KERO Threads

Anonymous
KERO Responded 
Tovuti ya BRELA ORS ina tatizo la kutotuma barua pepe za uthibitisho (verification emails) kwa watumiaji wanaojaribu kufungua akaunti mpya. Kutokana na tatizo hili, wananchi wengi wanashindwa...
1 Reactions
1 Replies
125 Views
Anonymous
KERO 
Tunaiomba mamlaka husika hasa TANESCO kutatua tatizo la umeme mdogo (low voltage) katika eneo la Nyamhongolo Stand, Wilaya ya Ilemela, Mwanza. Wananchi na wafanyabiashara wa eneo hili tunaendelea...
1 Reactions
2 Replies
150 Views
Anonymous
KERO 
Habari ndugu zangu, nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Watumishi wa hospitali ya rufaa ya kanda KCMC na serikali yetu ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ,tunaomba kero zetu...
6 Reactions
21 Replies
308 Views
Anonymous (6deb)
KERO 
Huku Tabora tunachangamoto ambayo inatakiwa kushughulikiwa na TANESCO, kwani inapotokea wamebadilisha Mita na kufunga zile za Smart kama ulikuwa na umeme (Units) mwanzoni kwenye ile Mita ya mwanzo...
1 Reactions
2 Replies
381 Views
Anonymous (c732)
KERO 
Ajira mpya wa mwaka huu 2026 tuliingiziwa kiasi cha shilingi za kitanzania laki mbili na themanini lakini tangu hapo hatujaona kitu tena huku kinacholeta wasi wasi zaidi tukiuliza wenzetu wa mwaka...
0 Reactions
5 Replies
181 Views
Anonymous
KERO 
Watumishi wa Idara ya Radiology ni idara pekee hawalipi extra duty, unapangiwa roaster unasoma extra duty asubuhi hadi saa mbili usiku lakini haulipwi. Kinachouma ni kwamba muda wako wote wa...
0 Reactions
1 Replies
156 Views
Anonymous
KERO 
NSSF morogoro wajirekebishe, nimeomba mafao kwa mfumo baada ya mikataba kuisha imekua changamoto, nimefungua madai tangu April 22 nimemaliza verification tarehe 30 April, nimekuja ofisini kwenu...
1 Reactions
22 Replies
1K Views
Anonymous
KERO 
Mimi ni mkazi wa Newala -Mtwara, kila Mara Tumekuwa na changamoto ya kukatika umeme , tunashindwa kufanya kazi zetu zinazotumia umeme; mda mwingine siku mbili mfululizo bila kupewa taarifa yoyote...
0 Reactions
4 Replies
292 Views
Anonymous
KERO 
Mfumo wa ESS utumishi wamesindwa kuruhusu walionufaika na mkopo kuulipa kwa kuuzia bank madeni hayo. Sijajua wanakwama wapi kiasi hicho wakat kabla ya mfumo walikua wanaruhusu. Imekuwa ni kero...
0 Reactions
1 Replies
80 Views
Kumekuwa na bei kubwa/ghali sana ya vyakula kwa wasafiri nchini. Sehemu ambazo magari yanapeleka abiria kula yamekuwa yakitoza gharama sana za vyakula, Wahusika walifuatilie hili, watu wanaumia...
7 Reactions
36 Replies
396 Views
Mimi ni moja kati ya wafanyabiashara tulioumizwa na bado tunaendelea kuumizwa na taasisi ya serikali TEMESA mkoani Morogoro. Nina madai ya madeni tokea 2017 nili-suply vipuri vya magari ila...
2 Reactions
11 Replies
208 Views
Anonymous
KERO 
Kuna ugumu wa kupata Visa ya kwenda China kutoka hapa nchini, hali inayosababisha usumbufu mkubwa kwa waombaji wengi. Tunalazimika kuamka saa tisa usiku ili kuwahi foleni, lakini hata hivyo...
0 Reactions
4 Replies
198 Views
Anonymous
KERO 
Mimi ni mlemavu wa kusikia na mkazi wa Dar es Salaam. Kupitia uzoefu wangu binafsi katika kufuatilia haki zangu na kupata huduma katika taasisi mbalimbali za serikali, nimekumbana na changamoto...
1 Reactions
1 Replies
98 Views
Anonymous (9713)
KERO 
Kero yangu ni kwa watu wa NSSF, nilikuwa nafuatilia mafao yangu ya ukomo wa kazi kwenye statement yangu kuna shilingi 7,000,000 kazini nilikuwa nalipwa 600,000, hivyo NSSF nilikuwa nawekewa...
4 Reactions
34 Replies
1K Views
Anonymous
KERO 
Ndugu wanajamii, Leo tunazungumzia suala linalowahusu moja kwa moja mawakala wa mauzo (Direct Sales Agents) wanaofanya kazi na kampuni ya Yas Tanzania. Hoja hii ni muhimu kwa sababu inahusu haki...
2 Reactions
1 Replies
131 Views
Sasa hivi, mitandao ya simu yote imekuwa shida, lakini tatizo kubwa lipo kwa mtandao wa Vodacom, mara simu haziendi, mara message haziendi, mara internet inakuja na kupotea. Wanasema matatizo...
0 Reactions
2 Replies
90 Views
Anonymous
KERO Responded 
Ningependa kuwasilisha malalamiko yangu kuhusu tatizo sugu la kukatika kwa umeme katika eneo la Buswelu Center, jijini Mwanza. Kwa muda wa zaidi ya miezi sita sasa, kumekuwa na changamoto kubwa...
2 Reactions
4 Replies
419 Views
BOB LUSE
KERO Responded 
Kipindi cha Magufuli Ujinga huu wa umeme kukatika ilikuwa ni nadra sana, sasa tumerudishwa gizani bila sababu za Msingi, badala ya ku improve baada ya kupata vyanzo bora vya umeme, shida imehamia...
4 Reactions
3 Replies
206 Views
Kuna changamoto kadhaa zinazoendelea katika hospitali hii ambazo zinahitaji kufanyiwa uchunguzi na kuchukuliwa hatua: 1. Ucheleweshaji wa malipo ya wafanyakazi Wafanyakazi hawajalipwa malipo ya...
1 Reactions
2 Replies
82 Views
Back
Top Bottom