabisa.
LATRA na Trafiki ambao kila siku kaiz yenu kubwa ni kupiga faini kwenye...
SUMATRA mkoani Kilimanjaro haswa wilaya ya Moshi mjini haifanyi kazi ipasavyo. Nyakati za jioni kuelekea usiku abiria haswa wanapenda wilaya ya Hai haswa mji Mdogo wa Bomang'ombe abiria wamekuwa...
Kumekuwa na kero sana hapa Dodoma mitaa Minginkila soda ya Cocacola unayonunua hasa hizi za take away unakuta tarehe ya kuharibika imefika au bado kidogo lakini pamoja na hayo pia ladha yake...
Wakuu Kwema? Bila shaka muko salama.
Mwezi uliopita Nilikuwa Hospitali ya Taifa ya Mloganzila, Baada ya mke wangu Kuhamishiwa hapo baaada ya Kupewa Rufaa kutoka Kituo cha Afya ambapo alienda...
Shule ya sekondari Maji ya Chai iko Halmashauri ya wilaya ya Meru, wilaya ya Arumeru mkoa wa Arusha.
Tusilaumu hizi shule, mazingira wala wanafunzi, mchawi mkubwa ni walimu na viongozi wao...
Habari ndugu zangu, hivi huu utaratibu wa kuwaweka kambi Wanafunzi waliyokwenye Vidato vya mitihani nani ameuleta?
Maana umekuwa ni mradi kwa baadhi ya Walimu wa Shule hasa za Serikali.
Kuna...
Kwa kweli huduma ya TTCL Fiber imekuwa changamoto kubwa katika maeneo mbalimbali Dar es Salaam. Wananchi tunafuata taratibu zote za kuomba huduma, tunajaza fomu na kusubiri, lakini kuna Watu zaidi...
Kumekuwa na 'Trend' hivi karibu kwa wasifirishaji abiria Mjinia "DALADALA" kukwepa Vituo Rasmi vilivyotengwa kwaajili ya Kupakia na Kushusha abiria na kisha kuegesha njiani ili kumzui mwenzake...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.