Mimi ni mkazi wa Kigamboni, na tunakabiliwa na changamoto ya barabara ya kutoka Mjimwema hadi Dege.
Barabara hii ipo karibu na makazi ya watu, na katika ukarabati wa sehemu zilizoharibika, lami...
Wizara ya Elimu Tanzania
Msipo angalia hili la DIT linakuja na sura nyingine
Taasis ya Teknolojia Dar DIT ni Taasis maarufu yenye kutoa ujuzi lakini kwenye suala la huduma ni kama Taasis...
Barabara za Kigamboni hazina usimamizi wakati wa kufanya marekebisho. Ni kama vile hakuna usimamizi au mamlaka za TANROAD hazipo Kabisa Kigamboni.
Kipande cha kurekebisha wiki moja kinachukua...
Kwanza kabisa napenda kuwapongeza TRC kwa kuendesha SGR mwaka mzima kwa ufanisi na kiwango kile kile mlichoanza nacho. Kwa hili mnastahili pongezi.
Pamoja na huduma zenu nzuri kuna kitu...
Huduma za SGR za daraja la Biashara, haziendani kabisa.
Kuanzia makazi yao pale Dar es salaam na Morogoro sehemu ya kusubiri abiria wa daraja la Biashara haiendani kabisa.
Kuna muda abiria...
Kama inavyosomeka hapo juu, jana na_scan kadi yangu pale Ubungo Maji naona 1000 imekatwa. Nauliza mhudumu inakuaje ananiambia nauli 1000.
Abiria mwingine naye ananiambia tangu usafiri umerudi...
Naleta kwenu lalamiko langu kama ifuatavyo:
Mnamo tarehe 4. 12. 2025 majira ya saa 1:40 usiku nilifika kituo cha mabus Mbezi Magufuri terminal kutuma bahasha kwenda ofisi ya Tanesco Dodoma...
Wakuu habari zenu!
Sasa hv kila kona ya Dar-es-salaam ukipita unaona hali ni mbaya mno katika upatikanaji wa Maji safi na salama. Jiji la Dar-es-salaam halina mito ya asili ambayo inaweza kuwa ni...
Mh Rais Samia Suluhu Hassan
Nakusalimia kwa Jina la Jamhuri ya muungano wa Tanzania.
Awali ya yote nianze kwa kukutakia uzima na afya katika kutekeleza majukumu yako.
Baada ya salamu hizo nije...
Wakazi wa Luponde halmashauri ya mji wa Njombe na watumiaji wa barabara ya Njombe - Ludewa wameiomba serikali kufanya marekebisho ya muda mrefu ili kuondoa adha ya magari kukwama wakati wa kipindi...
Baadhi ya wakazi wa mtaa wa Mindu katika Manispaa ya Morogoro wamelazimika kuchimba mashimo kwenye mabonde yaliyopo ndani ya mtaa huo ili kusaka huduma ya maji baada ya vyanzo vingi vya maji...
Ruangwa tuna shida kubwa ya maji. Mimi nimezaliwa hapa nimekulia hapa hadi leo hii nakaribia umri wa miaka 20 miaka yote hapa tuna shida ya maji tu, tangu niko mdogo tunateseka na shida ya maji...
CHADEMA wajanja sana wameshirikiana na jua pamoja wanaharakati kutoka nje kukukasha vyanzo vya maji ili ionekane mama hapendwi ila UVCCM😂
Haiwezezekani wazungu watuonee wivu Kwa rasilimali zetu...
Kwa siku kadhaa nimekuwa nikinunua maji kwa Sh 2,000 kwa dumu nikiwa Salasala nimempigia na rafiki yangu yupo Mbezi Beach kwa Komba changamoto ni hiyo hiyo. Hali hii imenifanya nihisi kama...
Ni hali ya kusikitisha kwamba, licha ya historia yake yenye mafanikio katika elimu, mapenzi makubwa katika elimu, jitihada, uwezo wa kipekee, na mchango mkubwa katika kuzalisha wasomi, Kagera bado...
Nimeingiziwa posho yangu . Haiuhusiani na mshahara wangu halafu mnakata kurejesha deni lenu.
Kwanini msifuate mkataba unavyosema kuwa huu mkopo unalipwa na mshahara.
Hizi pesa zingine zinawahusu...
Dah ishakuwa mtihani kwakweli, maji ya chumvi yanatupausha, hakuna namna
Week ya pili sasa tuna taabika, Kukosa hivi visima kwenye misikiti sijui ingekuwaje walah
Guys, guys, guys this is economic sabotage, maadui zetu wanatuonea wivu sababu ya maumbile yetu na rasilimali tulizonazo. Tanzania ina bahari, maziwa, mito, mabwawa ila maadui zetu wanasababisha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.