Salute.
Naomba niende kwenye maada mimi kama askari (mlinzi) wa kampuni binafsi wa Garda world nimeamua kutumia platform hii kuleta kero ya kiongozi wetu mkuu wa kampuni ya ulinzi Garda world...
Ukosefu wa maji katika Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) umeendelea kuwa kero kubwa kwa wanafunzi. Tunalazimika kutumia muda mwingi kusaka maji badala ya kusoma kwaajili ya UE na mitihani mingine, huku...
Tunaomba mtusaidie kupaza sauti kuna shule huku Mbezi Makabe inaitwa Safi Primary School, watoto wa darasa la nne wanatoka saa moja usiku mpaka wafike nyumbani ni saa 2 usiku.
Asubuhi wanafuatwa...
Wasafiri wanaotumia huduma ya Mwendokasi kutoka Mbezi kwenda mjini wameeleza kusikitishwa na kiwango cha nauli kinachotozwa, ambacho ni Shilingi 2,000 kwa safari moja.
Wananchi wanasema hali hiyo...
SHIRIKA LA UMEME TANESCO SISI WAFANYAKAZI WA S.T.E BORESHENI MIKATABA YETU AU TUPENI MIKATABA YA KUDUMU.
Habari sisi ni wafanyakazi wa shirika la umeme tanesco wa mikataba ya S.T.E kwenye shirika...
Sisi huku Mbeya Jiji, Ajira Mpya elimu sekondari tunalipwa pesa ya kujikimu nusunusu na haitusaidii kwenye kuanzisha maisha huku ugenini mfano tumelipwa Sh 400,000 tu kati ya sh 1,105,000.
Wafanyakazi wa Kiwanda cha Saruji cha Maweni Limestone Limited kilichopo Maweni mkoani Tanga tunaishi kwa uchungu mkubwa, tulikuja hapa miaka iliyopita kama vibarua kwa ahadi ya kupewa mikataba...
Habari,
Naomba kuwasilisha kero kuhusu mfumo wa maombi ya ajira wa Utumishi, ambao unaonekana kutokuwa rafiki kwa baadhi ya waombaji.
Mfumo huu unapomtambua mwombaji kuwa ana shahada katika kozi...
Wakazi wa Kigoma wanalalamikia kuchelewa kupatiwa huduma ya TTCL Fiber licha ya kulipia gharama za kuunganishiwa huduma hiyo zaidi ya miezi miwili iliyopita.
Inadaiwa kuwa kila wanapowasiliana na...
Watumishi katika Idara ya Sekondari ya Halmashauri ya Tarime Vijijini hatujalipwa fedha za likizo kwa wakati na kwa viwango vinavyostahili.
Baadhi ya watumishi bado wana madai ya fedha za likizo...
Halmashauri ya Wilaya ya Urambo sio Walimu tu hawajalipwa, sisi pia wa afya tulioajiriwa Februari 2026 hatujalipwa hela ya kujikimu na wakati huohuo wapo wameajiriwa Mei 2026 wamelipwa.
Tukiuliza...
Naomba suala hili lifanyiwe uchunguzi.
Kuna malalamiko kuwa Hospitali ya Halmashauri ya Mpimbwe, Katavi, wameanza kuwatoza fedha akina mama wanaojifungua watoto njiti kwa madai ya gharama za...
Naomba kufikisha kilio chetu kuhusu haki ya mafao yetu ya NSSF. Sisi ni wafanyakazi tuliokuwa katika Kituo cha Huduma kwa Wateja (Call Center) cha TANESCO, tulioajiriwa kupitia Kampuni ya Erolink...
Tunaomba msaada wenu kupaza sauti kuhusu changamoto inayodaiwa kusababishwa na kiwanda cha vinywaji kinachosemekana kuwa kinamilikiwa na METL Group, kilichopo eneo la viwanda, Mtaa wa Maziwa, Kata...
Habari,
Naomba kutumia nafasi hii kuwasilisha kero kuhusu adha wanayopitia wakazi wa Mtaa wa Kidete, Manispaa ya Kahama.
Kwa muda sasa, wakazi tumekuwa tukivamiwa na kusimamishwa mara kwa mara...
Mmoja wa madereva wa magari ya kenta katika Soko Kuu Arusha amesema wamiliki wa magari wanakabiliwa na mzigo mkubwa wa tozo na gharama mbalimbali zinazowafanya kuendesha biashara kwa ugumu...
Habari wadau,
Kwanza napenda kuipongeza Serikali kwa kutuletea huduma ya umeme kupitia mradi wa REA katika Kijiji cha Mwalugulu, Kata ya Mwalugulu, Halmashauri ya Msalala.
Kijiji cha Mwalugulu...
Naomba mamlaka husika zichunguze huduma za vyeti mtandaoni katika Wilaya ya Tandahimba. Niliomba cheti cha kifo tarehe 11 Juni 2026, lakini hadi leo 8 Julai 2026 sijakipata, na status ya maombi...
Wakuu,
Kuna ndugu yangu wangu la 7 ndo anarudi shule leo karudi saa 1 usiku. Muda wa kutoka shule ni saa 10 lakini hawa la 7 wanakalishwa hadi saa 1 usiku
Nilivyouliza kwanini wanabaki hadi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.