Mimi ni mkazi wa Mwanza, Wilaya ya Ukerewe, Kata ya Ukara, Kijiji cha Bwisya. Kuna changamoto mbili kubwa huku kwetu, naomba utusaidie kupaza sauti, kuna kampuni inaitwa JUMEME inayotoa huduma ya...
Ni chuo kikubwa cha kiserikali kilichopo msamala songea hakuna kiongozi yoyote nchini asie kijua na kina na kina miaka zaidi ya 25
Ajabu ni kwamba kwenye matangazo yao wanadai wanatoa mafunzo ya...
Mimi kero yangu ni kwa hizi daladala zetu za Kigogo Fresh - Tandika kuwa na tabia ya kukatisha route...yaani mtu unalipa nauli mara mbili na wanaona ni halali yao kabisa... asubuhi wanaanzia...
Mimi ni miongoni mwa Walimu wa Ajira ya 2025 Halmashauri ya Wilaya ya Nkasi Mkoani Rukwa tunachangamoto mbili.
1. Fedha ya kujikimu hatujalipwa yote tumelipwa nusu tu nyingine bado mpaka sasa...
Kuna malalamiko sana kuhusu nauli za dadadala mjini Arusha.
Daladala zinatoza nauli Tshs 1000 badala ya nauli elekezi ya Tshs 700.
Mamlaka zipo kimya kwenye hili. Simu zikipigwa hawapokei.
Je...
Daladala za Mawasiliano kwenda Masaki kwa asubuhi ni changamoto sana, unakuta watu wamejazana kituoni pale Mawasiliano, daladala zikija hazifiki mwisho wa Kituo, zinageuzia katikati na abiria...
Hili gari linatoza nauli tofauti na kilichoandikwa hapo, abiria ukilalamika wanasema mafuta yako juu, kwani sisi wananchi sauti zetu tuzipaze wapi?
Kinyerezi hadi Mlimani City abiria unakatwa...
Kwanini daladala zinazosafirisha abiria kutokea eneo la Gerezani / Shule ya msingi Uhuru kuelekea Temeke hususani Buza zinatoza nauli kubwa tofauti na bei elekezi ya serikali? Bei elekezi ya...
Kuna hii route ya Chamazi kwa Mapunda kuja Mbagala, hizi dalala zimeongeza nauli kutoka mia sita mpaka mia nane na haizidi kilometa hata nane kwa umbali huu.
Licha ya SUMATRA kutaja bei elekezi...
Habarini wanaJF,
Mimi ni mfanyakazi katika jiji hili la Arusha,ninaishi maeneo ya sakina silent inn huku kazi nafanyia Sanawari.
Hapo kabla hata ya mamlaka zinazohusika (LATRA)kupandisha...
Daladala za Kisemvule - Gerezani zimekuwa kero, tangu nauli zimepanda Mei 1, 2026 haziji kituoni badala yake zinapaki kona ya Gold Star na nauli watu wanalipishwa sh 1,900 ukiifata kule kona swali...
Tunapata changamoto Magari ya Mbezi To Makumbusho Via Kimara Hayapakii Ruti Ya Makumbusho yanaishia Magomeni Ni Kero Kwa Abiria Wengi Ndani ya Stendi ya Mbezi Luis.
Kumekuwepo na changamoto ya baadhi ya daladala kusitisha route katika maeneo mengi nchini.
Mwezi wa nne mwaka 2026 nilikaa Arusha kikazi kwa karibu mwezi mzima. Nilikuwa nakaa eneo la Atomic...
Kabla ya kupanda kwa mafuta nauli za daladala ilikuwa shilingi mia saba 700/= kwa abiria lakini kila ikifika jioni kuanzia saa 1 na kuendelea hupanda mpaka shilingi elfu moja 1000/=, kila abiria...
Kwanini daladala za Mbeya wanachukua nauli shs 1000 badala ya nauli halali ya shs 700-800.
na wakati umbali hauzidi hata km 10 ??
Mfano kutoka Uyole hadi Kabwe au Mwanjelwa ni Km 7 lakin...
Habari,
Naomba kuwasilisha kero yangu kuhusu utaratibu wa utoaji wa ithibati kwa wanafunzi wanaohitimu shahada ya Mass Communication mwaka huu.
Kwa sasa, hatuwezi kufanya kazi bila kuwa na...
Ofisi za Ardhi wilaya ya Mwanga mkoa wa Kilimanjaro, wameshindwa kusimamia vyema huduma ya kurasimisha viwanja.
Nilienda kwa ajili ya kuhitaji huduma hiyo mwaka 2023 mwezi wa 3 wakanielekeza...
Sisi ni baadhi ya Wanafunzi wa Diploma (March Intake 2025/2026) wa CBE Mwanza Campus hadi sasa matokeo yetu bado hayajapandishwa kwenye mfumo wa NACTVET, jambo linalotukosesha fursa za kuomba...
Wananchi tunaomba mamlaka husika kutatua huduma katika Hospitali ya Shree Hari iliyopo Mwanza (zamani ikijulikana kama Hindu Mandal Mwanza Branch), kutokana na malalamiko ya utendaji wa huduma na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.