Mfumo wa Taarifa za Usimamizi wa Vituo vya Kutoa Huduma za Afya (GoTHOMIS) unaotumika hospitali unasumbua sana, unakuta mgonjwa anasubiri for 2 hours hadi kuja kupata huduma.
Kama wanakuwa...
Kwanza nitangulize shukrani zangu kwa JamiiForums kwa kuwa siku moja baada ya lile chapisho lililoletwa na member kuhusu Baraza la Madaktari Tanganyika (MCT) kuharakisha kutoa matokeo ya Mtihani...
Katika kipindi hiki muhimu cha mitihani, wanafunzi wengi wa Chuo Kikuu cha Kilimo cha Sokoine (SUA) wanakumbana na changamoto kadhaa za kiutendaji zinazohitaji uangalizi wa haraka.
Kwanza...
Ndugu Mkurugenzi,
YAH: OMBI LA KUPAZIWA SAUTI KUHUSU MGOGORO NA KUDORORA KWA ELIMU KATIKA SHULE TEULE YA BUKOBA
Sisi wazazi wa wanafunzi wa Shule Teule ya Bukoba tunaandika ujumbe huu tukiwa na...
Nilitumiwa SMS na kampuni ya mkopo ambayo walitaja majina yangu yote matatu na sehemu ninayofanya kazi na kusema kuwa wanatoa mikopo kwa wafanyakazi, pia wananunua mkopo wa Bodi ya Mikopo ya...
Watu waliofanya kazi Zanzibar na wakamaliza mkataba wanaweza kunielewa na kutoa ushuhuda.
Wakati wa kufuatilia mafao unaambiwa uwe umechangia miezi 18 bila hivyo hela hupati hadi ufikishe umri wa...
Sisi wakaazi wa Wilaya ya Mvomero tunaopata huduma ya umeme kuanzia Kituo cha msamvu kuja Turiani, laini ambayo inasambaza umeme maeneo mengi zaidi ya Wilaya ya Mvomero kuanzia mkundi, halmashauri...
Mimi ni mfanya kazi kampuni ya HAINAN INTERNATIONAL LTD kwenye mradi wa ujenzi wa bohari ya dawa (MSD) mkoani Geita wilaya ya chato pembezoni mwa hospital ya rufaa ya Kanda Chato.
Huu mradi toka...
Kituo cha Afya cha Bunju kimekuwa kikitoa huduma zisizoridhisha kwa wananchi, hasa katika upande wa kliniki za wajawazito. Mbali na utaratibu kuwa mbovu, pia kuna kutoza gharama kubwa...
Barabara nyingi za mitaa katika Wilaya ya Ubungo zimegeuka machinjio ya vyombo vya usafiri na chanzo kikuu cha hasara kwa wananchi, huku mamlaka husika zikionekana kushindwa kutoa suluhisho la...
Tumeajiriwa mwaka 2024 mpaka sasa hutujathibitishwa kazini na afisa utumishi anasema yupo busy na kazi nyingine tunashindwa kufanya mambo mengine na wanatutishia kusitisha ajira zetu
Habari;
Mimi ni askari wa hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA) ninayefanya kazi katika hifadhi ya Taifa Nyerere. Kwa kipindi kilefu askari wa hifadhi tumekuwa tukipitia ugumu wa maisha kutokana na...
Ombi kwa Waziri wa Madini kuna kampuni ya uchimbaji dhahabu ipo Musoma Vijijini, Kijiji cha Kwitope inaitwa GDM, haitendi haki kwa sisi wafanyakazi, mshahara ni shida, mikataba ya ujanja, mtu...
Wakazi wa Shekilango jiji Dar es Salaam tunashida kubwa sana ya uhaba wa maji, hatuna huduma tangu mwezi wa Desemba 2025.
Watayafungua wao, wakipenda kufungua na bili za maji kama kawaida yaaani...
Serikali imejenga barabara ya mtaa wa Songea kwa kiwango cha lami ila serikali hiyo hiyo imeruhusu watu wapaki pembeni ya hizo barabara na zitumike kama garage hii hufanya barabara ya kuharibika...
Wananchi wa Segerea, Mtaa wa Twiga tunateseka sana kutokana na ubovu wa barabara, hasa wakati wa vipindi vya mvua. Maeneo mengi yamejaa mashimo na mvua inaponyesha hali huwa mbaya zaidi, kiasi cha...
Kero yangu, kijana wangu amehitimu chuo Mwaka 2025 katika Chuo cha CBE Kampasi ya Dar, Kozi ya Business Administration lakini mpaka leo Februari 2026 ameenda chuo kufuatilia cheti amejibiwa mpaka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.