KERO Threads

Hivi kipaumbele cha nchi ni kipi? ni Afya? ni Elimu? ni nini hasa? Mwanza unashuka kwenye Feli kutoka ziwa viktoria tayari upo katikati ya jjiji! Mwanza wanalia mgao wa maji? Sio siri jamani...
13 Reactions
38 Replies
597 Views
Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) kinakabiliwa na changamoto ya ukosefu wa maji hali iliyosababisha karibu vyoo vyote vya umma kufungwa, jambo linalowaacha wanafunzi zaidi ya 15,000 katika...
12 Reactions
52 Replies
997 Views
Ni kero kubwa kwa wasafiri kutoka Arusha kwenda Moshi. Latra wameruhusu wamiliki wa bus za abiria kuumiza wananchi kwa kupandisha nauli maradufu. Tumezoea tukipanda bus kubwa kutoka Arusha kwenda...
3 Reactions
11 Replies
358 Views
Wananchi wanachoteseka Kibaha - Pwani Takribani mwezi mzima sasa, maeneo mengi ya Dar es Salaam na Pwani, yamekumbwa na changamoto kubwa ya upatikanaji wa maji safi. Kibaha - Pwani Mitaa mingi...
7 Reactions
30 Replies
918 Views
Hii ni 2025 na hili ni jiji namba moja Tanzania ambalo tunajivunia ila wananchi wake bado wanatumia maji ya chemi Chemi, yaani mwaka 2025 bado tupo primitive stage na hapa ni jijini Dar es salaam...
11 Reactions
53 Replies
1K Views
Wananchi wa Kiharaka Mikocheni, Mapinga ambapo tatizo hilo ni kubwa sana, wanaitaka TANESCO kufanya marekebisho ikiwemo kuondoa watendaji wote waliopo sasa ili kuepukana na uzembe wa...
0 Reactions
0 Replies
184 Views
Hello Wakuu. Nimekua najaribu kusajili NGO yangu kupitia mfumo wa NIS jamii. Lakini kila nikifika kuverify NIDA yangu naandikiwa "something is wrong, please try again" Nimeenda office ya NIDA...
1 Reactions
27 Replies
703 Views
Wakati Kariakoo ikitajwa kuwa kitovu muhimu cha biashara katika ukanda wa Afrika Mashariki na Kati, jambo linalofanya kuwa lango muhimu la uchumi wa Taifa, kwa muda sasa mitaa mingi ya soko hilo...
0 Reactions
2 Replies
184 Views
Anonymous
KERO 
Habari za muda huu Wanajamvi, Hii Kampuni ya TTCL ni sikio la kufa na wala halisikii dawa tena, haifanyi vizuri kwenye mawasiliano ya simu kawaida wala kwenye Internet. Mimi nipo Dar es Salaam na...
8 Reactions
78 Replies
6K Views
Yaani sijawahi ona hii tabia mbaya kabisa! mtu anafka kituoni kujaza gesi anabanwa na haja anakwenda kuomba msaada wa kujisaidia wanamwambia choo hakuna! Kweli jaman ndio tumefkia huku...
8 Reactions
21 Replies
440 Views
Serikali imetangaza kuwepo kwa ukame katika baadhi ya mikoa nchini. Hata hivyo, licha ya taarifa hizi za kitaifa, viongozi wa Wilaya ya Missenyi wamepuuza uhalisia uliopo katika Mkoa wa...
2 Reactions
16 Replies
493 Views
Hv inawezekanaje miaka 50+ tunategemea maji ya mvua, je tuko serious kweli watu million 60+ serikali yetu haina moango wala haikuwahi kujioanga kuwa na cyanzo vya maji vya uhakika nje ya mvua...
1 Reactions
5 Replies
157 Views
Wizara ya Elimu Tanzania Msipo angalia hili la DIT linakuja na sura nyingine Taasis ya Teknolojia Dar DIT ni Taasis maarufu yenye kutoa ujuzi lakini kwenye suala la huduma ni kama Taasis...
2 Reactions
2 Replies
232 Views
Mimi ni mfanyabiashara wa nafaka Mkoa wa Morogoro, tunapobeba mizigo gari kubwa haziingii katikati ya mji hivyo inatulazimu kufaurisha mzigo kwa kutumia gari ndogo cha kushangaza tunapofanya hivyo...
0 Reactions
1 Replies
126 Views
Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira (DAWASA) ilitangaza ratiba ya mgao wa maji kwa baadhi ya maeneo ya mikoa ya Dar es Salaam na Pwani. Hata hivyo, utekelezaji wa ratiba hiyo haujakidhi...
1 Reactions
15 Replies
469 Views
"INGEKUWA"kama wewe ni Rais wa JMT ungechukua hatua gani kwa Mkurugenzi wa DAWASA kutopatikana kwa maji katika maeneo mengi jijini Dar es Salaam?
4 Reactions
36 Replies
649 Views
Anonymous
KERO 
Mimi ni mkazi wa Kigamboni, na tunakabiliwa na changamoto ya barabara ya kutoka Mjimwema hadi Dege. Barabara hii ipo karibu na makazi ya watu, na katika ukarabati wa sehemu zilizoharibika, lami...
0 Reactions
9 Replies
403 Views
Anonymous
KERO 
Wizara ya Elimu Tanzania Msipo angalia hili la DIT linakuja na sura nyingine Taasis ya Teknolojia Dar DIT ni Taasis maarufu yenye kutoa ujuzi lakini kwenye suala la huduma ni kama Taasis...
1 Reactions
0 Replies
171 Views
Anonymous
KERO 
Barabara za Kigamboni hazina usimamizi wakati wa kufanya marekebisho. Ni kama vile hakuna usimamizi au mamlaka za TANROAD hazipo Kabisa Kigamboni. Kipande cha kurekebisha wiki moja kinachukua...
0 Reactions
1 Replies
146 Views
Kwanza kabisa napenda kuwapongeza TRC kwa kuendesha SGR mwaka mzima kwa ufanisi na kiwango kile kile mlichoanza nacho. Kwa hili mnastahili pongezi. Pamoja na huduma zenu nzuri kuna kitu...
26 Reactions
58 Replies
2K Views
Back
Top Bottom