mwehu ndama
JF-Expert Member
- Nov 12, 2019
- 2,278
- 8,767
Hivi kulikuwa Kuna ulazima Gani wa nyinyi kubadili mfumo wa hiyo app yenu?
Sasa hivi hakuna kitu watu wanaangalia kwa Raha, imekua kero na wasumbufu, jiangalieni!
====
Maoni ya wadau wengine
Sasa hivi hakuna kitu watu wanaangalia kwa Raha, imekua kero na wasumbufu, jiangalieni!
====
Maoni ya wadau wengine
Yaani kiufupi hakuna app ni ujinga mtupu siku hizi
Yaani nimepakua app mpya ni ‘buffering’ mtindo mmoja. Ile ya zamani ilikuwa haina shida😤