Wanafunzi wa maeneo ya Butengwa waomba Mkandarasi akamilishe ujenzi wa daraja mapema kwani lililopo ambalo ni la mpito ni hatarishi si kwao tu bali kwa makundi mengine pia.
Chanzo Kusaga TV
Habari..
Kumekua na changamoto ya maji mtaa wa Sinza D karibu na Namnani Hotel kwa kipindi kirefu sasa.
Maji yanaweza kutoka kwa tabu sana au yasitoke kabisa hata mwezi mzima.
Kwa sasa kuna...
Chuo cha Wesley College kilichopo Mwanza chini ya Kanisa la UMC halijalipa wafanyakazi wake kwa muda mrefu sasa.
Wafanyakazi wa chuo cha Wesley kilichopo Mwanza mlango mmoja kilichopo chini ya...
Habari wanaJF,
Kuna foleni isiyokuwa na ulazima kwenye eneo hilo,sababu kubwa ni Bandari kavu iliyowekwa siku za karibuni,iitwayo BRAVO, hawa BRAVO hawana eneo la kuegesha malori yao (PARKING) na...
Habarini wanajukwaa, leo nmekuja kuwasilisha changamoto na baadhi ya kero katika soko la Buguruni.
1. Soko linamiundo mbinu ya kizamani sana ukilinganisha na idadi ya watu inaowahudumia...
Barabara hii ni muhimu kwa shughuli za kiuchumi kwa maana kuna viwanda vingi maeneo hayo, soko kubwa la vyakula na machinjio kubwa ya ng'ombe.
Jambo la kushangaza kuna daladala zinazoenda maeneo...
Mimi ni Mfanyakazi wa Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam kitengo cha ‘revenue collector’ katika masoko.
Changamoto tunayopata Wafanyakazi wa Mkataba wa Halmashauri ya yetu:
MOJA: Mshahara...
Shule ya Serikali ya Lupa Sekondari Kitivo cha masomo ya PHYSICS kuna Mwalimu amekuwa akipiga Watoto kama anapiga Punda wanapobeba mzigo, anafanya hivyo kisha anajisifu kuwa anaswaga ng’ombe...
Kumekuwepo na ukosefu wa maji katika Hostel za Ubungo za Chuo Kikuu cha Dar es Salaam tunapoishi Wanafunzi wa Uzamili (Postgraduate Students) ambao tunasoma Master's Degrees na Ph.D!
Kipindi hiki...
Mimi ni Mkazi wa Mkoa wa Morogoro, Halmashauri ya Mlimba, Tarafa ya Mlimba. Kero yangu kubwa ni suala la Kupata Nguzo ya Umeme, ukienda Ofisi za TANESCO ili upate Huduma ya Nguzo ya Umeme...
Ubovu wa Barabara ya kutoka Mkonze Shule ya Msingi kwenda Mkonze Zahanati mpaka Mtaa wa Chinyika (Mkonze - Dodoma Mjini) unatia hasira unapopita hapo.
Hali ni mbaya mno hasa kipindi hiki cha mvua...
Stendi ya Kisemvule, Wilaya ya Mkuranga mkoani Pwani kuna changamoto zifuatazo;
1. Daladala kugoma kupakia abiria nyakati za asubuhi na kuyapaki au wanakatisha ruti, badala ya kwenda Temeke...
Nimevurugwa sana.
IKO HIVI.
Hapa napoishi tulikuwa tukitumia mita ya zamani, sasa TANESCO Tanzania walikuja na kuibadilisha na kuweka mpya, ile ya zamani ilikuwa na Units zaidi ya 80, na Units...
Mwaka 2025 Mwezi wa 10 Serikali ilitangaza ajira kwa Kada ya Elimu na Afya, ajira zikatolewa kweli na mwisho Waziri kasema zoezi limeshafungwa ilihali kwenye Kada kama Tabibu Daraja la Pili...
Uongozi wa Jiji la Mbeya uangalie namna ya kufanya kuhusu Vyoo vilivyopo katika Soko jipya la Mbeya.
Sinki ni la bati na uchafu unabaki kwenye bati la pembeni. Kwa ufupi mazingira ni machafu...
Zikiwa zimepita siku 100 tangu kuapishwa kwa Rais Samia Suluhu Hassan kuiongoza Tanzania katika muhula wake wa pili, tathmini zimekuwa nyingi na zenye sura tofauti. Wapo wanaotazama kisiasa...
Habari za muda huu,
Wakazi wa Mzinga, Kongowe, Toangoma, Vikindu na Kisemvule ambao ni watumiaji wakubwa wa barabara ya Kilwa (Kilwa Road) tumekuwa tunakumbana na changamoto ya VUMBI ambalo...
Mimi ni Mwekezaji mdogo kwenye sekta ya uchimbaji (mchimbaji mdogo) kuna mazingira ya unyonyaji na uonevu unaoendelea kwenye Mgodi wa Msasa Gold Mine kwenye Mji wa Runzewe ambao umefumuka au...
Kituo cha Buza Kanisani hiki kilijengwa kwa nia nzuri ila tamaa za mapato na kukosa utu zinageuka kuwa mateso kwa abiria.
Tarehe 18/2/2026 kama ilivyo mwaka jana viongozi wa eneo hili wakitumia...
Sisi Wakazi wa Tabata Segere kwa Bibi tuna changamoto ya Barabara ambayo inaelekea Hospitali ya Segerea, kuna dimbwi kubwa la maji ambalo linazuia wapita njia, pikipiki, na magari madogo kupita...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.