KERO Threads

Huwezi amini kuna Serikali yaani Pembeni kote na Barabarani kabisa kumejaa machinga na parking za bodaboda Inayotumika ni Barabara ya Kati, humo humo watembea kwa miguu, bodaboda, bajaji...
4 Reactions
19 Replies
309 Views
Nyakijooga
KERO Responded 
Eneo la Msimbazi jijini Dar es Salaam, hususan kuanzia kituo cha mwendokasi Msimbazi hadi kituo kikuu cha mwendokasi Gerezani kupitia mataa ya Uhuru, usalama wa watembea kwa miguu upo hatarini kwa...
3 Reactions
6 Replies
325 Views
Roving Journalist
KERO Responded 
https://www.youtube.com/watch?v=6bYlhfMqEWs Wananchi wa Kata ya Buza Wilaya ya Temeke wameandamana kutoka Buza Kanisani hadi Ofisi za Chama cha Mapinduzi Kata ya Buza wakiitaka Serikali kurejesha...
2 Reactions
1 Replies
276 Views
Msaada tutani , upande wa Tausi watu wa ILALA , Nimekusanya document zote zinazotakiwa kwa usahihi wame-reject. Sasa kwa wiki 2 na wamekuja na kisingizio kuwa sisi sio raia wa Tanzania...
0 Reactions
0 Replies
127 Views
Anonymous
KERO 
Sasa kumekuwa na uhuni wa MABASI yote ya MIKOANI kutoza nauli kubwa bila nauli husika kwendana na viwango vya huduma. Basi linatangazwa kama VVIP ila nje ya Bus kuwa jipya na choo ndani hamna...
2 Reactions
8 Replies
252 Views
Anonymous
KERO 
Kumekuwa na trend mbaya ya watumiaji wa bodaboda (pikipiki) kufanya maarifa kwenye Exhaust zao na kuleta usumbufu NOISE POLLUTION. Vyombo husika vimelala?
0 Reactions
3 Replies
127 Views
Anonymous
KERO 
Mkurugenzi wa Ilala kasema uongo. Kwanza watumishi wa mikataba ni robo tatu ya watu wa cheki namba. Hao watumishi wa mikataba ndio wanaokusanya mapato yote ilala. Wanalipwa mpaka sasa 340,000...
0 Reactions
0 Replies
112 Views
Anonymous
KERO 
Bodi ya usajiri inayowasajiri wataalamu wa ukadiriaji majenzi na usanifu majengo wamegoma kutoa vyeti kwa wahitimu wote waliojisajiri kuanzia November 2025. Kikawaida vyeti hivyo hutolewa kati...
0 Reactions
0 Replies
113 Views
ubongokid
KERO Responded 
TRA Tanzania Kwa muda sasa tangu mfumo wenu mpya umeanza watu wamekuwa wakipata changamoto ya IP kuwa blocked, yaani mteja anapojaribu kuingia kwenye mfumo anakuwa disconnected. Sijajua kama hii...
0 Reactions
1 Replies
290 Views
Anonymous (ce6e)
KERO 
Kuna huu mradi unaitwa TANZANIA DIGITAL PROJECT (DTP) ambao pia kwa ufupi unajulikana kwa jina la Mradi wa ‘Digital Tanzania’ unafadhiliwa na Benki ya Dunia unatekelezwa kwa usimamizi wa Wizara ya...
1 Reactions
1 Replies
171 Views
Wakuu, Nasikitishwa sana na hiki nilichokiona hapa kwenye hii barabara ndogo ya Segesela Street hapa Sinza, ni kamtaa fulani kanaanzia hapa Mlimani City kuelekea Kitambaa Cheupe. Hii barabara ni...
1 Reactions
1 Replies
240 Views
Anonymous
KERO 
Wanachaji shilingi 4,000 ukililia sana wanapunguza hadi shilingi 3,000 ilihali bei stahiki kwa kila mpangaji ni shilingi 2,000. Unakuta wakienda nyumba zingine wanachaji bei ya 2,000 hiyohiyo...
0 Reactions
3 Replies
174 Views
Anonymous (4083)
KERO 
Inasikitisha sana! Mimi ni Mtumishi niliyesimamia mchakato wa ajira za Uhamiaji (nafasi 300). Ukweli mchungu ni kwamba hakuna kijana hata mmoja wa Bara (Tanganyika) aliyepitishwa. Tulitishiwa...
14 Reactions
49 Replies
1K Views
Habari, naomba kuwasilisha kero inayotukabili sisi watumishi wa Idara ya Uhamiaji, tumekuwa tukihamishwa bila malipo hali iniyopelekea kuteseka kukamilisha uhamisho. Tunatambua kuwa sisi ni kada...
2 Reactions
19 Replies
529 Views
Anonymous (a484)
KERO 
Kero yangu ni kuhusu Chuo cha Elimu ya Biashara, nimehitimu chuo cha Elimu ya Biashara CBE Dar es Salaam Mwaka 2025 lakini changamoto iliyopo mpaka leo mfumo unasoma continue wakati nimeshahitimu...
1 Reactions
2 Replies
266 Views
Anonymous
KERO 
Huyu kiongozi wetu, ZCC wa Kanda ya Ziwa, amekuwa kero kubwa sana kwa wafanyakazi wote wa TFS hapa! Moyo wangu unawaka kwa huzuni na hasira wakati nikiandika hili, kwa sababu juhudi zetu zote za...
3 Reactions
10 Replies
604 Views
Hivi Viongozi Wa Serikali Mmeiona Barabara Ya Mbeya Kwenda Chunya? au wenzetu Kuna njia nyingine mnaitumia na siyo hii tunayopita sisi wananchi. Barabara Ina Mashimo Utadhani Mahandaki Magari...
1 Reactions
2 Replies
232 Views
Anonymous
KERO 
Vijana wanaoendesha Bajaji wamekuwa wakishikwa kwa nguvu na (WAGAMBO), kuna muda wanakimbizwa na gari na wengine wakisababishiwa ajali wakidai ni WRONG PARKING. Baada ya kukamata Bajaji...
2 Reactions
24 Replies
503 Views
Wanafunzi wa maeneo ya Butengwa waomba Mkandarasi akamilishe ujenzi wa daraja mapema kwani lililopo ambalo ni la mpito ni hatarishi si kwao tu bali kwa makundi mengine pia. Chanzo Kusaga TV
0 Reactions
0 Replies
124 Views
Anonymous (c723)
KERO 
Habari.. Kumekua na changamoto ya maji mtaa wa Sinza D karibu na Namnani Hotel kwa kipindi kirefu sasa. Maji yanaweza kutoka kwa tabu sana au yasitoke kabisa hata mwezi mzima. Kwa sasa kuna...
1 Reactions
1 Replies
111 Views
Back
Top Bottom