KERO Threads

Anonymous
KERO 
Ajira mpya Halmashauri ya Wilaya ya Bahi hatujalipwa pesa ya kujikimu sisi ni Watumishi wapywa wa Mwezi Wa Nane 2025. Ukifatilia wanasema hawana vifungu vya Kulipa. Tunateseka sana, tunaomba...
1 Reactions
2 Replies
203 Views
Anonymous
KERO 
Naomba kuwasilisha suala hili kwa lengo la kupata ufafanuzi kutoka kwa uongozi wa TaESA au mamlaka husika. Baadhi ya waajiriwa wa muda wa Wakala wa Huduma za Ajira Tanzania (TaESA) hatujalipwa...
1 Reactions
6 Replies
378 Views
Katika jamii nyingi, miundombinu bora ya maji taka ni msingi wa afya na ustawi wa wakazi. Na ni haki kwa kila raia kuishi kwenye mazingira safi na salama. Hata hivyo hali ni tofauti hapa...
3 Reactions
21 Replies
1K Views
Anonymous
KERO 
Foleni Pale Manzese Kituoni – Tatizo Ni Daladala Pekee au Uzembe wa Usimamizi? Wadau, Pale Manzese kituoni kumekuwa na foleni kubwa sana kila siku. Tatizo linaonekana wazi, lakini suluhisho...
0 Reactions
0 Replies
107 Views
Anonymous
KERO 
Suala la mgogoro wa ardhi Sagale imekuwa ni hekaheka wananchi wanataka suluhu ili mambo mengine ya kimaisha yaendelee kwani watu wameishajenga na wanaishi hapo lakini suluhu imekuwa ngumu kwani...
0 Reactions
0 Replies
140 Views
Anonymous
KERO 
Hello mimi ni mdau wa kutumia usafiri wa train ya kisasa sgr, Tar 2 January 2026 safari ziliahirishwa na mpaka sasa sijarudishiwa fedha ya ticket yangu ya daraja la biashara Niliwasiliana na...
0 Reactions
0 Replies
139 Views
Anonymous
KERO 
Nina kero kuhusu Wizara ya Afya Zanzibar: -Haijawapa wanafunzi wa Postgraduate posho za kujikimu na za Research kwa wale Wanafunzi wa Mwaka wa mwisho kwa mpaka muda huu. -Licha ya semester kuwa...
0 Reactions
0 Replies
198 Views
https://harvardea.sc.tz/index.php Mimi ni mzazi mwenye mtoto ambaye anasoma shule moja ipo huko Tabata inafahamika kama HARVARD EAST AFRICA NURSERY AND PRIMARY SCHOOL. Hii shule imekuwa na...
6 Reactions
35 Replies
878 Views
  • Redirect
DAWASA
KERO Responded 
Kufuatia kujitokeza kwa wingi kwa vitendo vya ulaghai wa Watu wachache wanaowarubuni Wananchi kutoa fedha ili waunganishiwe huduma ya Maji katika Kitongoji cha Makurunge, Kata ya Kiluvya Mkoani...
0 Reactions
Replies
Views
Anonymous
KERO 
Hili suala la sarafu kuadimika limekaaje? Niliona kwenye forum Moja ya Mwananchi wakiuliza kwa Afisa Sarafu B.O.T kuhusu kuadimika kwa sarafu hasa Tsh 100, Tsh 200 lakini alijibu kua hakuna shida...
3 Reactions
9 Replies
384 Views
Barabara Kuu ya Songea–Njombe, katika maeneo ya Ottawa, Kata ya Msamala, Manispaa ya Songea, imeharibika vibaya baada ya kuchimbika hadi kufikia katikati ya barabara. Hali hiyo imekuwa kero kubwa...
1 Reactions
2 Replies
224 Views
Mimi ni mkazi wa Kitongoji cha Kanada, Kata ya Bonyokwa. Kilio changu kinawahusu DAWASA, kwani hatujawahi kupata huduma ya maji tangu tarehe 9 Novemba 2025. Kila tunapofuatilia suala hili tumekuwa...
0 Reactions
0 Replies
151 Views
Anonymous (a484)
KERO 
Ajira Mpya hatujalipwa pesa ya kujikimu katika Wilaya ya Chamwino Dodoma, sisi ni Intake ya Mwezi Machi hadi June 2025.
1 Reactions
6 Replies
263 Views
Hii nchi ina mambo ya ajabu sana Vijana wanakuputika kwa kunywa vipombe vya bei rahisi na gongo kama Visungura, Dabo kiki, Strong, Gongo na pombe ya kijani sio kwamba wanapenda la Lasha,bali...
9 Reactions
22 Replies
552 Views
Anonymous
KERO 
Ni nani anayevujisha taarifa za Watumishi kwenda kwa taasisi za mikopo, maana leo nimetumiwa taarifa za mtumishi kupitia SMS zenye check number, password yake. Nilimpigia ili kujua ni wapi katoa...
1 Reactions
7 Replies
351 Views
Habari za Leo Waungwana. Ni hivi nimezunguka karibia ya 96% ya mikoa ya Tanzania lakini ajabu ni kwamba Vyoo vya stendi zote hadi pale Dodoma ile Stendi Kuu ya kisasa kabisa ni pachafu na si...
2 Reactions
1 Replies
238 Views
Ndugu wasomaji Sisi kama waagizaji tumeona mada mpya toka January mwaka 2026 kutoka bandari ambapo zamani kuhamisha container kutoka Bandari kwenda bandari kavu icd ilikwainachukua siku 5- 7...
4 Reactions
16 Replies
445 Views
Anonymous (a103)
KERO 
Walimu 25 katika Manispaa ya Kigoma Ujiji tulishushwa madaraja bila taarifa yoyote huku Katibu wa Tume ya Utumishi wa Walimu (TSC), ndugu Nathan Balanzinze akasema alikosea kutupandisha vyeo...
4 Reactions
19 Replies
489 Views
mirindimo
KERO Responded 
Yaani mtu unakaa na file mezani kwako wiki mbili au mwezi mzima unalisogeza tu kila ukiletewa chai...., kwani unapata faida gani au unafanya nini muda wote huo kutojali file ambalo ungeweza...
11 Reactions
32 Replies
761 Views
Back
Top Bottom