Halmashaurii ya Nsimbo, Mkoani Katav kuna Shule ya Sekondari yenye jina la aliyekuwa Mbunge wa zamani wa wilaya hiyo, inaitwa Anna Lupembe Secondary, hii shule wanafunzi wa kidato cha kwanza...
Bado imekuwa changamoto hasa kwa watumiaji wa vyombo vya moto.
Aidha ni kama Jeshi la Polisi halijajiandaa ama basi limekaa kisiasa zaidi.
Unafanya Aplication kwenye mfumo, Unalipia, unaweka...
Nilipita jana barabara hii, kipande cha kutoka Endasaki mpaka ufike Dareda Barabara Kuu ya Singida Babati, kwa kifupi ina mashimo mengi na makubwa sana jambo ammbalo ni hatari kwa watumiaji wa...
Kuna tabia ya kukata umeme ovyo kila mara kulikoni sehemu zingine tunaomba tanesco wachukue hatua maana kukatika ovyo kwa umeme imekua kero ya muda mrefu
Barabara ya kutoka Ibanda mpaka Kyela Mjini imegeuka kero kwa watumiaji kutokana na barabara hiyo kujaa mashimo ya muda mrefu, pia kumekuwa na matukio ya ajali zitokanazo na mashimo hayo...
Wakazi wa Mwenge TRA tumechoka na kero ya umeme kukatika kila siku, sometimes inaharibu hata shuguli za kupata riziki tumechoka kwa kweli.
Soma Pia: Wakazi wa Ulongoni A, Kinyerezi tuna...
Wakuu hi barabara tunasubiri Nini Kuitanua? Niliona kafulila kamfurusha Mbia ambaye alitaka Kufanya huu mradi na Serikali Kwa mode PPI ajenge halafu a impose Toll fee,
Baada ya Kuongea vile...
Nina muda wa takribani miaka 10 sijapita barabara ya Mwanza–Mara, lakini sasa nimeipita. Ebwana wee! 🤔
Kuanzia Kisesa, Magu hadi Ramadi, barabara imeharibika kiasi cha kuonekana kama...
Hii ni Barabara Kuu ya kutoka Mwanza hadi Arusha, nimepita hapo hilo ni eneo la Katesh Mjini Wilayani Hanang Mkoani Manyara, magari yameamua kuacha kupita kwenye lami yanapita kwenye Barabara ya...
Hali ya Barabara Kuu kutoka Dareda Mkoani Manyara hadi Singida ni mbaya kwa kweli, magari yanalazimika kutembea kwa mwendo mdogo kwa kuwa mashimo ni mengi na ukienda kwa mwendo wa kasi unaweza ama...
WALIMU WA SAYANSI HAWANA POSHO YA UANDAAJI WA PRACTICALS KWA SHULE ZA SEKONDARI
Sisi walimu wa sayansi tunaofundisha mfano Biology, Chemistry,Physics n.k katika shule za sekondari tunaomba...
Wahitimu wa Diploma ya Laboratory Science 2024/2025 katika Chuo cha Karume Institute of Technology-Zanzibar wanashindwa kuomba nafasi za kujiunga na Vyuo Vikuu nchini pamoja na kushindwa kuomba...
Natoa wito kwa uongozi wa elimu katika Wilaya ya Misungwi kufuatilia kwa makini mwenendo wa baadhi ya viongozi ili kuhakikisha usimamizi wa walimu unazingatia sheria, haki na maadili ya utumishi...
Hii barabara ndio kipimo cha namna gani mabwenyeye wa CCM hawawajali raia.
Kwa basi hii barabara haifai kabisa yaaani ni makorongo tu na rami ilishachoka zaidi ya miaka minne.
CCM hawajali kitu.
Naomba kuwasilisha kero inayowakabili wakazi wa Ngarenaro, Kambi ya Fisi na maeneo mengine ya Jiji la Arusha.
Baadhi ya garage na mabasi ya abiria yamekuwa yakitumia service roads kama maegesho...
Kero yangu ni suala la uhamisho Halmashauri ya Mji Handeni limekuwa kama vita, maboss wanakalia barua za Watumishi za uhamisho kuhama imekuwa kipengele kikubwa hapo.
Mimi ni Mtumishi katika Halmashauri ya Jiji la Tanga, pamoja na wenzangu wa Mwaka 2024, lakini hadi sasa, mwaka 2026 hatujalipwa fedha ya kujikimu, tupo zaidi ya watumishi 100 walioajiriwa kipindi...
Watumishi tuliopata ajira mwezi Julai 2022 tunaomba kuwasilisha malalamiko yetu kuhusu kucheleweshewa kupandishwa madaraja licha ya kukidhi vigezo vya kisheria na kiutumishi.
Tumekuwa tukiambiwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.