Makondakta wa daladala wamekuwa wakitoza nauli isivyo maelekezo kwa kigezo cha kukosa Sh 100 au Sh 200 na kusababisha kukata nauli ya juu endapo tu abiria hana chenchi kamili hiii ni kero hasa wa...
Stendi ya daladala ya Mbezi Mwisho wakazi wa kuanzia Picha ya Ndege Kibaha na kuendelea wanapata tabu sana ifikapo jioni muda wa kurudi kwao. Gari inayotakiwa kufika Kongoe mpaka Mlandizi...
Nina hoja kuhusu baadhi ya daladala zinazofanya safari kati ya Mwenge na Bunju, hasa nyakati za jioni. Kuna baadhi ya magari ambayo yamekuwa na utaratibu wa kuwatangazia abiria kuwa yanaishia...
Habari wadau wa JamiiForums,
Naomba kufahamu kama mamlaka husika zinafahamu changamoto inayowakabili abiria wa daladala, hasa jijini Dar es Salaam, ambapo baadhi ya madereva na makondakta...
Nikiwa katika pitapita zangu za kusafiri mwishoni mwa mwaka huu wa 2023 nikajikuta mikoa ya kaskazini, nikatua Stendi kuu ya mabasi ya mikoani pale Moshi mjini na hapo nikakutana na mambo ya...
Mimi ni mkazi wa Mwanza, Wilaya ya Ukerewe, Kata ya Ukara, Kijiji cha Bwisya. Kuna changamoto mbili kubwa huku kwetu, naomba utusaidie kupaza sauti, kuna kampuni inaitwa JUMEME inayotoa huduma ya...
Ni chuo kikubwa cha kiserikali kilichopo msamala songea hakuna kiongozi yoyote nchini asie kijua na kina na kina miaka zaidi ya 25
Ajabu ni kwamba kwenye matangazo yao wanadai wanatoa mafunzo ya...
Mimi kero yangu ni kwa hizi daladala zetu za Kigogo Fresh - Tandika kuwa na tabia ya kukatisha route...yaani mtu unalipa nauli mara mbili na wanaona ni halali yao kabisa... asubuhi wanaanzia...
Mimi ni miongoni mwa Walimu wa Ajira ya 2025 Halmashauri ya Wilaya ya Nkasi Mkoani Rukwa tunachangamoto mbili.
1. Fedha ya kujikimu hatujalipwa yote tumelipwa nusu tu nyingine bado mpaka sasa...
Kuna malalamiko sana kuhusu nauli za dadadala mjini Arusha.
Daladala zinatoza nauli Tshs 1000 badala ya nauli elekezi ya Tshs 700.
Mamlaka zipo kimya kwenye hili. Simu zikipigwa hawapokei.
Je...
Daladala za Mawasiliano kwenda Masaki kwa asubuhi ni changamoto sana, unakuta watu wamejazana kituoni pale Mawasiliano, daladala zikija hazifiki mwisho wa Kituo, zinageuzia katikati na abiria...
Watumishi wa ajira mpya 2025 na 2026 wilaya ya masasi DC mtwara walimu hatujalipwa fedha za kujikimu.
Soma Pia: Walimu wa Ajira mpya Wilaya ya Kilosa, Morogoro hatujalipwa fedha za kujikimu
Hili gari linatoza nauli tofauti na kilichoandikwa hapo, abiria ukilalamika wanasema mafuta yako juu, kwani sisi wananchi sauti zetu tuzipaze wapi?
Kinyerezi hadi Mlimani City abiria unakatwa...
Kwanini daladala zinazosafirisha abiria kutokea eneo la Gerezani / Shule ya msingi Uhuru kuelekea Temeke hususani Buza zinatoza nauli kubwa tofauti na bei elekezi ya serikali? Bei elekezi ya...
Kuna hii route ya Chamazi kwa Mapunda kuja Mbagala, hizi dalala zimeongeza nauli kutoka mia sita mpaka mia nane na haizidi kilometa hata nane kwa umbali huu.
Licha ya SUMATRA kutaja bei elekezi...
Habarini wanaJF,
Mimi ni mfanyakazi katika jiji hili la Arusha,ninaishi maeneo ya sakina silent inn huku kazi nafanyia Sanawari.
Hapo kabla hata ya mamlaka zinazohusika (LATRA)kupandisha...
Daladala za Kisemvule - Gerezani zimekuwa kero, tangu nauli zimepanda Mei 1, 2026 haziji kituoni badala yake zinapaki kona ya Gold Star na nauli watu wanalipishwa sh 1,900 ukiifata kule kona swali...
Tunapata changamoto Magari ya Mbezi To Makumbusho Via Kimara Hayapakii Ruti Ya Makumbusho yanaishia Magomeni Ni Kero Kwa Abiria Wengi Ndani ya Stendi ya Mbezi Luis.
Kumekuwepo na changamoto ya baadhi ya daladala kusitisha route katika maeneo mengi nchini.
Mwezi wa nne mwaka 2026 nilikaa Arusha kikazi kwa karibu mwezi mzima. Nilikuwa nakaa eneo la Atomic...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.