KERO Threads

Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) tumelipia gharama za hostel lakini cha ajabu tunaambiwa vyumba / hostels zimejaa ilihali Mwanafunzi umeshalipia gharama za hostel. Kibaya zaidi mfumo wa...
5 Reactions
55 Replies
1K Views
Dar es salaam kukaa siku 9 bila maji ni mtihani mkubwa sana sijui dawasa wanatuonaje sisi wakazi kimara Kukaa siku 9 bila maji hata ile ratiba mgawo haina maana Watu wanahangaika kupindua...
2 Reactions
6 Replies
224 Views
Nimeomba nafasi mwanafunzi ahamie shule ya Sekondari Mkundi Mlimani, Morogoro Manispaa ila nje ya michango mingine nimeambiwa nitoe laki moja kama "Mchango wa meza na kiti" kwakuwa Mkuu hapokei...
0 Reactions
2 Replies
176 Views
Wiki kadhaa zilizopita TANESCO walikuja kwangu kubadili mita (niliwaita kutengeneza kutokana na mita kuwa inajizima yenyewe, walipoitazama wakasema lazima iwekwe mpya) hivyo wakasema watakuja watu...
3 Reactions
8 Replies
956 Views
Chuo Kukuu Huria kimekuwa na tatizo sugu la kutopeleka taarifa NACTVET, watu wanamaliza masomo lakini wengine huwachukua mpaka miaka mitatu ndio taarifa zinatumwa NACTVET, na hapo mpaka uwe...
0 Reactions
0 Replies
122 Views
Wanaohusika na usimamizi wa mnara kampuni ya TTCL katika kata ya Misughaa wawajibike.mwezi mzima mnara hausomi😪😪. unatumia nishati ya solar wakati huu wa Mawingu ndo haufanyi kazi kabisa ...
0 Reactions
3 Replies
197 Views
Kampuni ya Sea bus express inayofanya route ya Mwanza to Tabora, wanapakia abiria wa kwenda Mbeya badala ya kuwafaulishia Nzega ili wapite njia ya Dodoma Iringa kama walivyokubaliana wao...
2 Reactions
3 Replies
232 Views
Anonymous
KERO 
Mahali pa Kazi: Wilaya ya Meru, Mkoa wa Arusha Ninatoa malalamiko yangu hadharani dhidi ya Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu (HESLB) kuhusiana na makato ya mkopo yaliyofanyika kimakosa na...
0 Reactions
1 Replies
173 Views
Anonymous (6deb)
KERO 
Sisi ni Wakazi wa Mtaa wa Isevya, Muhimbili – Ilala, Dar es Salaam. Kuna kipande cha barabara kimefukuliwa kwa zaidi ya miezi miwili sasa. Baada ya kufukuliwa walimwaga kokoto mara moja tu, tangu...
0 Reactions
0 Replies
197 Views
Anonymous (6684)
KERO 
Napenda kuchukua fursa hii kuwaandikia barua hii kama Mwananchi mzaliwa na mkazi wa Mkoa wa Arusha, nikiwa na dhamira ya dhati ya kuchangia mawazo na maoni yatakayosaidia maendeleo ya mji wetu...
1 Reactions
0 Replies
202 Views
Anonymous (6684)
KERO 
Jamani sisi Watumishi wa Wizara ya Ardhi tunapoomba fedha kwa ajili ya nauli ya likizo hatupati malipo kwa wakati, yaani unakuta mtu unaenda likizo mpaka unatoka likizo bado hujalipwa. Hii...
0 Reactions
0 Replies
153 Views
Anonymous (a00f)
KERO 
Ninaishi Arusha, Mtaa wa Sanawari changamoto iliyopo ni kwamba gari la taka halipiti kwa wakati na mamlaka ziko kimya ilihali ushuru wa taka mara ifikapo tarehe 1 tu ya kila mwezi wanagonga hodi...
0 Reactions
0 Replies
112 Views
Mungu tusaidie jamani Serikali na Manispaa ya Ubungo tunaomba fungeni vyoo vya Mbezi Kituoni. Vile vyoo ni hatarishi kwa afya ya binadamu kwa kweli, nimeenda mchana nikafika kuona vyoo 3...
0 Reactions
2 Replies
318 Views
Kichwa Cha habari kinajieleza hapo juu jamani ukweli acha usemwe tu barabara ya Rujewa - Igawa ni mbovu mbovu sana mashimo kila shemu Jamani tunaumiza vyombo vyetu da hii barabara ni KERO jamani...
0 Reactions
4 Replies
620 Views
Anonymous
KERO 
Katika mtaa wa Sikukuu, hali ya mazingira imeendelea kuwa mbaya kufuatia chemba za maji machafu kujaa na kutema maji yenye uchafu kama inavyoonekana kwenye picha hapa, hali iliyosababisha maji...
2 Reactions
2 Replies
268 Views
Anonymous
KERO 
Kumekuwa na utaratibu mbovu wa mamlaka ya maji Mtwara (MTUWASA) kukata maji mchana na kuyaachia usiku wa manane muda ambao Wananchi tumelala, hali ambayo inatufanya badala ya kupumzisha mwili...
1 Reactions
0 Replies
160 Views
Asilimia kubwa ya sisi Watumishi wa chini wa Afya wa Serikalini tuliopo katika Halmashauri ya Ilala tuna kero ambayo imekuwa ikitusumbua muda mrefu, tunaona bora kuiweka wazi ili mabosi wetu ngazi...
0 Reactions
0 Replies
310 Views
Anonymous
KERO 
Kumekua na kukithili kwa porojo za kisiasa juu ya sekta ya afya nchini, hali inayopelekea huduma kuendelea kuwa duni na zisizoridhisha. Jambo moja wapo ni hili la kupitiwa na kubadilishwa kwa...
3 Reactions
4 Replies
292 Views
Anonymous
KERO 
Baadhi ya Watumishi ajira mpya wa Halmashauri ya wilaya ya MBULU hawajalipwa hela ya kujikimu Kuna watu waenda kumaliza mwaka sasa hela imekuwa kaa la moto wanalipana Kwa kujuana. Kuna watu...
0 Reactions
2 Replies
205 Views
Anonymous (f7df)
KERO 
Kuna kero kubwa eneo la Kigamboni, Kata ya Kibada Uvumba limetekelezwa huku pembezoni mwa Bahari usawa wa kutazama Kijichi, linahifadhi vibaka na wavuta bangi pamoja na kuweka mapori manene...
3 Reactions
10 Replies
409 Views
Back
Top Bottom