KERO Threads

Anonymous (7ace)
KERO 
Mimi ni mdau wa elimu, naomba ujumbe huu ufike kwenye mamlaka za Juu Serikalini, lengo sio kuchafua taasisi yetu bali ni kutusaidia sisi Watanzania ambao tuna hali ngumu na hatuna mtu wa...
4 Reactions
14 Replies
1K Views
Anonymous
KERO 
Kwa masikitiko makubwa naomba mtusaidie watu wa Kijiji Kyamarange na Kata Rubafu kwa ujumla kutokana na matukio yanayoendelea huku kwetu. Kuna matukio ya Mauaji ambayo hatupewi majibu yoyote na...
2 Reactions
3 Replies
344 Views
Anonymous (f995)
KERO 
Jaman hebu tazameni katika suala la taksi Mtandaoni hasa huduma ya Bolt. Madereva wanalia 😢 sana kisa commission zao, na ni kweli ni kandamizi sana, 25% ya nauli kweli 😢 kwa mfano safari ya Sh...
1 Reactions
5 Replies
503 Views
Anonymous (a9cb)
KERO 
Nimefika Stendi ya Nanenane Dodoma, watu wote wanakatishwa tiketi ya ushuru wa kuingia stendi hata kama tayari unatiketi ya safari. Hii ni sawa kweli?
3 Reactions
7 Replies
463 Views
Anonymous (a105)
KERO 
Hii ni moja ya daladala ambayo ipo hapa Jijini Dar es Salaam, hapa si abiria anadondoka kabisa, kama ni mtoto ndio kabisa. LATRA na Trafiki ambao kila siku kaiz yenu kubwa ni kupiga faini kwenye...
1 Reactions
3 Replies
225 Views
Wakuu, Hivi mnaoishi huko Kimara mnawezaje? Mna uhakika hamna mafunzo ya kijeshi kweli? Serikali kama huu mradi umeushindwa ni bora waseme tu
7 Reactions
43 Replies
2K Views
Anonymous
KERO 
SUMATRA mkoani Kilimanjaro haswa wilaya ya Moshi mjini haifanyi kazi ipasavyo. Nyakati za jioni kuelekea usiku abiria haswa wanapenda wilaya ya Hai haswa mji Mdogo wa Bomang'ombe abiria wamekuwa...
1 Reactions
0 Replies
153 Views
Anonymous
KERO 
Kumekuwa na kero sana hapa Dodoma mitaa Minginkila soda ya Cocacola unayonunua hasa hizi za take away unakuta tarehe ya kuharibika imefika au bado kidogo lakini pamoja na hayo pia ladha yake...
0 Reactions
0 Replies
153 Views
JOHNGERVAS
KERO Responded 
Wakuu Kwema? Bila shaka muko salama. Mwezi uliopita Nilikuwa Hospitali ya Taifa ya Mloganzila, Baada ya mke wangu Kuhamishiwa hapo baaada ya Kupewa Rufaa kutoka Kituo cha Afya ambapo alienda...
45 Reactions
259 Replies
18K Views
Shule ya sekondari Maji ya Chai iko Halmashauri ya wilaya ya Meru, wilaya ya Arumeru mkoa wa Arusha. Tusilaumu hizi shule, mazingira wala wanafunzi, mchawi mkubwa ni walimu na viongozi wao...
6 Reactions
24 Replies
2K Views
Habari ndugu zangu, hivi huu utaratibu wa kuwaweka kambi Wanafunzi waliyokwenye Vidato vya mitihani nani ameuleta? Maana umekuwa ni mradi kwa baadhi ya Walimu wa Shule hasa za Serikali. Kuna...
11 Reactions
62 Replies
3K Views
Nyakijooga
KERO Responded 
Kwa kweli huduma ya TTCL Fiber imekuwa changamoto kubwa katika maeneo mbalimbali Dar es Salaam. Wananchi tunafuata taratibu zote za kuomba huduma, tunajaza fomu na kusubiri, lakini kuna Watu zaidi...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Kumekuwa na 'Trend' hivi karibu kwa wasifirishaji abiria Mjinia "DALADALA" kukwepa Vituo Rasmi vilivyotengwa kwaajili ya Kupakia na Kushusha abiria na kisha kuegesha njiani ili kumzui mwenzake...
3 Reactions
14 Replies
543 Views
HAKUNA JIJI LENYE MPANGILIO WA HOVYO KATIKA USAFIRI KAMA ARUSHA.. Kiukweli inashangaza sana kuona jiji kama Arusha linazidiwa na Mikoa ambayo haina hadhi kama ilivyo Arusha kuwa na mpangilio...
5 Reactions
9 Replies
645 Views
Anonymous
KERO 
Hii mitandao miwili ina tatizo la mtandao hususan upande wa maongezi 1. Utapiga simu ule mlio wa kuita upande wa mpigaji haulii, kisha simu hiyo itapokelewa lakini mpigaji hatasikia kitu, mpigiwa...
1 Reactions
0 Replies
148 Views
Anonymous
KERO 
Kuna agenda gani kati ya NMB na mfumo wa ESS UTUMISHI katika suala la uuzaji mikopo? Maana watumishi waliokuwa na mikopo NMB wanashindwa kuuza mikopo yao (topup to another bank) bank nyingine...
0 Reactions
0 Replies
403 Views
Habari Madam President, sisi ni Wakazi wa Tanga Mjini, Barabara ya 05 Ngamiani, Mtaa wa Makoko tatizo letu kubwa ni hiyo Majestic Bar ilikuwa ni mali ya CCM lakini imekodishwa na Joseph...
2 Reactions
21 Replies
955 Views
Anonymous
KERO 
Tunaomba kujua kwani Tanroads siku hizi wameacha kumaintain barabara ama ni taasisi nyingine ndio inafanya hiyo kazi? Ukipita barabara ya Skanska kwenda IPTL njia nzima imejaa mchanga, yaani...
1 Reactions
0 Replies
111 Views
Anonymous
KERO 
Bar ya Mashati iliyopo mbweni imekuwa ni kinara wa makelele kwa sisi majirani. Kinachoshangaza hii bar/liquor store imeibukaje katikati ya makazi ya watu? Yaani imezungukwa na nyumba. Kwani hawa...
1 Reactions
0 Replies
179 Views
Anonymous
KERO 
Kama sikosei ni takribani miaka miwili au mitatu imepita tangu serikali ilipotangaza na kupitisha makato maalumu (Tozo za serikali) kwenye miamala ya simu. Serikali ilisema kwamba tozo hizo...
3 Reactions
9 Replies
674 Views
Back
Top Bottom