Baadhi ya wakazi wa mtaa wa Mindu katika Manispaa ya Morogoro wamelazimika kuchimba mashimo kwenye mabonde yaliyopo ndani ya mtaa huo ili kusaka huduma ya maji baada ya vyanzo vingi vya maji...
Ruangwa tuna shida kubwa ya maji. Mimi nimezaliwa hapa nimekulia hapa hadi leo hii nakaribia umri wa miaka 20 miaka yote hapa tuna shida ya maji tu, tangu niko mdogo tunateseka na shida ya maji...
CHADEMA wajanja sana wameshirikiana na jua pamoja wanaharakati kutoka nje kukukasha vyanzo vya maji ili ionekane mama hapendwi ila UVCCM😂
Haiwezezekani wazungu watuonee wivu Kwa rasilimali zetu...
Kwa siku kadhaa nimekuwa nikinunua maji kwa Sh 2,000 kwa dumu nikiwa Salasala nimempigia na rafiki yangu yupo Mbezi Beach kwa Komba changamoto ni hiyo hiyo. Hali hii imenifanya nihisi kama...
Ni hali ya kusikitisha kwamba, licha ya historia yake yenye mafanikio katika elimu, mapenzi makubwa katika elimu, jitihada, uwezo wa kipekee, na mchango mkubwa katika kuzalisha wasomi, Kagera bado...
Nimeingiziwa posho yangu . Haiuhusiani na mshahara wangu halafu mnakata kurejesha deni lenu.
Kwanini msifuate mkataba unavyosema kuwa huu mkopo unalipwa na mshahara.
Hizi pesa zingine zinawahusu...
Dah ishakuwa mtihani kwakweli, maji ya chumvi yanatupausha, hakuna namna
Week ya pili sasa tuna taabika, Kukosa hivi visima kwenye misikiti sijui ingekuwaje walah
Guys, guys, guys this is economic sabotage, maadui zetu wanatuonea wivu sababu ya maumbile yetu na rasilimali tulizonazo. Tanzania ina bahari, maziwa, mito, mabwawa ila maadui zetu wanasababisha...
Nimejaribu kufuatilia panel mbali mbali za usahihishaji wa mitihani ya kidato cha nne na chapili ambapo nilianza kuhudhuria kama miaka kumi iliopita kama external niliouagundua huko ni mengi...
Mdogo wangu alikuwa kapata chuo Kozi ya Udaktari wa Binadamu (MD)Katika chuo cha Mwanza university. Tukawa tunasubiri dogo apate mkopo ndio tumkamilishie usajili. Dogo bana si akapangiwa mkopo...
Vyanzo kuu vya maji vya Mkoa wa Morogoro:
1. Mito mikuu:
· Mto Wami - unaopita Morogoro mjini
· Mto Mgeta/Ruvu - ni tawimto muhimu
· Mto Mkondoa
· Mto Ngerengere
2. Milima na Mito...
Hello Wakuu
Hii mitaa yetu huku Dar es Salaam tunakabiliwa na changamoto ya maji karibia wiki nzima na sio kawaida kabisa
Naomba kuuliza ni viunga vyetu tu hivi vya kimaskini au nchi nzima hili...
Kama tulivyojadiliana maandamano ya kupinga udhembe na kukosekana uwajibika miongoni ya walimu wetu na viongozi wa chuo pia yatafanyika 18 December 2025 kama tulivyokubaliana.
Kero kwa miaka na...
Kile kinachoendelea Mwanza si hitilafu ya kawaida, bali ni aibu ya wazi, uzembe wa makusudi na kutowajibika kwa kiwango cha juu kabisa kutoka MWAUWASA. Mwezi mzima uliopita Nyegezi haikuwa na tone...
Shoppers sikuizi wahudumu wenu wana wajali sana wazungu kuna ka ubaguzi pia wahudumu wana lugha chafu una uliza ili upate kujua ila unajibiwa kama una fukuzwa kwamba usirudi tena hapa
Ipo hivi...
MWAUWASA, tunaomba taarifa ya haraka.
Kwa takribani mwezi mzima Yengezi yote hakuna maji, na sasa tatizo limejirudia tena bila maelezo yoyote kutoka kwenu. Wananchi tunapata usumbufu...
Wiki ya pili Sasa Jimbo la Kivule Mtaa wa Bombambili umeme unakatwa kila siku asubuhi na kurudishwa saa nane usiku maisha yamekua magumu kwa wananchi ambao asilimia kubwa ni wajasiriamali. Hamna...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.