Watumishi ajira mpya Mwaka 2025 Moro DC hatujalipwa hela za kujikimu mpaka leo (Januari 2026), tukiuliza Mkuu wetu anajibu “kama mna shida sana si mkope, sasa hivi mnakopesheka”
Inavyoonekana...
Watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Iramba katika Hospitali ya Wilaya KIOMBOI kero yetu kubwa ni kutolipwa stahiki zetu katika kazi tunazozifanya.
Tumefanya kazi katika mlipuko wa MPOX lakini...
Tuko Mloganzila Hospital tangu asubuhi hakuna huduma yoyote, walioko Wodini wala waliokuja kutibiwa wanasema System inasumbua so, hamna huduma yoyote.
Tumeomba wafanye “Manual” kuokoa Maisha ya...
Vijana wanaofanya utarajali (internship) huugulia maumivu makali kila mwaka baada ya kulazimika kufanya kazi kila siku kwa miezi miwili hadi mitatu wakiwa mikoani bila kupokea posho zao,
Lni...
Wiki iliyopita nilikuwa Kigoma katika pitapita zangu nikapita katika Barabara hii ipo Kijiji cha Matyazo, Wilaya ya Kigoma Vijijini, Barabara hiyo kutoka Kalinzi hadi Matyazo ndiyo njia kubwa ya...
Kuna changamoto ambayo inazidi kukua katika hizi Shule za Sekondari kwa Watoto waliochaguliwa, unapotaka uhamisho kila shule wanakwambia wanahitaji Mtoto awe na wastani wa A.
Mfano mimi ninafanya...
Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) tumelipia gharama za hostel lakini cha ajabu tunaambiwa vyumba / hostels zimejaa ilihali Mwanafunzi umeshalipia gharama za hostel.
Kibaya zaidi mfumo wa...
Dar es salaam kukaa siku 9 bila maji ni mtihani mkubwa sana sijui dawasa wanatuonaje sisi wakazi kimara
Kukaa siku 9 bila maji hata ile ratiba mgawo haina maana
Watu wanahangaika kupindua...
Nimeomba nafasi mwanafunzi ahamie shule ya Sekondari Mkundi Mlimani, Morogoro Manispaa ila nje ya michango mingine nimeambiwa nitoe laki moja kama "Mchango wa meza na kiti" kwakuwa Mkuu hapokei...
Wiki kadhaa zilizopita TANESCO walikuja kwangu kubadili mita (niliwaita kutengeneza kutokana na mita kuwa inajizima yenyewe, walipoitazama wakasema lazima iwekwe mpya) hivyo wakasema watakuja watu...
Chuo Kukuu Huria kimekuwa na tatizo sugu la kutopeleka taarifa NACTVET, watu wanamaliza masomo lakini wengine huwachukua mpaka miaka mitatu ndio taarifa zinatumwa NACTVET, na hapo mpaka uwe...
Wanaohusika na usimamizi wa mnara kampuni ya TTCL katika kata ya Misughaa wawajibike.mwezi mzima mnara hausomi😪😪.
unatumia nishati ya solar wakati huu wa Mawingu ndo haufanyi kazi kabisa ...
Kampuni ya Sea bus express inayofanya route ya Mwanza to Tabora, wanapakia abiria wa kwenda Mbeya badala ya kuwafaulishia Nzega ili wapite njia ya Dodoma Iringa kama walivyokubaliana wao...
Mahali pa Kazi: Wilaya ya Meru, Mkoa wa Arusha
Ninatoa malalamiko yangu hadharani dhidi ya Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu (HESLB) kuhusiana na makato ya mkopo yaliyofanyika kimakosa na...
Sisi ni Wakazi wa Mtaa wa Isevya, Muhimbili – Ilala, Dar es Salaam. Kuna kipande cha barabara kimefukuliwa kwa zaidi ya miezi miwili sasa. Baada ya kufukuliwa walimwaga kokoto mara moja tu, tangu...
Napenda kuchukua fursa hii kuwaandikia barua hii kama Mwananchi mzaliwa na mkazi wa Mkoa wa Arusha, nikiwa na dhamira ya dhati ya kuchangia mawazo na maoni yatakayosaidia maendeleo ya mji wetu...
Jamani sisi Watumishi wa Wizara ya Ardhi tunapoomba fedha kwa ajili ya nauli ya likizo hatupati malipo kwa wakati, yaani unakuta mtu unaenda likizo mpaka unatoka likizo bado hujalipwa.
Hii...
Ninaishi Arusha, Mtaa wa Sanawari changamoto iliyopo ni kwamba gari la taka halipiti kwa wakati na mamlaka ziko kimya ilihali ushuru wa taka mara ifikapo tarehe 1 tu ya kila mwezi wanagonga hodi...
Mungu tusaidie jamani
Serikali na Manispaa ya Ubungo tunaomba fungeni vyoo vya Mbezi Kituoni.
Vile vyoo ni hatarishi kwa afya ya binadamu kwa kweli, nimeenda mchana nikafika kuona vyoo 3...
Kichwa Cha habari kinajieleza hapo juu jamani ukweli acha usemwe tu barabara ya Rujewa - Igawa ni mbovu mbovu sana mashimo kila shemu
Jamani tunaumiza vyombo vyetu da hii barabara ni KERO jamani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.