KERO Threads

Hizi semi zimekuwa kero mara dufu. Kulikuwa na trafiki mmoja pale Mbezi Mwisho anazuia haya malori hadi saa 3 au saa 4 ndio anayaachia sasa sijui wamemtoa. Sasa hivi vyuma havitembei. Hapa kuna...
6 Reactions
27 Replies
718 Views
Anonymous (4517)
KERO 
Naomba ujumbe au andiko langu lifike kwa Viongozi wanaohusika, binafsi hali yangu ya maisha ya chuo itakuwa mbaya sana, mimi ni Mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dodoma nasoma Shahada ya Uuguzi na...
0 Reactions
0 Replies
139 Views
Habari wadau....tunakoishi Mwanza hasa maeneo ya kuanzia Nyegezi na kuendelea mbele njia ya kwenda Shinyanga tunateseka sana na Barabara hiyo hasa mchepuko wa SGR Barabara imejaa mashimo pamoja na...
1 Reactions
3 Replies
418 Views
Huenda ni mimi nilifanya makosa kwa kutopitia terms & conditions vizuri ila hawa jamaa walicho nifanyia ni uzalilishaji mkubwa sana. Kuna app moja mtandaoni (play store) inaitwa "PESA M FINANCE"...
55 Reactions
330 Replies
53K Views
Shule ya Msingi Mbosho, Iliyopo Kata Ya Masama Kati, Wilaya ya Hai, Mkoa wa Kilimanjaro. Hii shule ni mbovu kiukweli ina ufa kila sehemu inavuja maji ndani. Naomba mtusaidie kwa hili. Shule Ya...
3 Reactions
3 Replies
253 Views
Kama una Bawasili sugu au Uti wa mgongo haupo sawa basi achana na safari za mabasi ya kichina na ukikuta siti za nyuma kata for your own risk Nipo kwenye bus siti ya nyuma limepita kwenye tuta tu...
14 Reactions
72 Replies
1K Views
Habari zenu wakuu, Nipo hapa kuelezea Kero inayotupata Wananchi kutoka kwa vijana wa KIMASAI jijini Arusha. Vijana Hawa wamekuwa na Tabia ya kupiga, kudhalilisha, kunyanyasa na kutweza utu wa...
5 Reactions
41 Replies
717 Views
Hivi kipaumbele cha nchi ni kipi? ni Afya? ni Elimu? ni nini hasa? Mwanza unashuka kwenye Feli kutoka ziwa viktoria tayari upo katikati ya jjiji! Mwanza wanalia mgao wa maji? Sio siri jamani...
13 Reactions
38 Replies
579 Views
Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) kinakabiliwa na changamoto ya ukosefu wa maji hali iliyosababisha karibu vyoo vyote vya umma kufungwa, jambo linalowaacha wanafunzi zaidi ya 15,000 katika...
12 Reactions
52 Replies
997 Views
Ni kero kubwa kwa wasafiri kutoka Arusha kwenda Moshi. Latra wameruhusu wamiliki wa bus za abiria kuumiza wananchi kwa kupandisha nauli maradufu. Tumezoea tukipanda bus kubwa kutoka Arusha kwenda...
3 Reactions
11 Replies
357 Views
Wananchi wanachoteseka Kibaha - Pwani Takribani mwezi mzima sasa, maeneo mengi ya Dar es Salaam na Pwani, yamekumbwa na changamoto kubwa ya upatikanaji wa maji safi. Kibaha - Pwani Mitaa mingi...
7 Reactions
30 Replies
916 Views
Hii ni 2025 na hili ni jiji namba moja Tanzania ambalo tunajivunia ila wananchi wake bado wanatumia maji ya chemi Chemi, yaani mwaka 2025 bado tupo primitive stage na hapa ni jijini Dar es salaam...
11 Reactions
53 Replies
1K Views
Wananchi wa Kiharaka Mikocheni, Mapinga ambapo tatizo hilo ni kubwa sana, wanaitaka TANESCO kufanya marekebisho ikiwemo kuondoa watendaji wote waliopo sasa ili kuepukana na uzembe wa...
0 Reactions
0 Replies
183 Views
Hello Wakuu. Nimekua najaribu kusajili NGO yangu kupitia mfumo wa NIS jamii. Lakini kila nikifika kuverify NIDA yangu naandikiwa "something is wrong, please try again" Nimeenda office ya NIDA...
1 Reactions
27 Replies
702 Views
Wakati Kariakoo ikitajwa kuwa kitovu muhimu cha biashara katika ukanda wa Afrika Mashariki na Kati, jambo linalofanya kuwa lango muhimu la uchumi wa Taifa, kwa muda sasa mitaa mingi ya soko hilo...
0 Reactions
2 Replies
184 Views
Anonymous
KERO 
Habari za muda huu Wanajamvi, Hii Kampuni ya TTCL ni sikio la kufa na wala halisikii dawa tena, haifanyi vizuri kwenye mawasiliano ya simu kawaida wala kwenye Internet. Mimi nipo Dar es Salaam na...
8 Reactions
78 Replies
6K Views
Yaani sijawahi ona hii tabia mbaya kabisa! mtu anafka kituoni kujaza gesi anabanwa na haja anakwenda kuomba msaada wa kujisaidia wanamwambia choo hakuna! Kweli jaman ndio tumefkia huku...
8 Reactions
21 Replies
439 Views
Serikali imetangaza kuwepo kwa ukame katika baadhi ya mikoa nchini. Hata hivyo, licha ya taarifa hizi za kitaifa, viongozi wa Wilaya ya Missenyi wamepuuza uhalisia uliopo katika Mkoa wa...
2 Reactions
16 Replies
492 Views
Hv inawezekanaje miaka 50+ tunategemea maji ya mvua, je tuko serious kweli watu million 60+ serikali yetu haina moango wala haikuwahi kujioanga kuwa na cyanzo vya maji vya uhakika nje ya mvua...
1 Reactions
5 Replies
157 Views
Wizara ya Elimu Tanzania Msipo angalia hili la DIT linakuja na sura nyingine Taasis ya Teknolojia Dar DIT ni Taasis maarufu yenye kutoa ujuzi lakini kwenye suala la huduma ni kama Taasis...
2 Reactions
2 Replies
232 Views
Back
Top Bottom