KERO Threads

Anonymous
KERO 
Mimi ni mlemavu wa kusikia na mkazi wa Dar es Salaam. Kupitia uzoefu wangu binafsi katika kufuatilia haki zangu na kupata huduma katika taasisi mbalimbali za serikali, nimekumbana na changamoto...
1 Reactions
1 Replies
98 Views
Anonymous (9713)
KERO 
Kero yangu ni kwa watu wa NSSF, nilikuwa nafuatilia mafao yangu ya ukomo wa kazi kwenye statement yangu kuna shilingi 7,000,000 kazini nilikuwa nalipwa 600,000, hivyo NSSF nilikuwa nawekewa...
4 Reactions
34 Replies
1K Views
Anonymous
KERO 
Ndugu wanajamii, Leo tunazungumzia suala linalowahusu moja kwa moja mawakala wa mauzo (Direct Sales Agents) wanaofanya kazi na kampuni ya Yas Tanzania. Hoja hii ni muhimu kwa sababu inahusu haki...
2 Reactions
1 Replies
131 Views
Sasa hivi, mitandao ya simu yote imekuwa shida, lakini tatizo kubwa lipo kwa mtandao wa Vodacom, mara simu haziendi, mara message haziendi, mara internet inakuja na kupotea. Wanasema matatizo...
0 Reactions
2 Replies
91 Views
Anonymous
KERO Responded 
Ningependa kuwasilisha malalamiko yangu kuhusu tatizo sugu la kukatika kwa umeme katika eneo la Buswelu Center, jijini Mwanza. Kwa muda wa zaidi ya miezi sita sasa, kumekuwa na changamoto kubwa...
2 Reactions
4 Replies
421 Views
BOB LUSE
KERO Responded 
Kipindi cha Magufuli Ujinga huu wa umeme kukatika ilikuwa ni nadra sana, sasa tumerudishwa gizani bila sababu za Msingi, badala ya ku improve baada ya kupata vyanzo bora vya umeme, shida imehamia...
4 Reactions
3 Replies
208 Views
Kuna changamoto kadhaa zinazoendelea katika hospitali hii ambazo zinahitaji kufanyiwa uchunguzi na kuchukuliwa hatua: 1. Ucheleweshaji wa malipo ya wafanyakazi Wafanyakazi hawajalipwa malipo ya...
1 Reactions
2 Replies
82 Views
Kama mzazi na ndugu wa baadhi ya wanafunzi wanaosoma katika shule ya sekondari LYAMUNGO iliyopo Wilaya ya Hai, Kilimanjaro; tungeomba TAMISEMI na Wizara ya Elimu wawe wazi kuhusu maisha halisi...
0 Reactions
5 Replies
118 Views
Anonymous
KERO 
Mimi ni Mkazi wa Kijiji cha Makurunge kilichopo Kata ya Kiluvya, Wilaya ya Kisarawe mkoani Pwani, kero yangu ni uendeshaji mbaya wa Shule ya Sekondari Makurunge. Shule inaendeshwa kikatili sana...
0 Reactions
7 Replies
145 Views
Anonymous
KERO 
Hawa Askari wamekuwa waonevu na wametengenezewa kichaka cha kula Rushwa kupitia kazi ya kukamata Bajaj na Bodaboda wasio na Vituo, hata ukisimama dukani unanunua kitu emergency wanakukamata...
6 Reactions
10 Replies
262 Views
Anonymous
KERO Responded 
Hello Fichua Uovu , Mimi ni Mkulima wa Parachichi Mkoani Njombe, Serikali ilitumia nguvu sana kutuhamashisha kulima zao la parachichi kwa kutuonyesha faida yake kwa Mkulima, lakini kwa sasa hali...
3 Reactions
20 Replies
700 Views
Anonymous
KERO 
Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE) kimeanzisha utaratibu wa wanafunzi wa mwaka wa tatu kufanya utafiti (research) na kuufanyia utetezi (defence) katika muhula huu. Hata hivyo, wanafunzi...
1 Reactions
10 Replies
217 Views
Anonymous
KERO 
Ninaomba kuwasilisha kero hii kwa mamlaka husika na wadau wa utoaji huduma za umma kuhusu changamoto zinazowakabili wananchi wanaoomba usajili wa vyeti vya kuzaliwa kupitia Ofisi ya RITA katika...
1 Reactions
1 Replies
48 Views
Anonymous
KERO 
Tunahitaji msaada hapo NACTVET Mikocheni unaenda unakaa siku nzima unaambiwa tu kuwa mtandao unasumbua, watu wanahitaji AVN Number, Transcript za matokeo na shida zingine pia zinazohusu huduma za...
0 Reactions
1 Replies
101 Views
Anonymous
RESOLVED KERO 
Kero yangu kubwa kuhusu NACTVET ukiwapigia simu hawapokei na inapotokea wamepokea hawaelekezi vizuri, wanafanya kazi kama vile wamelazimishwa. Yaani kila ukipiga simu ni kama vile hawataki...
0 Reactions
3 Replies
236 Views
Anonymous
KERO Responded 
Nina malalamiko yangu kwa Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi na Mafunzo ya Ufundi Stadi (NACTVET) kuhusu huduma ya mawasiliano kwa wateja. Kumekuwa na changamoto kubwa ya kutopokelewa simu...
0 Reactions
5 Replies
197 Views
Anonymous
KERO Responded 
Asee mimi nakwazika sana kwenye kufanya application ya kuomba transcript kwanza wameweka namba ambazo ukipiga hazipokelewi na zikipokelewa hakuna anayeongea. Pili, kwenye mfumo ukiomba Control...
0 Reactions
3 Replies
100 Views
Anonymous
KERO 
Kero zetu ni Wilaya Kusini - Unguja naomba nizungumzie hasa Paje ndiyo mahali naishi, kero kubwa iliyopo hapa Wananchi hatuna sehemu za kutupa takataka zetu au huduma ya kulipia ya kuchukuliwa...
1 Reactions
6 Replies
119 Views
Wakuu salamu, Naandika hii mada nikiwa na hasira sana na huu uhuni unaofanywa na Airtel kwenye hizi router zao. Yaani huku ni kuibiana mchana kweupe na ukiwahoji hawana majibu ya kueleweka...
16 Reactions
44 Replies
1K Views
Anonymous
KERO 
Kero yetu ni uwepo wa dampo kubwa la takataka katika Kata ya Murubona, Wilaya Kasulu Mji, dampo hilo ni hatarishi kwa jamii inayozukwa na taka kwani ni chanzo kikubwa cha magojwa, lilianzishwa...
1 Reactions
1 Replies
64 Views
Back
Top Bottom